Ni haki kumletea wito wa mahakama Mbunge ndani Bunge, akiendelea na shughuli za kitaifa!! Bunge kama limefikia hatua kama hii ya kudharaulika ni hatari; kwanza huyo aliyempa Tundu Lissu summons...
Mimi nilibahatika kupata muda wa kutizama Bunge jana japo kwa muda mfupi. kwanza niligundua kua huyu mama mbunge aliyekua anaomba CDM wapewe adhabu ana lake jambo. Toka awali alionekana ama kuomba...
Kwa baadhi yetu,bunge hili la sasa halitupi matumaini yeyote. Hii inatokana na ukweli kwamba tangu kuchaguliwa kwake limeonyesha udhahifu mkubwa katika kuweka vipau mbele vyake. Tuanzie na hili la...
Nimetatizwa na hali iliyojitokeza jana bungeni pale wabunge wa CHADEMA walipoamua kutoka nje ya ukumbi kususia hoja ya kufanyia marekebisho kipengele cha kanuni ya kambi ya upinzani bungeni. Kwa...
Wana Chadema msife moyo, mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe. Hayo yote yanayofanyika bungeni wameshajua kuwa chadema hawashikiki. Bado moto utawaka tu na kamwe Chadema haitaporomoka. Huku...
Hivi ninyi mmeshinda kwa asilimia 20 mnakataa kushirikiana. Mngeshinda kwa asilimia 60 sijui ingekuaje! Mimi nadhani umoja wa kambi ya upinzani ni jambo muhimu. Tuache ubinafsi, alisema Kafulila...
kwa wale waliopo mjengoni au wenye uwezo wakupata taarifa za yanayojiri ndani ya bunge kwa siku ya leo mtujuze tusiokuwa mjengoni au kutazana tv au radio hasa kwa makamanda wetu tuliowatuma dodoma
Kuanzia jioni hii tarehe 8 Februari 2011, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tz litajadili hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoitoa Bungeni hapo mwezi Novemba 2010. Bunge lina...
Naombeni majibu jamani, hali ni mbaya sana bungeni. Hapa ndipo penye matumaini ya wanyonge na bado panatumika na watawala. Tuendelee kuvuta subira kweli?
Kwa alliance hii ya CUF, je ni ukomavu wa kisiasa, Confusion au kuitumikia CCM
CUF+CCM Zanzibar=serikali ya umoja wa kitaifa
CUF+CCM Muungano=kizingiti kikubwa ca CHADEMA Bungeni
CUF+NCCR, TLP...
Siasa za bongo bwana....
Hivi majuzi cuf walifanya maandamano ya kupinga dowans kulipwa, kawaida siku zote mstari wa mbele wa maandamano yao huongozwa na lipumba na seif. Juzi seif hakuonekana...
Hili nimeliona ni: CDM vs CCM + vibaraka ( CUF & NCCR). Kafulila and Rashidi 'are you serious with destiny of this nation? CDM YOU WILL NEVER WALK ALONE in your fights I am with you.
Sasatumefika kwenye fundo.Mambo hamkani si shwari katika nchi yetu.Wakati mgawo wa umeme ukiendelea kote nchini na harakati za DOWANS,hali ya maisha mtaani imekuwa mgumu,bidhaa nyingi zimepanda...
Napata shida sana kuelewa kuhusu chama hiki kudai kuwemo katika kambi ya upinzani wakati huo huo kwa upende mwingine ni watawala tena wakitawala pamoja na CCM Zanzibar.Je wana uhalali wa kuwa...
Kusema kweli ndg zangu wana jf leo nami nimeshindwa kuvumilia kuhusu hili la mgao wa umeme,maana naona mkuu wa nchi this time ameamua kunyamaza kimya na hatuoni tena yale makeke au mbwembwe zile...
Mbowe wakati anachangia hoja ya kuleta tafsiri ya kifungu na mkakati mzima wa kuwafungisha wapinzani ndoa ya lazima alisema yafuatayo:
Ushirika ni jambo la msingi lakini katika bunge la kumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.