Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mwizi siku zake ni Arobaini. Siku zote imekuwa siri lakini hatimaye amekuja kujulikana mmiliku wa Dowans. Jambo moja la kushangaza ni kuwa kwenye gazeti la Mtanzania Rostam anasema Dowans ndiyo...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu,mwenye taarifa atujuze zaidi.Nasikia kuna kikao kilichowahi kufanyika huko bagamoyo,hela zikachotwa kila wizara,zikaambiwa zipunguze budget,hazina ikakauka.Je ni kweli imeshalipwa?Kesi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WanaJF, Wabunge ni wanafiki sana. Sana! Matatizo ya wananchi ndio mtaji wao. Mwisho wa siku nia na madhumuni ni vyama vyao viendelee kuongoza. Hakuna wenye nia ya kuwasaidia wananchi kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna tetesi kuwa hoja binafsi ya Katiba iliyowasilishwa na Mh. Mnyika na ile ya Dowans ya Mh. Kafulila hazitajadiliwa katika kikao kijacho cha bunge kwa kisingizio cha kutoundwa kamati ya...
0 Reactions
88 Replies
8K Views
Nimekianzisha chama cha United Liberal Movement (ULIMO). Lengo ni kuviunganisha vyama vyote vya siasa nchini katika kukiondoa CCM 2015. Bila kujali itikadi wala madaraka nataka kuunganisha nguvu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Madai ya kuwa Sugu ametembea na Shyrose ni mkakati halisi uliofanywa na UVCCM mkoa wa Mbeya ili kumchafua MBUNGE huyo wa Mbeya Mjini. Jafari, alipewa fedha taslimu sh. Mil. 5 na wakereketwa wa CCM...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Jamani naomba msaada, kuna kitu naandaa hapa nahitaji msaada kwa yeyote mwenye taarifa sahihi..... Hivi mafao ya mawaziri waliomaliza muda wao(au yaani baada ya miaka mitano hawakuchaguliwa tena...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni msaada wadau innataka kupajua.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
I guess the whole world will soon be a mobile application. Read the story at BBC News - Catholic church gives blessing to iPhone app
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Nionavyo::: Amani haiwezi kupatikana kama Maendeleleo hakuna: MAENDELEO KWANZA AMANI BAADAE.
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Halmashauri ambazo Chama cha Democrasia na Maendeleo kimepata ridhaa ya wananchi kuziongoza, pamoja na Majimbo ya ubunge yanaweza kuwa kitanzi dhidi ya chama hicho siku za usoni hasa kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
CCM wengi wenu unawaponza, hamjui impact ya hii Move
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana jf wasalaam. Hivi hawa wabunge tuliowachagua wanatekeleza majukumu yao kwa ufasaha? nimekuwa nikijiuliza unakuta mtu ni mfanyabiashara mkubwa(au mzuri) lakini anajiingiza kwenye ubunge, na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ingawa walikuwa na umri mdogo, lakini baadhi yao kazi walizofanya zinatufanya tusiwashau katika nchi hii
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mi nafikiri ustaarabu unahitajika zaidi na si ubaguzi kwenye kushughulikia suala hili maana tutajikuta tuko kinyume hata na UN Resolution on Race and Human Rights though we have ratified the...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Vipi hii tutaipa hata sie wananchi wa kawaida na Je watakuwa wameandika ukweli?
0 Reactions
2 Replies
969 Views
Bunge la Kenya limeonyesha makali yake kwa kukataa kuburutwa na mahakama Kuu ya huko ambayo iliamua uteuzi wa Kibaki ulikiuka katiba ya nchi hiyo....................... bunge hilo kupitia Spika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA KAULI YA KI-HUJUMA ILIYOTOLEWA NA CHADEMA DHIDI YA CUF. Jumatano, 02 FEBRUARI 2011, 1100hrs, DAR ES SALAAM Ndugu waandishi wa habari, Chama cha wananchi...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Jamani mniwie radhi kama hati ya muafaka kati ya ccm na cuf zanzibar ilishawahi kubandikwa hapa janvini. Just out of curiosity, natamani kusoma hiyo hati ili nitafute ukweli/uongo wa hizi tuhuma...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Nasoma gazeti la guardian tarhere 25 November, limeandikwa "Here's teh Cabinet... kuna faces kama akina Goodluck Ole Medeye, Lwenge Gerson, Samia Suluhu, Mwakyembe, Nyalandu, Mulugo, Pereira...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom