Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
- Dadangu anatengeneza juice na ice cream, biashara imekufa baada ya hasara mfululizo inayotokana na kuoza kwa bidhaa hizo kwa sababu hamna umeme. -Kaka yangu ni kinyozi, bahati mbaya hana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Gharama wote tunalipia sawa unit tunanunua kwa bei moja, iweje maeneo mengine wapewe umeme muda mwingi kuliko sisi wakazi wa Temeke??? umeme wanakata saa 2 asubuhi na kurudisha saa 6 hadi 7 usiku...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
kuhusu swala la arusha, waziri mkuu alidanganya taifa na bunge, mbuge lema aomba mwongozo kuhusu upotoshwaji huo, mama kawa mbogo
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Na Omari Moyo, Arusha KIKAO kwanza cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kinaanza tayari kuunda Kamati za kudumu za halmashauri, huku kambi ya upinzani ikisema hawatakubali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ladies and Gentleman, Tafadhali tujaribu kuorodhesha bila jazba. Itasaidia sana endapo wachangiaji watatoa live examples, if possible.
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Leo baada ya Kikao cha Bunge, Ndugai alitangaza kwamba kutakuwa na Kikao kati ya Wabunge wa CCM na CUF Zanzibar, nadhani watakuwa na kikao cha Kupongezana na kuweka Mikakati ya pamoja
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila(NCCR) na Hamad Rashid wa Wawi(CUF) jana waliipiga vijembe Chadema wakieleza kuwa matokeo ya uchaguzi wa wenyeviti wa Kamati za Bunge yameonyesha chama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu, mpaka muda huu kuanzia saa nane mchana leo tarehe 07/02/2011 Spika wa bunge kwa kutumia kanuni za Bunge ambazo zinampa mamlaka ya kuunda kamati ya kanuni za Bunge na hii ni kwa mujibu wa...
0 Reactions
464 Replies
35K Views
NAOMBA TUZIJUE KAMATI ZA BUNGE HALAFU TUANGALIE WALE WALIOCHAGULIWA JANA WANAWEZA KUFANYA KAZI WALIZOPEWA AU??? KAMATI ZA BUNGE: MUUNDO NA MAJUKUMU YAKE 1.0 UTANGULIZI: 1.1 Bunge la Jamhuri...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Pamoja na Bw. Mapesa kueleweka kwa utendaji mbovu wa kutetea serikali ya kifisadi ya CCM na kuzima hoja za kimsingi alipokuwa mwenyekiti wa kamati za usimamizi wa mapesa yetu yanayohujumiwa na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Utekelezaji majukumu -- na hasa usimamizi -- kuhakikisha Uwajibikaji, Uwazi na Ukweli kambi ya Upinzani Bungeni unajengwa na mazingira ya wao kufanyia kazi Bungeni-- Kuwepo kwa kanuni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Sakata la CCM kubadilisha kanuni ni mbinu ya kuwazuia Chadema wasionyeshe uwezo wao na vipaji vyao vya uongozi Bungeni kupitia kamati za udhibiti wa matumizi ya fedha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Miongoni mwa vitu vinavyolalamikiwa sana ktk kila chaguzi kuu hapa nchini ni TUME YA UCHAGUZI.Malalamiko haya hupelekea mpaka watu kudiriki kusema wameibiwa kura wakati wana mawakala wao humo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwita kada wa chadema na mtatiro naibu katibu cuf wapo live channel ten 'BALAGUMU' mada.ushirikiano vyama vya upinzani bungeni. Mwita anasema ni vigumu kushirikiana.1 cuf ni sehemu ya serikali.2...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Pamoja na wananchi kukaa kimya kwa muda mrefu na kumwacha Mh Hamad Rashid kujitia kuwa yeye ndiyo msafi kuliko wengine wote asifikiri kuwa watu hawamjui tamaa yake inayomshinda Fisi, Bwana Hamad...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
5. Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana. 6. Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanza kabisa natoa pongezi nyingi kwenu kwa kuchaguliwa au kuteuliwa ili muweze kutetea maslahi ya wananchi wote wenye itikadi mbalimbali. Baada ya wananchi kuridhishwa na kazi iliyofanywa na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Closed
Nimejaribu kuchunguza upepo wa kisiasa tanzania na kusoma nyakati then nimegundua mambo yafuatayo: Kuna uwezekano mkubwa kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 hautafanyika kukiwa na tanzania...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sasa hivi hasira ya Watanganyika ni kubwa juu ya Hamad, Mzanzibari aliyeamua kushirikiana na CCM kuzuia mabadiliko yoyote ambayo watanganyika wanayataka katika Taifa lao. Ukweli ni kuwa vyama...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom