Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
nasikia kunafujo imetokea huko. wenye habari kamili watujuze
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Neno kambi rasmi liliwekwa ndani ya kanuni za sasa kwa shinikizo la Hamad rashid wakati wa kuunda kanuni hizi mpya za bunge.Alifanya hivyo ili kuzuia wenzake kutoka nje ya kambi rasmi kuongoza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Huwa nawaza why after the general election why all these are happening and these my findings. watu hawajaridhika na matokeo ya urais na wengi wa waelewa wa mambo waliyempigia kura hakupita either...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mikataba inayosainiwa na viongozi wetu inathibitisha usemi huu. Nawakilisha.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani, mnaonaje hii thread?je, kuna ukweli wowote?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF, Sasa imedhihirika waziwazi kuwa adui namba moja anayeifilisi nchi hii ni ccm. Chama hiki ndiyo kimekuwa mwavuli wa kufunika uovu na waovu wote wanaoifilisi nchi yetu na kusababisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanazuoni wa chuo kikuu cha dar es salaam leo mchana walikuwa na panel discussion kuhusu DOWANS na masuala mengine mtambuka yanayolikumba taifa letu, iliyoandaliwa na UDASA. Baadhi ya mambo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
An Extract from Tanzania Daima of Today! Katika hatua inayoashiria kuzidi kuungwa mkono kwa CHADEMA na viongozi wake, jana Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe alikuwa kivutio katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Na Ramadhan Semtawa WABUNGE sasa watakuwa na makazi yao maalumu mjini Dodoma maarufu kama Bunge Estate, sawa na ilivyo kwa mawaziri jijini Dar es Salaam na Dodoma, baada ya Spika wa Bunge, Anne...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Maandamano UVCCM yashtukiwa *Ni yale ya kutaka bodi ya mikopo ivunjwe *Yahojiwa mbona hawakuwatetea kupiga kura Na Tumaini Makene MAANDAMANO yaliyoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya noti mpyam mbaya na zisizo na ubora kuchakachuliwa....kubwa jinga Ndulu litaongea na waandishi wa haabri leo.....nchi hii inakera sana.....majuzi mtu kapigwa kwa kuzaniwa ana noti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa karibu miongo miwili na nusu sasa, serikali imekuwa ikitekeleza mpango wa uboreshaji wa utendaji kazi katika utumishi wa umma. Mpango huo, unahusisha serikali kuu na serikali za mitaa. Jambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati Chama cha mapinduzi wakizindua maadhimisho ya miaka 34 ya chama hicho kongwe kejeli dhidi ya vyama vya upinzani ndizo zilizotanda na hasa madongo kwa chadema.Hakukuwa na lingine la...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
TBC walichakachua wakatangaza kuwa matokeo ya form iv ni mazuri kuliko ya mwaka jana. Ukwli ni huu hapo chini..Je TBC mnawaambia nini walipa kodi? Je habari zote mnazotangani walipa kodi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
na Mwandishi wetu, Tanzania Daima ASKARI wa Jeshi la Polisi, Koplo Ali Khamis Haji (40), amefariki dunia baada ya kugongwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa SMZ, Ramadhan Abdallah...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wengi tumesikia CUF wanaandamana Jumatatu, Feb. 7, 2011. Kushangaza ni kwamba wengi wanachama wa Chadema hatujui kuna hili tukio muhimu kwa nchi. Malengo ni makubwa hapa na hasa hii siku ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sijui kama umepata kusoma hotuba ya Kikwete African Union. Soma hapa chini na tutachambua huu utumbo na maana ya demokrasia kwa upande wa CCM. JK decries trend of poll-result disputes in African...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukisoma hali halisi inavyokwenda, jinsi viongozi na wenye dhamana ya kumtaja rasmi mmiliki halali wa Dowans, inaonyesha dalili ya kiwingu kinachowatia ububu huo. Angekuwa ni kigogo mdogo tu na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakati dunia nzima ikifuatilia matukio na ghasia za kisiasa zilizoanzia Tunisia na sasa Misri, inashangaza kuona magazeti Tanzania yasivyotoa kipaumbele kwa habari za matukio ya kisiasa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Siku chache zilizopita, kuna mwana great thinker mmoja hapa jf alikuja na habari aliyojinasibu kuwa ni kutoka ktk chanzo kinachoaminika kwamba Hazina imekauka kiasi ya kuja kushindwa kulipa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom