napenda kuwasihi wanachadema kuwa wavumilivu na kuonyesha ukomavu zaidi katika kipindi hiki muhimu kwani mafisadi wanakaza uzi zaidi kwa kuwa wameshikilia mpini na wameisha wanunua wanaojiuza...
Wabunge wa CCM siwaelewi kwa mambo yafuatayo:
1. Wanapoteza muda mwingi kujadili suala la wabunge wa Chadema kususia hotuba ya rais siku ya uzinduzi wa bunge la 10.
Wenzetu wanachadema wametoka...
Mbunge wa chadema Wanje akiongea kwa ujasiri uku akiwa na takwimu bila kuongopa akisema Kikwete ajafanya chochote na hatutaweza kumkumbuka.
Wana JF nampongeza Wanje kwa kusema hayo
Jana tarehe 08/02/2011 ni siku ambayo mimi na familia yangu tulifurahia jambo lililotokea Katika Bunge. Ni Jambo linaloumiza lakini ni jambo ambalo linafariji na Kutia hasira vile vile. Naona kuna...
Viongozi wa Muda wa TAwi na Viongozi wa Shina no 1 Houston, Texas
Katibu wa Tawi wa Muda akimpongeza Mwenyekiti wa shina no 1 Houston Cassias Pambamaji mara tu baada ya ufunguzi wa shina hilo...
Tunamefurahi kupata wabunge vijana, na haya yalikua maandalizi sio bahati nasibu, lakini tuna sikitika kuona kwamba wabunge hawa vijana hawana uwezo wakuchanganua mambo.kufikiria, na hawana...
Ndugu watanzania na wana JF wenzangu, kwa masikitiko makubwa napenda kuwajulisha habari ya msiba wa Prof. Daimon Mwaga aliyefariki jana usiku 8/2/2011 jijini Dar es salaam. Marehemu alikuwa...
Nashukuru nimesoma nakala ya hukumu ya mahakama ya kimataifa kuhusu suala la DOWANS vs TANESCO.
Hadi sasa nipo katika kipengere cha 337 lakini nimeshangazwa namna nchi yetu ilivyoharibika...
Nimewasikiliza hawa wabunge jana wakiongea kama wabunge wa CCM. Hamadi Rashid anasema eti Spika ametupatia ushauri mzuri wabunge wa upinzani. Cheyo naye anasema eti siasa za nchi isitawalike. Sasa...
Haitulii akilini kwangu kabisa! Wabunge CCM kushangilia CUF? Halafu CUF kinajiita chama cha upinzani? Bila kubebwa na njama za CCM kutoa tafsiri mpya ya kukubali hoja ya tafsiri mpya ya kanunu CUF...
Ndugu zangu bila shaka kwa wanaongalia bunge linaloendelea Dodoma utaona tofauti kubwa iliyopo kati ya wabunge wa CHADEMA na wale wa CCM, wa CHADEMA ni great thinkers na wenye mapenzi ya dhati na...
Imefika stage ya kujiuliza objectively; haya ya kugomagoma na kutoka nje na kurudi ndani ya bunge; kukanusha kumtambua kiongozi aliyeapishwa na kutambulika kikatiba; je, huu ni ulafi wa madaraka...
Unaweza ukashangaa huu uswahiba wa CCM na CUF. Kiuwkeli inaonekana sio sababu CUF ni rafiki ya CCM, bali sababu CUF ni adui ya CDM (Adui ya adui yako ni rafiki yako).
Sasa kama kweli CCM...
nachelea kusema kua mpaka sasa mwenyekiti wangu aliposema kua tutadai haki yetu kwa namna yeyote nje ama ndani ya bunge sasa kama el nae kapata uenyekiti na sasa huyo lm anaweza kweli kufikilia...
Salaam wana JF,
hakika nimeshuhudia anguko kubwa sana kwa hao wazee na kijana mmoja katika siasa za Tanzania. mwanzoni wote walijijenga kama wanasiasa mahiri na wakombozi wa Tanzania, lakini sasa...
Mimi sielewi kabisa mantiki ya watu kukimbilia kusema Chadema wanajimaliza Kisiasa kwa kutoka nje ya bunge..... kwa nini watanzania tunapenda conclusion (mahitimisho) rahisi na yasiyo na ukweli...
Nakumbuka septemba 15,pale mwembe ya wakati wa list of shame! ikaja issue ya BALALI NA EPA,mara kujiudhuru kwa Lowasa,MARA dowans ! hivi haya mabo hadi lini mbona hali hii sasa imedhidi kwa nini...
Jana usiku kulikuwa na mjadala kuhusu masheikh kukutana na maaskofu katika kikao cha leo. Kwa bahati baadhi ya waislam ambao wanaamini hawajatekwa na maaskofu walikuwa wakitoa maoni yao...
Ukifuatilia hali ya siasa zETU UNAWEZA UKAKATA TAMAA YA KUISHI!Huwa najiuliza hivi Wazanzibar kumbe walichokuwa wanagombea ni madaraka kwa wachache tu! Hivi wale watu waliokufa wakifufuka leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.