CCM Admits country is in Problem
Chama Cha mapinduzi has conceded that the country is in trouble by looking at the current problems, however it asked its supporters not to lose hope because they...
Wadau,
Kama mnavyofahamu kuna baadhi ya watumishi wa serikali walioamua kutumia haki yao ya kidemokrasia kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika nchi yetu kwenye uchaguzi mkuu wa 2010.Wapo...
Tujalie tu haya yanayotokea katika nchi za Tunisia , cairo,yemen etc yametokea hapa Tanzania, jee kwa fikra zenu Rais wetu atakimbilia nchi gani ?
Tuombe Mungu asitufikishe huko .
baada ya kumuandama benjamini mkapa na mgodi wake wa makaa ya mawe, kikwete amejenga kiwanda chake cha cement hapa mbagala.
kinachotuumiza wananchi ni kwamba hiki kiwanda kipo kwenye makazi...
Kutokana na matokeo mabaya ya kidato cha kwa mwaka 2010 na mambo mengi yaliyosemwa na wadau wengi kuhusu kushuka kwa kiwango cha elimu Tanzania. Binafsi nitavutiwa na hoja hii;
*Kwa nini...
Nilipata bahati ya kutembelea Lushoto mwaka jana mwanzoni na kunahitaji msaada wa serikali. Ukitokea mombo mpaka Lushoto mjini ni kuzuri na kuna barabara lakini ukienda vijijini maisha ni magumu...
Suala la Dowans lilijitokeza juzi jumatatu wakati kamati ya wabunge wa CCM iliyoketi Dar es Salaam, nimefurahishwa na hii nukuu jinsi alivyozungumza Mwakyembe: "Mnahangaika nini? Aliyetufikisha...
pindi niliposoma historia ya shule za msingi niliwacheka na kuwaona wapumbavu sana mababu zetu wa enzi hizo waliporubuniwa kwa vitu vitu vya kijinga na kukubali kunyonywa na...
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Charles Kitwanga juzi alilazimika kutumia salamu za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili kuwashawishi wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi...
Hallow, Great thinkers!!!!
Pamoja lawama na takataka zote anazotupiwa Edward Lowassa. Pamoja na mabaya yote aliyonayo Edward Lowassa kama mimi na wewe tulivyo na mabaya yetu, tutakuwa hatumtendei...
Hivi kuna chama lingine lolote katika historia ambalo limeweza kutesa kama CHADEMA?
Hakunaaaaa!
Yaani kwenye mkutano wa CCM walikuwa wanaongelea CHADEMA.
Waziri wa CCM anasema CHADEMA oyeee...
Juzi nimepita mahali ambapo kitega uchumi cha mwalimu Nyerere Foundation kilikuwa kijengwe nikaona majani tu, hata ule uzio uliokuwepo umeondolewa.
Wadau nauliza, ni kitu gani kimetokea kwenye...
Bado sijakata tamaa, nasubiri hotuba ya rais wangu dr. dr. dr. Kikwete kutuhutubia kwa kumaliza mwezi januari. Nasubiri nimsikie kuhusu dowans, mgao wa umeme, maandamano ya wanavyuo, kuwapa pole...
Jamani Mwanza hakukaliki,leo askari wamevamia duka la furniture kenyatta road na kubeba karibu 1/2 ya mali yote.Tena wanavamia kwa kunyatia kama vibaka.Mfanyabiashara huyu alikua amedisplay seti...
Kambi isiyo rasmi ya upinzani, imekusudia kuwasilisha hoja binafsi kuomba kutengua kanuni namba 131 ili kuondoa neno kambi rasmi bungeni kwa nia ya kupewa nafasi ya uwenyekiti kwenye kamati za...
Wana JF
Nilianza kufatilia magazeti ya New Habari tangu siku walipoandika Coverage ya Arusha siku hiyo ndio nilinunua gazeti loa Mtanzania kwa mara ya kwanza,baada ya kutolinunua kwa kipindi cha...
Kwa kuwa uchakachuaji umekuwa ni mtaji kwa serikali iliyopo madarakani ya JK,
Kuna baadhi ya watu wanajaribu kuhisi kuwa huenda matokeo mabaya ya mwaka huu ni mkakati uliowekwa makusudi wa...
Ulipaji fidia wa DOWANS
*Waislam wataka DOWANS walipwe haki yao
*Kafulila apingana nao
Stella Aron na Anneth Kagenda, jijini
Wednesday, 02 February 2011
SAKATA la ulipaji wa fidia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.