Kulingana na mfumo unaotumika katika mabunge ya "commonwealth", mwenyekiti wa kamati ya matumizi ya serikali anapashwa kutoka kwenye chama kilichoshika nafasi ya pili nyuma ya kile kinachounda...
Jamani, Mwakyembe na waziri wako, naomba mpitie hapa muone jinsi Nairibo inavyofanya kupunguza foleni. hizi flyovers hata south africa sidhani kama sipo, wala cairo wala Lagos au...
Najua mama huyu anasoma JF au pengine ni mwana chama kama sio basi jamaa zake mfikishieni kaujumbe haka ,nimemuona leo alipohamaki baada ya LEMA kuomba mwongozo wa spika kuwa inapotokea kiongozi...
Habari za kuaminika zilizonifikia hivi punde kutoka kwenye newsroom ya NewHabari, inasemekana CEO wake Hussein Bashe na Wahariri wa RAI wakiongozwa na Danny Mwakiteleko wamepigiwa simu na...
Kuna story ilikuja humu enzi zile wakati mzee wa kaya alikuwa anakuja nyumbani kubadilisha suit na kuanza safari nyingine ughaibuni. Nasikia that time hata carpet pale airport lilikuwa halikunjwi...
Wakuu,
Juzi mzee Mapesa alinichefua kiasi nikasema huyu mzee amekosa mwelekeo?, badala ya kujibu hoja ya msingi ya mbunge kijana Lissu yeye anakurupuka na kutoa lugha za matusi katika chombo...
Ndg zangu wana JF wapenda nchi yetu ya TANZANIA, hebu tukae tutafakali kuhusu hili janga kubwa la ukame.
Ukiangalia kwa macho ya kawaida utaona mambo ni kama kawaida, lakini kwa ukweli halisi...
Sura nilizozichoka kuziona na majina yao kuyasikia ndani ya ccm toka uhuru wa
nchi yetu.
1.Kingunge ngombale mwilu.
2.Edward Lowasa
3.John Samuel malechela
4.Yusufu makamba
Unaweza...
Sakata la Dowans bado linaendelea, Watanzania kama kawaida yetu ya kuingizwa mkenge na kushikia bango kiasi cha kuamini mambo bila kuwa na uhakika na undani wa jambo husika bado tunajitahidi...
Toka bunge limeanza tumeshaona jinsi ambavyo chadema wanapigwa vijembe na vyama vyote kuanzia ccm mpaka vyama vingine, hapo ndo unaona kabisa hao ndio wapinzani wa kweli ukiona wengine wanapigiwa...
In Tahrir [Liberation] Square in the Egyptian capital, there is a growing sense of camaraderie as demonstrators continue to rally until Hosni Mubarak steps down as president. As the unrest...
Sishangai kwa namna yeyote ile kuona wabunge wa CDM wakishambuliwa na wabunge wa CCM pamoja na washirika wao CUF,NCCR, TLP UDP. Kwa tathmini ya harakaharaka ni kwamba wakati graph ya Umahiri wa...
Anza maandalizi sasa Mzee Chuma Cha Pua.
Take notes. Soma alama za nyakati.
Watanzania tunataka Rais asiye mlafi, asiye mbinafsi, asiye mwizi, asiye fisadi, asiye na laana ya Baba wa Taifa.
Mambo yanyoendelea Tz yananikatisha tamaa sana. Mimi nipo nje ya nchi toka mwaka 2009, but nafuatilia sana mambo yanayoendelea huko through magazeti na humu kwenye JF. So bado nipo kwenye position...
Wakati akihailisha kikao cha bunge jana jioni' Naibu spika alitoa tangazo la
kwamba wabunge wote wa CCM na CUF kutoka Zanzibar wanaitwa kwenye
kikao fulani. Ndipo mh. zito kabwe akauliza kwa...
KAtika matokeo ya uchagizi wa wenyeviti wa kamati za bunge sijaona majina ya HAMAD RASHID na KAFULILA. Kwa kuwa ninaamini wamegombea nafasi mojawapo kati ya zile zilizowatuma kuomba bunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.