Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
WABUNGE sasa watakuwa na makazi yao maalumu mjini Dodoma maarufu kama Bunge Estate, sawa na ilivyo kwa mawaziri jijini Dar es Salaam na Dodoma, baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda, kuweka bayana...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Pein poit ya Wzanzibar ni kuvunja Muungano na kuwashia Tanganyika yenu na Bunge lenu lililo jaa ufisadi na ujambazi, hii ndio taget yetu Wzanzibar na sisi tunaipenda Zanzibar yetu na tunaona...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Takribani mwaka mmoja na nusu baada ya kuzaliwa kwa CCM, nchi yetu ililazimika kupigana vita dhidi ya nduri Amini. Vita hiyo ilididimiza sana uchumi wa nchi kiasi kwamba kulianza kujitokeza uhaba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa nikitafuta nikitugani watakifanya kwa kuazimisha miaka yote hii tangu kuzaliwa kwake wawezekujivunia mbele ya macho ya watu?Maana kauli mbiu ya ccm na mwal nyerere ilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
siku hizi huwezi kusikia wanafunzi wa hapa kwetu wakiandamana kupinga mambo ya kitaifa kama malipo wa dowans nk. utawasikia tu baadhi ya waalimu wao kama Prof Baregu, Prof Shivji nk wakizungumza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Napendekeza huyu muheshimiwa aitwe Mwalimu willibrod Peter Slaa. Badala ya Dr Slaa. Sababu ni hizi zifuatazo - 1.Hili jina la Dr kwa sasa limekuwa halina hadhi wala heshima.Maana watu wana...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Umuhimu Vijana kujibainisha na vyama vya siasa Political Parties Vs Civil Societies katika karne mbili zilizopita Katiba Mpya is not debatable Sayansi ya Siasa inasema CCM imezeeka itakufa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau... namuangalia JK live... I hope atasema chochote decisive na sigficant kwa mustakabali wa taifa
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu Jana nimesikiliza hotuba ya Mhe. Rais Kikwete, katika mambo mengi aliyozungumzia Amesisitiza sana jinsi gani nchi inavyopatiwa misaada na nchi wahisani, amejisifu sana kuhusu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Akiongea kwa hasira na kupanic, ameshangaa tamko la chadema eti haiwezi kuungana na CUF bara kwa sababu CUF visiwani wameungana na CCM. Hata hivyo aliahidi kwamba CUF bara itaendea kushirikiana na...
0 Reactions
155 Replies
10K Views
Leo ni mwezi mmoja tangu mashujaa wapenzi wetu wameuwawa huku Arusha na jeshi LETU la polisi. Tunaomboleza kwa uchungu zaidi kwa sababu Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Tanzania ambaye ndiye mwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau hivi huyu Mzee Makamba mbona haelekei kama yuko sawa sawa kichwani! Kila mara amekuwa anatoa miropoko 'as if he does not have even a little brain'. Nashangaa wakati Msekwa anaonekana kuwa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Huwa najiuliza sana kwa nini watendaji wanapopata skendo wengi wao huishia kupoteza maisha tena muda mfupi baada ya skendo zao kubumbuluka au wanapokataa 'wishes' za wanasiasa. Lakini inapokuja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wandugu, Chama Cha 'Mapinduzi' kinajivunia nini cha maana kinaposherehekea kuzaliwa kwake??
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tatizo la nchi kupoteza wataalamu wake wa kada mbalimbali hasa kwa kuondoka na kwenda kufanya kazi katika nchi nyingine.Hili ni tatizo ambalo lipo duniani kote lakini tatizo hili limekuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wananchi na hasa vijana tukutane Mnazi Mmoja Tarehe Ijumaa 02/04/2011 kushikana mikono kwa amani tukiandamana Kutoka Mnazi Mmoja mpaka Posta Mpya kupinga serikali ya CCM. Swala sio nani...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
''Mbunge yeyote anayetaka kuhama CCM kupinga malipo Ya DOWANS basi ahame, Kwasababu alikuja mwenyewe CCM hakulazimishawa" Source: Nipashe Leo
0 Reactions
17 Replies
1K Views
kauli zake, Matusi yake, Ujinga wake, Upuuzi wake, Kichaa chake; ANATEGEMEA KUONYESHA JEURI DHIDI YA CDM ETI JK ATAMTEUA VITI MAALUMU NA YEYE AENDE MJENGONI KUIMARISHA KAMBI ISIYO...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nikiwa sina hili wala lile, nikaona vijana wa sisiem wakifanya gwalinde mbele ya viongozi wa kitaifa wa Chama. Mara nikamsikia Mh. Makamba akiwaambia vijana..."Kesho mje...kutakuwa na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Msekwa akiri fedha zimeigawa CCM Friday, 04 February 2011 21:45 Leon Bahati MAKAMU Mwenyekiti wa CCM, Pius Msekwa ametaja utovu wa nidhamu na matumizi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom