Hili sio jipya:
January alipandikizwa na wapinzani wa hoja ya richmond ili akamtoe Mzee shelukindo, alichangiwa kwa hali na mali na Mh.Lowasa,Rostam na rafiki yake Manji...na sasa amefanikiwa...
Wana JF naomba kuuliza, kwa muda mrefu nimekuwa nikikwazwa na jambo hili ama mi ndo sielewi vizuri!
Azimio la Arusha lilileta umoja na ustawi wa Tanzania...
Azimio la Zanzibar, kama kweli lipo...
Toka kushoto mbele;Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein,Makamu wa Rais Serikali ya Muungano Dk. Mohamed Ghalib Bilali,Waziri Mkuu Mizengo Kayanda Peter Pinda,na Makamu wa Kwanza wa Rais wa...
Kama kawaida Mwanamke anashindikizwa na Rostam kupata Uspika na matokeo ni aibu tupu. Tukiangalia wanawake duniani waliopata nafasi za juu Kitaifa: Wanatetea Haki za Wanawake Hasa Wasio na Uwezo...
Kabla hata hatujasahau uchakachuaji wa kura za uraisi wa JK, kura za wabunge wa CCM, umeya wa jiji la Arusha, CCM sasa wameendeleza kufuru ya uchakachuaji wa waziwazi wa kanuni za Bunge. Ukisoma...
Prof. P.L.O Lumumba achambua serikali za Muungano katika Afrika inayolingana na CCM kuunda CCM-B, CCM-A n.k:
Serikali za Muungano wa vyama zinavyoua upinzani Afrika
Serikali ya Muungano ni kama...
Katika kuelekea uchaguzi wa October 31, Uwezo wa DR slaa kuimiri mikiki mikiki ya kampeni inapungua hii ni baada ya kukatisha kampeni zake JANa (23/09/2010) kurudi Dar kwa mapunziko
Magazeti ya...
CHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :
1. Waroho wa madaraka
2.Hawako kwa ajili ya maslahi ya Taifa bali ya binafsi zaidi
3. Kutokuwa na maamuzi sahihi, kwa maana hiyo basi utoto unawasumbua
4...
Habari ndo iyo.
Nasikitika kuona imefika hapo kwa suala ambalo ninaamini lingezungumzika. Nadhani vijana wa Engineering itabidi wa-review thinking yao.
Wenzao (mangwini) juzi walikuwa kwenye...
SOURCE: ITV leo taarifa yahabari ya saa mbili usiku..........
Yaani nilichoona kimenishtua sana..........................waangalizi hawa hivi walikuwa nchi gani vile?
Wamedai yafuatayo:-
a)...
kwa kweli hawa Chadema wana kazi, kwa mpango huu kweli wataweza alau kuresist nayao majimbo walionayo?
Kafulila alisema wachache wanaopinga suala hilo, kimsingi hawana hoja zaidi ya ubinafsi...
Wana Jf naomba nipatiwe link ambayo nitaweza kuangalia bunge letu tukufu pale Idodomea
kwani nimejaribu kuangalia kupitia ITV hawaonyeshi bunge hilo live,nisaidieni hiyo link...
Kesho ndio siku ya uchaguzi wa wenyeviti wa kamati za kudumu za bunge baada ya leo kutangazwa majina ya wajumbe wa kamati hizo.
Chama kilichoshika mpini Bingeni ndio determinant za nani...
Ipo haja ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania atoke chama kikubwa cha upinzani baada kuangalia ufunguzi wa kikao cha Bunge la Muungano Februari 2011 mjini Dodoma na yaliyojitokeza...
Naomba kufahamishwa kuwa baada ya uchakachuaji wa ccm kuhusu kambi ya upinzani Bungeni, huko mitaani wananchi wanasemaje? Nauliza hili kwa vile hatima ya nchi hii ipo mikononi mwa wananchi, kama...
Katika semina elekezi,madiwani wa chadema waibana serikali,kuanzia mkurugenzi tamisemi,RC,DC wakishinikiza ufafanuzi juu ya uchaguzi wa meya.Katika hali ya msisitizo wamemfukuza mkurugenzi wa...
Mchana huu waislam wa Kigoma wametoa tamko kali kuhusu dhulma walizofanyiwa na wanaouita "mfumo Kristo". wamemlaani Nyerere na wote wanaoendeleza dhulma. Nimeambiwa redio Imaan ilirusha matangazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.