Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Baada ya kufuatilia habari nyingi na majadiliano mengi kuhusu mambo mbalimbali nimegundua kuwa wengi wetu hatuna habari sahihi, na hoja zetu nyingi zinatokana na kushuku na kusikia bila kuwa na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kuna tetesi kwamba baadhi ya walio kuwa viopngozi wa CCJ (Chama Cha Jamii) wameunda chama kipya cha CCK (Chama Cha Kijamii) kikiongozwa na Constantine Akitanda. Mh je huu ni mvimyo wa zamani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Obama Inaugural Address 20th January 2009 My fellow citizens: I stand here today humbled by the task before us, grateful...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hali isiyo kua ya kawaida manispaa stand ya dala dala iringa mjini yauzwa kwa mfanyabiashara maarufu hapa mjini, suala hilo limepelekea madereva hiace kugoma kuingia katika stand hiyo kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kukiwa kumebakia siku chache kuondolewa wamachinga wa kichina , leo nimeona tuchangie uwezekana wa machinga wakichina kutokuwepo na biashara ya kariakoo kudolora. Kwanza kabisa napenda...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Binafsi nawashangaa MAWAZIRI hawa wa jk walivyo na majibu rahisis kwa hoja zinazoonekana kuwanufaisha watanzania wengi, Mfano:- Hoja ya KATIBA mpya waziri Kombani alisema kuandaa Katiba mpya ni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimepata taarifa za kuaminika kuwa wamiliki wa Dowans in Genge la Mafia. Hawa jamaa inasemekana waliiambia serikali kuwa wapo tayari kuisaidia tz umeme kwa masharti kuwa awepo mtu wa kusimamia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kikao cha bunge tayari kishaanza, ila cha kushangaza mpaka sasa hivi TBC hawajaanza kuonyesha yanayojiri huko.Je, kuna ajenda wanayotaka kuificha wananchi wasiijue au tatizo ni nini hasa? coz tuna...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hapo zamani za kale kwa mujibu wa mkataba wa muungano, Zanzibar ilikuwa na mdau muhimu ndani ya muungano ambae pia alikuwa ni makamu wa rais ndani ya serekali ya muungano. Tumeondoshewa hilo la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV leo usiku jumla ya baa tatu zimechomwa moto na watu wasiojulikana ndani ya wiki moja. Inavyoonekana watu hawa wana mpango wa kumaliza baa zote huko zanzibar...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Leo madiwani wote wa manispaa ya walikuwa na semina elekezi,katika hali ya kushangaza akahudhuria Mwahija Choga ambaye nec inalazimisha kwa maelekezo ya CCM awe diwani viti maalum wa TLP wajumbe...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katibu wa Bunge amesema Hakuna haya ya kuzungumzia hoja ya katiba ambayo ilitakiwa kuwasilishwa na Mbunge wa Ubungo Mhe John Mnyika kwa sababu Serikali imeanza mchakato wa Katiba Mpya...
0 Reactions
1 Replies
968 Views
Katika hotuba yake ya mwaka mpya JK alisema chadema watachochea migomu vyuoni. muda haukupita vyuo vyote nchini vikakumbwa na migomo. Je, migomo imechochewa kweli na cdm? Basi chadema inatisha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
....matukio mengi sana ya maandamano ya amani nchini Tanzania yamegubikwa na fujo ambazo maranyingi husababishwa na polisi kuingilia kati wakidai eti kuna uvunjifu wa amani!! lakini ukweli ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa hili ninaimani kila mtanzania analijua ni viongozi wawili tu katika serikali ya jk waliogoma na kubishia malipo ya dowans na wakiwa kwenye ya baraza la mawaziri la sasa ambapo mwanzo walisemwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Gazeti maarufu la Financial Times limeandika kuwa, mabadiliko katika nchi za Kiarabu ni jambo lisiloepukika na kwamba Marekani haiwezi kuwasaidia chochote marafiki zake yaani watawala wa nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hatua ya Kiwete kuanza kutupa lawama kwa wapinzani wake juu, hasa hasa Dr Slaa na Chadema kwa migogoro inayojitokeza Tanzania ni dalili za wazi kwamba tumempatia kazi asiyoiweza. Kikwete anataka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilikuwa naangalia jana waziri Kawambwa alivyokuwa akizongwa na wanafunzi wa Udsm nikakumbuka enzi za viranja wa shule za msingi na sekondari wanapojaribu kuwashawishi wanafunzi kukubali hoja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukijaribu kutafakari kwa undani tabia na ujasiri+uthubutu wa Lowasa,bila shaka utajiridhisha kuwa kikwete hakustahili kuwa Boss wake. Ndiyo,hakustahili..Lowasa kwakiasi kikubwa hamezi...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Viongozi wa mwanzo wa Taifa la Tanzania kote Tanganyika na Zanzibar hawawezi kupuuzwa kuwa hawakuwa na moyo wa dhati kuanzisha miradi mikubwa iliyo na nia thabiti ya kunufaisha Watanzania. Kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom