Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Katika siku za karibuni watawala waandamizi pamoja na Mtawala mkuu wa nchi hii wamekuwa wakitoa kauli kuwa kuna kundi la watu ambalo linataka kuifanya tz isitawalike. Watawala hawa wamekuwa...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Watanzania kwa ufinyu wa mawazo yetu tunazani TOYOTA COASTER (and the like) kuwa ni magari makubwa sana yanayoweza kutuondolea matatizo ya usafiri wetu. Hatuoni wenzetu huko majuu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana Jf hebusomeni haya maoni kutoka gazeti mwananchi,yanayoonyesha uchungu wa wananchi wanaomgozwa na rais wetu mtukufu Kikwete, nachojiuliza hawa viongozi wa CCM wakishilikiana na Mkulu wa nchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina furaha kubwa kuona kuwa Chadema inajipanga kuwaunganisha WaTanzania wote bila ya kujali itikadi za kidini. Umoja huo ambao ndio muhimu katika kuiondoa CCM iliyodumu madarakani kwa nusu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je, wana JF kwa kuilinganisha picha hii, kama Dr. Slaa angekua Rais wa JMT, afu katika pitapita yako ukakutana na mazingira kama haya ila tofauti hao wapambe wawe wamevaa kiaskofu na kichungaji...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Imeandikwa na Meshack Mpanda (Mwanza) Wajumbe 27 wa Serikali ya kijiji cha Nyangho’mango katka kata ya Usagara Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza wameuza ikari 80 katika kilima cha Ntende kijiji...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TLP wapinga NEC kuwateuliwa diwani Sakata la umeya wa Manispaa ya Arusha inazidi kuchukua sura mpya baada ya Chama cha Tanzania Labour (TLP) kupinga uamuzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Egyptian Opposition Leader (Former UN Atomic Energy Commission) President of Liberia Ellen Johnson-SirLeaf "Iron Lady (Former UNAssistant-Secretary General) Ukisoma habari za mataifa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa mtazamo wangu RAIS JK ameongoza kwa miaka 5 vitu alivyofanya ni hivi:- Uhuru wa vyombo vya habari hii ana asilimia 80% Kupanda kwa bidhaa mara kwa mara Migomo isiyoisha kudanganywa na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kila kitu hujui,umaskini wa tz unasababishwa na nini,hujui.juzi umesema humjui mmiliki wa Richmond a.k.a Dowans.Hosea mkuu wa Takukuru alituambia pale blue pearl tulipokua na semina elekezi kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wtz tunatabia yakusahau haraka lkn naamini wote bado tunakumbuka jinsi mwaka juzi tar.24 April 2009 Nd. Reginald Mengi, alivyochukua hatua “ninayoiona ya ujasiri wa pekee” kutaja kwa majina baadhi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana kikiadhimisha miaka 34 tangu kianzishwe, zaidi ya wanachama wake 1,550 wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kama kawaida ya JK, ili kupoteza muda ameteua tume itakayochunguza matatizo ya bodi ya mikopo. Tutakumbuka uteuzi wa tume alioufanya toka ashike madaraka haujawahi kuwa na manufaa kwa watanzania...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
baada ya hotuba ya mkulu ya jusi, ninajiuliza kama anafahamu maana ya methali "akutukanaye hakuchagulii tusi...." itamnasua katika haya..... 1. Aliwahi kusema hajui kwa nini watanzania ni...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Mh Dr Magufuli ameamuru ofisi ya RC Lukuvi na ya manager mkuu Tanroads - dar zimepewa siku 5 kubomolewa maana zinatajwa kujengwa ndani ya 'road reserves'. pia kagundua malipo feki ya fidia ambayo...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
MAKAMBA:; Anayepinga malipo ya DOWANS ruksa kuhama chama cha mapinduzi CCM KIKWETE:; Mimi siitambui DOWANS na ninapinga malipo ya DOWANS..........:msela: sasa hii ina maana gani? na tunapata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sina uhakika na yale ya shanga ya wakati wa Mangungu. 1. Labda nianzie ya wastaafu wa EAC(1977:-() leo ni zaidi ya miaka 34 bado wazee hawa wanalala barabarani kushinikiza malipo yao -...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wiki ijayo Wabunge wetu wanaelekea Dodoma kwa ajili ya kikao chao cha kwanza baada ya uchaguzi mkuu. Wakati wabunge wetu wakielekea Dodoma je wanayafahamu haya 1. Kiwango cha fedha anacholipwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wandugu napenda kueleweshwa Mh. Mabere Marando ni mtu aliye mstari wa mbele katika kupiga vita ufisadi na mafisadi akiwa na joho la CDM. Lakini wakati huo huo anakuwa wakili wa Manji (mtuhumiwa wa...
0 Reactions
77 Replies
6K Views
VIONGOZI 105 wa madhehebu mbalimbali ya dini kutoka nchi za ukanda wa Maziwa Makuu na Kusini mwa Afrika wamemtaja Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jeneralali Saidi Mwema kuwa anashika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom