Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wana jamvi kama mjuavyo mgao wa umeme sasa umeshika kasi. Niko hapa mwanza leo ni siku ya nne hakuna umeme, wanakata sa kumi na mbili asbh wanarudisha usiku hivyo no acces to tv. Nimeamua kununua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
sisi TZ vip CCM hatujaichoka manake hadi nazeeka bado jamaa wanatawala na hawana dalili ya kuondoka despite the falure in the regime. I love TZ.
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Natoa pongezi zangu nyingi kwa zitto kabwe (mb) ambaye muda wote amekuwa a good gentleman with showing patriotism in the parliament. Ni mbunge mmoja tu wa upinzani ambaye toka niangalie bunge...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Watanzania wenzangu, Siyokwamba nayaandika haya nikiwa napenda,lakini ninaona jinsi Nchii hii inavyoongozwa na Wanataaluma wasiojua kutumi fani zao pale inapotakika. Najua Waziri Mkuu ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ndugu zangu huku kwe2 umeme umekatika tangu asubuh kwa hyo cjuwi nini kinaendelea bungeni naombeni mnipe habari nami nijuwe kinachoendelea huko. HUKU KWE2 UMEME UNARUDI SAA TANO USIKU.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg. Wapendwa jana katika tarifa ya habari ya saa mbili usiku TBC walitangaza kuwa kiwango cha kufaulu matokeo kidato cha nne "chapanda" ikilinganishwa na mwaka uliotangulia. Hata Thread iliyokuwa...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Send to a friend Thursday, 10 February 2011 21:23 KIONGOZI wa upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema ataunda baraza za Mawaziri kivuli litakalojumuisha wabunge wa Chadema pekee. Akizungumza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watanzania wangapi wamekuwa "punk na ccm" Kweli watanzania tumekuwa watu wa namna gani? Huyu Lowasa kaibia Taifa lake na ilijulikana wazi Richmond ilikuwa ya kwake. Kutokana na sheria za Kikwete...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni kutotutendea haki wananchi, wanachama, na wapenzi wa CDM Kulazimishwa kwamba CDM iungane na vyama vingine ili kuharakisha kuiangusha ccm. kwani panya 90 wakiungana akija paka kuna panya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jioni hii nimesikitika kumuona mbunge bungeni anasema maendeleo ni pamoja na jengo la bunge, hapa ni sawa na Jk aliposema kuwa na magari mengi ni maendeleo hakika Tanzania ina watu wapuuzi sana...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Gazeti la jambo leo toleo la leo tar 11 feb. 2011, ukurasa wa mbele kabisa kuna picha ya mtu mmoja ambaye kwa mujibu wao wanasema jina lake halikuweza kupatikana. Kapigwa picha inayoonesha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukisoma kwa makini hoja zinazoletwa huku ni malalamiko ya siasa na siyo siasa! Majadiliano ni kuhusu CDM, CCM, CUF, NCCR na TLP! Wengi hawajui hata hivyo vyama vinasimamia nini. Suala kwamba...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Kwa waliomwona na kumsikiliza Pinda akielezea kuhusu mauaji ya Arusha watahitimisha bila shaka yoyote kuwa ni mnafiki na ana tabia inayofanana na Paka. Anaoongea mambo yasiyothibitishwa huku...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
As we are speakng now do not miss to follow up on the international media BBC, CNN and Aljazeera on the onlinne news about the fate of the Egypt, there are news that Mubaraka is about to step down...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
habari zenu wana JF nimeshangaa sana leo wakati naangalia kipindi cha bunge kuona mbunge wa Lushoto bw. Shekifu eti akiishauri serikali kuanzisha mpango wa train iendayo kasi ili kukuza uchumi, ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesoma taarifa ya bwana Felichesmi Mramba kaimu Mkurugenzi mkuu wa Tanesco na ninamnukuu Alisema shirika linawasiliana na serikali kuangalia uwezekano wa kupata mitambo ya dharura ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I) Katiba wanataka kuunda wao. Katiba ya kwanza waliunda wao na Nyerere, wakerebisha wao na sasa katiba mpya ccm hao hao wanataka waunde wao. Huu ni ukiukaji wa Haki za binadamu. Kuna maana gani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
'Bunge la spika Sitta lilikuwa bora' Thursday, 10 February 2011 21:16 Geofrey Nyangóro UBORA wa Bunge la Tisa chini ya Spika Samwel Sitta, umezidi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu Zangu, KUNA mawili yanayoweza kutokea binadamu unapoukandamiza mpira uliojaa na hata ukabonyea. Mosi, kama umebonyea, basi, yaweza kuwa upepo umetoka kidogo. Pili, kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kafulila, Hamad waipiga vijembe Chadema Send to a friend Wednesday, 09 February 2011 22:08 0diggsdigg Hamad Rashid Mwandishi Wetu, Dodoma MBUNGE...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom