Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Leo vijana zaidi ya Ishirini hapa mtaani kwetu tumekuwa na kikao kisicho rasmi kujadili mambo yanayohusu taifa letu hasa Dowans na Migomo..Hasira zilikuwa nyingi lakini kwa kuwa tuna raisi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nadhani ingekuwa vizuri kama aidha ngome ya upinzani au umoja wa NGo's wangepanga maandamano ya kuunga mkono juhudi zinazoendelea Misri za kuleta demokrasia na mabadiliko katika jamii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale ambao hawakubahatika kuona hotuba ya rais angalia tbc
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tumesikia JK tena na mipango ya CCM kudanganya na kugeuza facts kuwa uongo. Hivi JK anaamini maneno yake na mawaidha yake? Kipaji cha JK kudanganya wananchi kimeishia hapa....Richmond yeye alikuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau...tuipime hotuba hii ya mweshimiwa kwa uchakachuaji bungeni.. Mi nimesikiliza suala la michezo limenipa kichefuchefu.. 'Tumeleta makocha wazungu kufundisha michezo...' hivi hii ni akili au...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Akihutubia leo mjini dodoma kwenye sherehe za ccm, jk kasema katiba itahuwishwa. Naomba tafsiri (hasa ya kisheria) juu ya hili neno "kuhuwisha katiba"
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima zenu waheshimiwa ndugu Dr Slaa, Mbowe, Mnyika na Mkumbo, Najua nyie ni wana JF mpo katika hii himaya ya kina invisible na uwepo wenu hapa jamvini umeleta tija kubwa kwa kutujuza mambo...
0 Reactions
216 Replies
14K Views
WanaJF, Sina mamlaka ya kuzuia mtu au chombo chochote kuzungumzia Dowans. Lakini nimeshawishika kujaribu kuweka jamvini kauli za watu/viongozi na vyombo mbalimbali kuhusu suala la DOWANS...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Havi hawa watoto wanaofanya gwaride la maadhimisho ya miaka 34 ya ccm ni wanaccm au wanafunzi wametolewa shule wkt huu ni msimu huu ni wa masomo?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
WanaJF, Kila kiongozi anatakiwa ajaze form maalumu ya kutaja mali zake kwa mujibu wa sheria ya Maadili ya Umma. Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba mara zote viongozi hao wanapojaza form...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wajameni naheshimu mengi ya mawazo ya huyu Prof. ila naomba kujua anasimama wapi juu ya masuala ya zanzibar na muungano! maana kuna suala la kujifunga bao la kisigino lets say kama akiwa kiongozi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Tarehe 12 Januari Chadema walitoa tamko kuwataka watendaji kadhaa wa serikali kujiuzulu kutokana na mauaji wa raia wasio na hatia Arusha tarehe 5 Januari. Mbona kimya?
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Tatizo la fidia sio kwa Dowans peke yake. Ni pesa kiasi gani ililipwa kama compensation kwa South Africa kwa kuvunja mkataba wa ATCL, au Rites wa India nao si wako katika mstari? Ni pesa kiasi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Written by administrator // 01/11/2011 // Habari-Picha // 16 Comments...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania records dismal score on MDGs four years to deadline Sunday, 30 January 2011 12:30 By Edward Qorro The Citizen reporter With four years to go, Tanzania still lags behind other East...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Salaam wana JF, leo kikiwete yupo Dodoma kwaajili ya sherehe za ccm pamoja na maandamano mpaka uwanja wa Jamuhuri. Mwenyekiti huyo wa chama ni mgeni rasmi kwa kuhofia kukosa watu kwa mwamko wa...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba, amesema ni ruksa kwa mwanachama yeyote anayetaka kuhama chama hicho kupinga malipo ya fidia kwa Kampuni ya kufua umeme wa dharura ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom