tunahitaji kusoma nyakati na kuchungulia ni kitu gani wenzetu wanafanya. ni wakati wa kuwaiga Wamisri na Tunisia ambao walisimamisha mambo yao yote kuhakikisha wanaleta mabadiliko ya kidemokrasia...
Chama cha Mapinduzi kupitia kwa wabunge wake kimelazimisha vyama vya siasa viunde kambi ya pamoja ya upinzani. Kwa kuwa siasa huongozwa na itikadi, basi CCM ioneshe njia kwa kuchagua vyama vyenye...
Nimeona jinsi ambavyo CDM watu tumeshabikia kwa kukubaliana au kutofautiana na CDM kwa kugoma kushiriki mchakato huu.
Hata mie nilikuwa moved wakati ule,
lakini baadae nikawa najiuliza
je hiki...
Nguli wa kufikiri. Naomba nisaidiwe kujua vigezo vinavyotumiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kugawa majimbo nchini. Zanzibar inawatu wachache kuliko hata DSM lakini ina wabunge wengi katika bunge...
Yesterday incidents in the parliament has made me to believe that CCM are not ready to be corrected by anybody and they are afraid of a strong opposition!! sijui wanachofikiria, lakini najua sasa...
Ndugu zangu wana JF, yaelekea tunashangaa sana yaliyojiri bungeni jana. Kwa wana demokrasia yameamsha hasira tena, lakini ndio hali ya nchi hii. Hebu tujikumbushe:
1. Ili kukwepa Mrema Lyatonga...
Leo katika mahojiano ya channel ten Naibu Katibu Mkuu wa CUF bwana Mtatiro amekiri kuwa CUF inatekeleza ilani ya CCM kule Zanzibar na kwamba ilani hiyo ni ile ile ya Jamhuri ya Muungano wa...
Mh Makinda. Mimi ni miongoni mwa watu waliokupongeza sana ulipochaguliwa. Sio kwa sababu nilidhani kuwa unamzidi Sita, bali kwa sababu niliona wewe nawe unaweza ukipewa nafasi. Sikuamini waliosema...
CUF chama kinachounda Serikali ni wao, na chama kinachounda upinzani ni wao pia.
Kuna chama kingine chochote duniani ambacho kipo kotekote, serikalini na upinzani?
kweli hii nchi ni...
Kwa kila Mchambuzi na mfatiliaji wa siasa za tanzania,atakuwa aware na jinsi hivi vitu viwili vinavyoonekana ni tofauti kwa mujibu wa wanasiasa wa Tz,hasa Chama tawala. Kila wanaharakati na vyama...
Kutokana na jitihada za kupunguza nguvu za Chadema Bungeni ili kuikweza CUF kuwa na sauti kubwa katika upinzani -- sauti ambayo inaanza kupotea kama ilivyojionyesha katika uchaguzi ulopita, sasa...
Kikwete, Makamba nani mkweli?
Joseph Sabinus
SAKATA la malipo ya shilingi bilioni 94/- za Tanzania kwa kampuni ya kufua umeme wa dharura ya Dowans Tanzania Limited, sasa...
Ndugu zangu wanaJF,
Naomba kufahamu, Hivi JK ni rais wetu kweli mbona mimi napata wasi wasi kutokana mambo ambayo yamekuwa yanajitokeza mara kwa mara;
1. Mfano Rais JK anasema yeye haifahamiu...
Wananchi wa Taifa la Tanzania wanaendelea kudanganywa upigaji kura unamaana fulani wakati "Hakuna Democratic Process" yeyote ile. Tangu mwalimu Nyerere aingie madarakani na mpaka leo hii kaja...
President Zuma takes delivery of new Airbus
07 February 2011
President Jacob Zuma will tomorrow, 08 February 2011, officially take delivery of the first of...
Baada ya kupokonya hoja ya Mh. Mnyika kuhusu uundwaji wa katiba mpya serikali imetangaza leo bungeni kuwa itawasilisha muswada wa kuundwa kwa Tume itakayoratibu mchakato wa Katiba hiyo katika...
Wana-JF nauliza: Kwa nini Rostam anatumia gazeti la T. Daima kama jukwaa ili hali ana magazeti yake. Nazungumza kutokana na stori kuu ya leo katika gazeti hilo, stori ambayo Roistam alikuwa...
Mambo mazito ya kitaifa yaongee kwenye PRESS CONFERENCE, unanipata mkuu, achana na vijukwaa vya wazee wa SISIEM huko ongelea masuala ya propaganda za chama chako, siyo masuala nyeti kama DOWANS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.