Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Waziri mmoja wa serilika ya CCM alipotembelea Taasisi ya Sayansi na Technolojia Mbeya. Alikutana na magumu pale alipobanwa na maswali na wasomi wa Taasisi hiyo kuwa. Kwanini Dowans ilipwe fedha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wa na jamii imefikia kipindi tujiulize njia stahiki za kutatua matatizo ya migomo katika vyuo vikuu vyetu, kuwapiga mabomu ya machozi wanafunzi wanapo taka suluhu ya matatizo yao sinauhakika...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Umma una nguvu, naukiamua kutenda jambo lolote lilie basi unaweza. si nguvu za kifaru wala kima zinauwezo wa kuuzuwia umma kufanya upendavyo. Ule wenu viongozi wa asiasa nchini Bongo mnaopenda...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nijuavyo mimi neno "elekezi", maana yake ni inayoonyesha njia. Kwa mantiki hiyo, semina elekezi maana yake nikuwajumuisha watu pamoja kwaajili ya kuwaonyesha njia inayopashwa ifuatwe ili...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Ndugu zangu, Nimekuwa nikisikia na kusoma mengi kuhusu mambo mabaya ( hasi) yaliyotendwa na JK au chini ya utawala wake kiasi kwamba unaweza kujiamnisha kuwa huyu ni rais wa mambo mabaya tu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Sera chache za chama hiki nimeziorodhesha hapa chini: 1. Kupigania kuundwa kwa taifa moja lenye serikali moja tu. 2. Kurekebisha mitaala ya elimu ili itolewe kwa lugha ya kiingerza kwa viwango...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
CUF wanasema wao sio chama tawala bali wamesikiliza sauti ya wanzanzibari kuwa wao CUF na CCM washirikiane huku wakiviacha vyama vingine pembeni... Wao wanaamini siku zote watakuwa juu kama...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Thursday, February 03, 2011 Wana jamvi napenda kutumia muda huu kuelezea masikitiko yangu kuhusiana na suala la tatizo la sauti ambalo sasa linaelekea kuota mizizi na kua kero kwa watazamaji...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii inasikitisha sana, imekuwa ni mara nyingine tena pale ambapo watu wa airtel wanatumia uelewa wetu mdogo wa IT, kutuingiza kwenye hasara ambayo hatuitarajii. Wanachofanya wao ni kufanya kosa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukichanganya simulizi za miujiza ya kina Shehe Hayahaya na mineno inayosemwa kama Mlingotini, zana za ushirikina kama viungo vya albino, viungo mbalimbali vya watu wa jinsia zote, ngozi ya...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Yaliyojiri wakati wa sherehe zaa siku ya sheria nchini Tanzania maeneo ya Mahakama Kuu jijini DSM: Mh. Rais Kikwete asema "Wananchi wamekuwa wakijazana pale ofisini wakitaka nitengue hukumu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Asalam Aleikum waungwana wote. Nimekuja nikijiuliza sana kama watanzania tunajidharau kwa namna moja ama nyingine. Ninaposema watanzania namaanisha indigenous Tanzanians na naomba watu wasidhani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Napenda kuwakumbusha watawala wasione kwenye al jazzira wakona kama nikitu kisichowezeka kwetu!1wakae wakijua nguvu yaumba ndiyo njia mmbadala kwa kutafuta haki ya wanyonge iliyokaliwa kwa mabavu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heloo great thinkers! The time has come for change we can believe in! ..misukosuko yote tunayoisikia ktk jamii yetu ya Tz leo ni dalili tosha zinazohitaji mabadiliko ya kiutawala,uchumi na...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Kishindo cha CHADEMA chawavuruga CUF, CCM • Mtatiro wa CUF aivurumishia shutuma nzito na Waandishi wetu MAFANIKIO ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika taarifa ya habari TBC1 usiku huu, mwanafunzi pekee katika shule ya sekondari ya kata ya Mashujaa wilayani Songea Colman Mboya aliyepata division 1 points 15, pamoja na mama yake mzazi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Miongoni mwa mambo wanasiasa wanasahau ni aina ya makosa mtu aweza kufanya akiwa madarakani. Kuna commission mistakes- makosa ya kufanya visivyo sahihi na Ommision mistakes- makosa ya kushindwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimejisikia kutoa ushauri wangu jinsi ya kuteua baraza la mawaziri bila kujali ukubwa wake ila tu kwa maslahi ya taifa na kuepuka migogoro kama ya Dowans, TICCS, TRL etc. Sijajua vigezo gani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msomaji Raia Februari 2, 2011 WIKI iliyopita nilihoji kama tamko la Ridhiwani Kikwete lililenga kuziba ombwe la uongozi wa taifa letu. Nimepokea maoni mengi yanayokubaliana nami kuwa ni kweli...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ufisadi umeshusha hadhi ya nchi-Wasomi *Matabaka sasa yatishia mustakabali wa taifa *Kongamano kuhusu suala hilo kufanyika kesho Na Tumaini Makene UFISADI unaoendelea kuigubika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom