Tangu ibainike ya kuwa rais mstaafu B.W.Mkapa alitumia ikulu kuendeleza biashara yake, hadhi ya ofisi hiyo machoni mwa baadhi ya raia imeshuka sana kiasi kwamba hivi sasa limekuwa jambo la kawaida...
Leo ni mnyama kesho ni ndege.
Yuko wapi mwa Jf mwenye mtiririko atutengenezee documentary kuwajuza watz chronology kamilifu ya kuhusu Dowans.
Naamini itatusaidia kwa kukeep track ya hii movie...
Heshima yako mheshimiwa Dr Dr Dr.
Napenda kusemaulinitia moyo kidogo kwa kupata ujasiri wa kuzungumzia sakata la dowans. Hilo lastahili pongezi. Tatizo ni kwamba, umetumia siasa kujitetea...
NAOMBA KUULIZA WADAU BUNGE LA SASA NI BUNGE LA NINI?YAANI LITAKUWA LINAZUNGUMZIA NINI ZAIDI
NA JE LA NGE HILI NASIKIA LINAANZA WIKI IJAYO NI LINI HASA SIKU LINAANZA NA LITAISHA LINI
KAMA KUNA...
KABLA sijaanza kuandika makala hii niliyoitafakari kwa kina nilifarijika na jinsi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilivyohenyeshwa na kubwagwa kwenye baadhi ya majimbo nchini katika uchaguzi mkuu...
Tumejionea kwenye taarifa ya habari ya ITV kuwa serikali imeamua kubomoa jengo la meneja wa TANROADS mkoa wa dsm lililopo ubungo kwa kuwa liko kwenye hifadhi ya barabara.
Sasa jengo la TANESCO...
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaanza vikao vyake kesho kutwa mjini Dodoma, ambapo wabunge watafanya shughuli mbalimbali ikiwamo kujadili hotuba ya rais aliyoitoa Novemba mwaka jana...
Iranian opposition wants to rally in support of Arab uprisings
Source: Radio Zamaneh
Iranian opposition leaders Mir Hossein Mousavi and Mehdi Karroubi are seeking government permission to...
WanaJF,
Sasa tuache lawama, ushabiki, matusi, shutuma, umbea, uongo, uzandiki, ukada, udini, ukabila, uonevu na uchochezi. Tuache yote na tujenge nchi yetu. Kama ni lawama, matusi, shutuma...
Msema kweli mpenzi wa Mungu ,sasa inabidi niwambie ukweli ambao nimeupata kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya Chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na...
Jamani watanzania naomba kuwauliza kama kuna m2 aliyewahi kusikia tamko kwa rais kuhusu Dowans na bilion 90?
Mwenzenu najiuliza swali, kama katiba yetu inamruhusu rais kutoa msamaha kwa mtu...
Mwenyekiti wa CCM taifa Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 34 ya chama hicho yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
CCM kufumuliwa...
Wadau, taarifa from well placed source zinaonyesha kwamba recent moves za UVCCM kutoa matamko kadhaa, hasa la kuvunja bodi ya mkopo ni maelekezo rasmi toka juu na kwamba bodi itakapovunjwa au...
Ndugu Zangu,
JANA Jumamosi nimemsikiliza Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete. Mwenyekiti Kikwete alikuwa akihutubia kule Dodoma katika kuadhimisha miaka 34 ya kuzaliwa kwa Chama chake Cha...
Mh. Jakaya Kikwete,
Kwa mara nyingine hapa JF tunajitolea kusema kile tunachoamini ni ukweli.
Ukweli unaoambiwa na WanaJF ndio hali halisi ambayo wananchi wengi wanakumbana nayo iwe kwa...
It first started in Tunisia, then in Egypt, Jordan, Yemen and now in Sudan. These are major democratic and economic changes, a new political phenomenon short of Western governments influence and...
Ndugu Zangu,
Ni juzi tu nimepigiwa simu na msomaji wangu (RAIA MWEMA) akiwa kijiji cha Mwambata, Masasi. Amejitambulisha kwa jina la Edward Hassan. Alichotaka kuongea ni juu ya suala la...
Wasalaam,
Baada ya kelele nyingi za ushirikiano wa vyama vya upinzani vya siasa nimeona ni bora niwalete tena mbele yenu Wenyeviti wa Vyama vya Upinzani vyenye Wabunge ili tuweze kujiridhisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.