Pinda anasema kuwa madiwani wa ccm walikuwa 16 na wapinzani walikuwa 14 kwahiyo ni dhahiri kuwa ccm wangeshinda kwa wingi wao.
Waziri mkuu anasahau kuwa tz ni nchi ya kidemokrasia siyo lazima...
Peopleeeeeeee!!!!!!
Habari zenu wananchi wenzangu!!
Naipongeza sana Chadema kwa mafanikio iliopata kwenye Majimbo mbalimbali hapa Nchini..Hii inaonesha jinsi gani chama kimevuka malengo yake...
Madiwani Arusha kuanza vikao kwa mvutano
Na Omari Moyo, Arusha
KIKAO kwanza cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kinaanza tayari kuunda Kamati za kudumu za halmashauri...
Mpaka leo tunaona mbinu na jitahada za kuficha kila kosa na madhambi walioyafanya na wanayotaka kufanya lakini Wananchi na Chadema - Tutaendelea kupamba na kupinga CCM kokote duniani. Huu sio...
Ndugu Zangu,
SASA ni dhahiri shahiri kuwa CHADEMA inapoteza mwelekeo. Hili si jambo jema kwa demokrasia yetu changa tunayotaka kuijenga.
Nimesoma kwa makini magazetini habari kuhusu...
Sababu kuu ya Chadema kugoma kushirikiana na CUF ni kwa vile CUF ni sehemu ya serikali ya umoja huko Zanzibar. Mimi nauliza ivi kama CUF ingeshinda kuongoza Zanzibar bila serikali ya umoja, na CCM...
Kutokana na hali ilivyo sasa huko bungeni mnaonekana hakuna wanaowapenda maana kila anaesimama lazima apige kijembe lakini kuna siku watawaelewa Kama vile wananchi wenu wanavyowaelewa wako pamoja...
Na Maggid Mjengwa,
MMACHINGA wa Afrika anajua atazikwa wapi mauti yatakapomfika, lakini, kiongozi wa Afrika hana hakika ya wapi atazikwa mauti yatakapomfika.
Na hata kama atazikwa...
Mramba na wenzake wanashtakiwa kwa makosa ya abuse of office na makosa yako ni kutofuata taratibu. liumba nae ndilo lilikuwa kosa lake. ukisoma hukumu ya dowans kulikuwa na ukiukaji mkubwa wa...
MORE than 1000 police will guard the terrorism trial of radical cleric Abu Bakar Bashir in Jakarta today. Bashir is accused of motivating and financing terrorism and of being...
Wadau,
katika bunge lililopita RA alikuwa ndio mbunge anayeongoza kwa kutosema chochote bungeni.
Sijui kwenye hili bunge letu "tukufu" la kumi atasema lolote? Mkuu Rostam, kama unasoma hii...
Baada ya Bunge la JMT kutoa tafsiri ya maana ya Kambi ya upinzani bungeni ambapo lengo lake kuu lilikuwa ni kujali maslahi ya kitaifa zaidi na si ubinafsi wa watu wachache wenye uchu na uroho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.