Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
VIONGOZI 105 wa madhehebu mbalimbali ya dini kutoka nchi za ukanda wa Maziwa Makuu na Kusini mwa Afrika wamemtaja Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jeneralali Saidi Mwema kuwa anashika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani, Hivi hotuba ya jk jana mjini Dodoma imeleta matumaini gani kwa chama chake cha ccm na wananchi kwa ujumla kuhusu mustakabali wa nchi yetu kiuchumi, kisiasa na kijamii??
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mh. Jakaya Kikwete, Natanguliza samahani kama matumizi ya misemo ya taarab yatakukwaza. Sio kwamba mimi ni mmoja wa wale wanaoamini kwamba unapenda mipasho au wasaidizi wako kama Salva...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
hivi ni kweli wapiga kura wa wilaya ya nyamagana/ile mela ni wengi kuliko wapiga kura wa nchi ya zanzibar? vilevile madiwani wa bara kura zao ni sawa wabunge wateule wa nchi ya zanzibar...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mheshimiwa JK, Nakusalim! Hii ni taarifa ambayo nategemea utaifanyia kazi haraka iwezekanavyo! Nategemea utachukua hatua. Sitaki kuwa mnafiki na nafsi yangu imenisukuma kuwa mkweli...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana kikiadhimisha miaka 34 tangu kianzishwe, zaidi ya wanachama wake 1,550 wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
......"I have no personal grudge against President Kikwete…people should understand that he is the lawful President of our country," Mr Mbowe told The Citizen by telephone......... "We...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Written by amini // 06/02/2011 // Habari // No comments...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MKAZI mmoja wa Mbezi Juu, jijini Dar es Salaam, wamejiua kwa kujiteketeza kwa moto, kwa maelezo kuwa amechoshwa na maisha magumu yanayoambatana na kukabiliwa na mzigo mkubwa wa madeni. Marehemu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
CCM kuwabana Mnyika, Kafulila bungeni na Mwandishi wetu WAKATI mkutano wa 11 wa Bunge ukitarajiwa kuanza keshokutwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
CUF ni wanafiki sana. sana. Unafiki wao unajionyesha wazi kwa jinsi walivyowasahaulifu na wepesi kujitetea ili mradi waonekane wao ndio wao. Wanajiaminisha kwamba CHADEMA wanawachukia au...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Haya yanayotokea nchi za kiarabu Ndo kusema sasa wanafunguka kuondokana na serikali zao dhalim?naomba kuwakirisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mshirikina, hata matatizo yenye chanzo kilicho dhahiri hudai kuna mkono wa mtu. Mfano kipindupindu kinapoikumba familia hajiangaishi na uchafu wa nyumbani kwake au kutochemsha maji ya kunywa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi kuna yeyote anayeweza kukubaliana na maneno ya JK aliyoyatoa jana kwa kusema eti na yeye Hakubaliani kabisa malipo kufanyika dhidi ya Dowans? Cha kujiuliza maneno aliyoyatoa Chiligati yalikua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawakumbusha mumkumbuke Mungu, siasa weka pembeni twenden tukasali, tuliombee taifa letu na viongozi wetu, ili wawe na busara na moyo wa huruma kwa watanzania wenzao. Amen
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAKATI mkutano wa 11 wa Bunge ukitarajiwa kuanza keshokutwa mjini Dodoma, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinahaha kuzizuia hoja binafsi za wabunge wa upinzani zisijadiliwe bungeni ili kulinda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nadhani itafika mahali mawazo kama haya yataanza kutolewa! Ili kuondoa migomo mashuleni na sehemu nyingine utasikia 'tuchapishe noti nyingi tuwape walimu na wanafunzi'. Kuna siku nilimsikia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Heshma kwenu wachangiaji. Wanajamii uarabuni kwa bahati ya miundombinu mizuri ya mawasiliano wameshirikishana nia zao na kusema sasa basi. Hatimaye uma utashinda. Swali labaki. Je? watawala hawa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Anasema hakuna ulazima wa kuandamana wakati wanawabunge wa kutosha bungen. Ni kupeleka hoja bungeni na si kuandamana.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom