Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa kweli CCM Arusha wamechakachua makusudi! Kwani na Kahama Shinyanga ni yale yale. CHADEMA wa kuchaguliwa madiwani 5, CUF 1, TLP 1, CCM 3 na mbunge 1 (Lembeli anayeishi Arusha, Kahama anafikia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Enyi wana CDM na wanaharakati wote Baada ya kusoma maoni ya wengi nimegundua kuwa wanaJF hawataki aguswe Dr. Slaa kwa baya lolote. Namheshim Dr. Slaa ni msomi mwanaharaki mwenye ubongo uliohai...
0 Reactions
92 Replies
7K Views
Kwa vile wafanyakazi Benki Kuu wanastahili maisha ya juu kama ya wale wa Benki za nchi zilizoendelea na wabunge wetu nao wanastahili maisha kama ya wabunge wa nchi zilizoendelea; na kwa vile wapo...
0 Reactions
91 Replies
15K Views
Ukiisoma hii story ya KULIKONI kwa makini, inaelekea kuwa hukumu ya ICC inamtaja Rostam Aziz ndiye mmiliki wa Dowans! Sote tunajua mtu anayeimiliki Richmond/Dowans si mwingine bali ni Rostam kwa...
0 Reactions
137 Replies
15K Views
Kamanda wa polisi mkoa wa kinondoni amesema walilazimika kuyatawanya maandamano ya wanachuo kwa kuwa uongozi wa chuo haukua na taarifa zozote na wala haukubariki maandamano hayo. Nijuavyo mimi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kamanda wa polisi mkoa wa kinondoni amesema walilazimika kuyatawanya maandamano ya wanachuo kwa kuwa uongozi wa chuo haukua na taarifa zozote na wala haukubariki maandamano hayo. Nijuavyo mimi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
BENKI KUU YA TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TOLEO LA NOTI MPYA 1. Mwezi Januari 2011 Benki Kuu ya Tanzania ilitoa toleo jipya la noti za Shilingi 500, 1000, 2000, 5,000...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
NCCR nayo mbogo sakata la Dowans Imeandikwa na Selemani Nzaro; Tarehe: 4th February 2011 @ 23:40 CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimepinga utaratibu wa Serikali wa kuilipa Kampuni ya kufua umeme ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani hii imenisikitisha sana kusikia eti viongozi wa Africa wanakubali eti hawa jamaa wa kenya hata kama hawajahusika wadifikishwe The Hague. Huu kwa mtazamo ni ule ule uzandiki wa viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Wakuu, Tarehe 5/2/2011 jamaa wa ng'ambo ya pili wanafanya sherehe za maadhimisho ya kutimiza miaka 34 tangu kuzaliwa kwa kundi la sisiemu.... Wakati huohuo SIKU HIYO kuna members wengine hapa...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Na. B.OLE, Nashindwa kuelewa sababu halisi inayowafanya majirani zetu wa Tanganyika kutodai nchi yao na kukaa kimya huku wakiwaona Wazanzibar kama vile watoto wa kambu. Mara nyingi vilio...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Namnukulu: "mwanafunzi mmoja, wakati wa kukimbia mabomu ya FFU aliangukia front face, akapata deep cut amefanyiwa stitches" tuchukulie kuwa huyo aliyeumia ni mtoto wa mzee Ng'wanambogolo kule...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Uwazi mkubwa unaonekana kwamba Obama's staff wamefanya makosa makubwa kudialog na kuwapa invitations Mubarak na Kikwete White House. Ni makosa makubwa Madikteta kama hawa kupewa hadhi kama hizi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, mimi sipo hapo nyumbani kwa karibu miaka kumi sasa, na matukio mengi yamefanyika bila ya mimi mwenyewe kuyashuhudia. Hatahivyo, hivi karibuni nimekuwa nafuatilia malumbano ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna mwanajamvi {VoiceoftheReason) ametoa pendekezo badala ya kuandamana tubuni kitu kingine kama kuvaa vitambaa vyeusi ili kuonyesha kutofurahishwa kwetu na hatua ya serikali kuilipa Dowans...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ukiangalia Egypt leo jeshi la polisi limepotea mitaani na wamekuja na plain cloth kuwauwa protesters Tahrir square. Polisi wazi wanataka Mubarak aendelee kukaa madarakani, sijui nianzie...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sehemu ya Kwanza Dibaji: 1.Sababu za watanganyika kuenda Jando kabla kuanza chuo kikuu cha Tunguu na Suza? Ili wapate Kitambulisho cha Ukazi na waoe Mtoto wa Kizanzibari...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
tuwe wakweli kwa mwelekeo wa nchi wa sasa ni sawa na kama hatuna serikali. ukiona watu kama rostam wanakuwa na nguvu hivi ujue taasisi za umma zimekufa. ndio maana ili kuficha udhaifu jk...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
-Serikali haikusanyi kodi. -Serikali inarudisha madeni ya garama za kampeni za ccm, mfano kukodi ndege ya kumpeleka mama Salma kwenye kampeni za mumewe. -Mkulo anakodishiwa ndege kwenda kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom