WanaJF:
Baada ya kutafakari hotuba ya JK aliyotoa akiwa katika magwanda ya kijani hasa katika sehemu ile aliyojaribu kujisafisha kutokana na sakata la kampuni ya Dowans – ni dhahiri...
Hivi karibuni katika siasa za kimataifa kumekuwa na wimbi la watu kufanya mabadiliko ya utawala dhalimu kwa style ya maandano na civil disobedience maarufu kama "nguvu ya umma". Mifano ni...
Kila unapofanyika utafiti na asasi mbalimbali basi utakuta Jeshi la Polisi
linaongoza kwa kuomba na kupokea rushwa. Kibaya zaidi wanapenda
kuwabambikizia watu fake kesi. Hivi sasa kuna watu...
Vyombo vya usalama vya wananchi wa Misri vimesema haviwezi kuzuia wananch wake kufanya maandamano na vimetukuwa vikilinda amani. Vyombo vya Ulinzi vya Tanzania vi kwa ajiliy ya wananchi au kwa...
Hivi ndugu zangu wanaoshabikia au waliowanachama wa CCM, wanafanya hivyo kwa kigezo kipi? Naamanisha ukitoa wale vigogo mafisadi, hawa wenzangu na mie wanachokipata ni kipi?
Maana kama njaa na...
Wakuu nimekutana na umati mkubwa wa wafuasi wa chama cha CUF ukiandamana kuelekea viwanja vya Kidongo Chekundu. Haya maandamano kwa mujibu wa matangazo wanayopita wakiyatoa ni kwa ajili ya kupinga...
Kizazi cha leo kimerithi Uhuru toka kwa kizazi kilichotangulia ambacho kilirithi ukoloni toka kwa kizazi kilichowatangulia.
Najiuliza, kizazi chetu kitaacha urithi gani kwa ajili ya kizazi...
Ndugu wanachama wenzangu wa CCM
Ni kweli mambo yanatuwia magumu kwenye ulingo wa siasa, tunaitaji kada CCM damudam wa mwaka 2015.
Samwel Sitta+Mwakyembe sio makada asilia.HAWATUFAI KWA CHAMA.
Mim...
Jamani,
Huu siyo utani. Ninamaanisha nachosema. Yaani kila ninayeongea nae iwe ofisini, kwenye daladala na maeneo ya mapumziko, anamlaumu sana kikwete kwa jinsi anavyoongoza nchi. Wengi...
We need to reflect and recognize special talents, undetered committments, courage, and determination of a few of us in the fight against corruption in our country, by way of blogging. To start...
Sheria ya Office of Attorney General (Discharge of Duties)
17. 1. Notwithstanding the provisions of any written law to the contrary, the Attorney General shallhave the right of audience in...
JK achochea moto
*Wasomi, wanasiasa wasema naye amegeuka kuwa mlalamikaji
*Wadai angeeleza serikali itakavyokabili genge la wahuni
Tumaini Makene na Grace Michael
HOTUBA ya Rais Jakaya...
Mh.Rais J.Kikwete baada ya kuapishwa 2005,alihutubia Bunge na kutangaza kuongeza ushuru wa magari ya Mitumba(recondition cars) yaingizwayo tz kwa kisingizio kwamba 'yanachafua mazingira,na...
Nimeshangazwa na kauli za baadhi ya viongozi wa CCM pamoja na viongozi wa Dini fulani mkoani Arusha kupinga tamko la Maaskofu walilolitoa baada ya kotokea vurugu mkoani Arusha. Pamoja na shutuma...
Ndugu zangu wanaJF tuwe wakweli,
Hivi kwa staili ya uongozi wa kikwete ni nani anayeweza kushindwa kuongoza Tanzania? Kauli kama hii, aliwahi kutamka Baba wa Taifa Mwl. Nyerere wakati akimnadi...
1.Kukosa viongozi wenye kuweza kutengeneza dira (Focus) bila kuwa na maono huwezi kupanga mikakati ya kwenda kwa sababu hujui unakwenda wapi.
2.Kutokuwa na vipaumbele(stategic areas to stimulate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.