Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nmesoma hii nkavutiwa ina hoja tuijadili Courtesy of Ignas Kanuya. Nimesoma nakala ya hukumu ya mahakama ya kimataifa kuhusu suala la DOWANS vs TANESCO. Hadi sasa nipo katika kipengere cha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimemsikiliza kibamba bbc ametoa hoja nzito sana. kwanza amemsifia sitta kwa uongozi mzuri bunge lililopita na akasema bila yeye wala bunge lisingekuwa imara. ameonyesha wasiwasi kama huyu mama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vijana wa tanzania saa ya ukombozi imefika tuungane tuingie kazini kwa ajili yetu na vizazi vijavyo kwani tuna kila sababu ya kuipinga serikali ya kiukandamizaji kwani sisi tuna hali mbaya sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kipindi cha zaidi ya Miongo 30 au zaidi imedhihirika wazi kwamba serikali ya ccm kwa makusudi au kwa jeuri tu wana fanya mambo ambayo ni wazi haya saidi kukuza uchumi wa nchi na pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mh Ndugai pamoja na wenzako fulani inaonekana uliumia sana wabunge wetu walipotoka nje wakati rais anahutubia. Leo naibu spika amesema eti wananchi waliowatuma wabunge hao...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
jamani nawapa hii nihatari walimu waliamua kugoma kimya kimya tangu 2010 ndyo maana matokeo hako hivi na mkakati ni kufika asilimi 95% ya kufelisha pengine serikalia itasikia,si unaona leo angalau...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Vijana wa tanzania saa ya ukombozi imefika tuungane tuingie kazini kwa ajili yetu na vizazi vijavyo kwani tuna kila sababu ya kuipinga serikali ya kiukandamizaji kwani sisi tuna hali mbaya kuliko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeshangaa sana kusikia suala la machafuko ya Arusha yanajadiliwa wakati yapo mahakamani. Je tumeambiwa nini kuhusu Dowans? Ni ule msemo wa mkuki kwa nguruwe siyo. Kweli mimi sielewi tunapelekwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mbio za sakafuni zinaishia ukingoni, Ni dhahiri kwamba kwa mara nyingine tena Mh John Cheyo ambwaga vibaya Mh Hamad Rashid katika kuongoza kamati ya kudumu ya bunge.hamad kwa mawazo yake alijua...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Hivi nawauliza CUF hawawezi kuchangia bungeni bila kuwasema vibaya CHADEMA? Huyu Mnyaa, mbunge wa Mkanyageni kupitia CUF badala ya kuchangia hotuba ya rais yeye anakazania kuwasema chadema...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Walau kwa leo nimeguswa na hoja iliyotolewa na Mheshimwa Baruani Mbunge wa Lindi, kwamba, wakati mijadala ya BUnge inaendelea pengine ingekuwa vema wakawa wanaonyeshwa picha ya maisha halisi ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa Bw. Hosea anajiosha kwa wananchi kuwa mafaili 60 ya kesi za vigogo yamekaliwa na DPP - Bw. Feleshi, DPP Feleshi amepinga kauli hiyo na kusema...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Kamati za Kudumu Bungeni umeisha ukiwaacha Mhe. Edward Lowassa na Mhe. Peter Selukamba videdea wa Kamati za Bunge za Mambo ya Nchi za Nje na Miundombinu, respectively. Hii ina maana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa upande wangu huwa napata faraja Chama cha upinzani kinapopata misukosuko ,kumbukumbu za CUF ni kubwa na kwa kweli viongozi wake walifika kuswekwa jela kwa muda mrefu wakibambikizwa makesi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika kuonyesha msisitizo,leo katika kikao cha madiwani manispaa ya arusha madiwani wa chadema wametoka nje ya kikao,kusisitiza kutomtambua Meya sasa hivi wanafanya press conference
0 Reactions
17 Replies
2K Views
yaani kila nikiamka siwaoni african dreams naona makamasi tu.kila kanakoingia katoto ka mkulima,bwana lusinde hilo sio eneo la kutafutia umaarufu,wenzio wenyeviherehere kama wewe wamekuwa toto...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani CCM ndiyo chama tawala kwa Tanzania hilo halina ubishi. Lakini mwenendo wa siku za hivi karibuni kweli unanitisha. 1. Kila mara kiongozi wa CCM anaposimama kuongea yaani anaoongea vitu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wabunge wa Chadema wametoka nje kupinga kubadilisha kwa kipengele cha na ushirikiano wa wabunge wote wa upinzani.
0 Reactions
399 Replies
33K Views
Nadhani kwa wale ambao mko kenya kwa sasa hivi mtakubaliana nami kwamba, serikali ya Mwai Kibaki amecharuka. Jana nimetoka airpoty kuelekea mjini. Baada ya kushuka kwenye TEXI kuingia hotelini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tumeweka Makala kadhaa kuhusu Wazanzibari jinsi wanvyoukataa muungano na Bara wanaita ni wa kichawi, wakila maneno mabaya; lakini Moderator hapa anaiondoa kuna sababu? Au tunatakiwa kuongelea tu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom