Kikwete,Waziri Mkuu,IGP uongozi wenu utaheshimika sana kama utawala wa Sheria utafuatwa.Hatuwezi kuendelea kubebana, kuvumilina ,kwa upendo na Amani kama Haki za Msingi za Mtanzania...
Kuna kila dalili kuwa huyu mama atashindwa kulimudu bunge la kumi. Anaendekeza sana itikadi za vyama kuliko ukweli. Kwa mtu yeyote mwenye jimbo lake hata kama angekuwa yeye ndiyo mbunge wa arusha...
Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere...
Katika kikao hiki kinachoendelea tunashuhudia mambo mengi ambayo hatukuyatarajia yatokee. Nashawishika kusema kwamba, kwa kujua ama kwa kutokujua, Makinda kama spika na CCM ambacho ni chama tawala...
Hakuna anayeweza kupinga kuwa hali iliyokuwapo Zanzibar ilikuwa tete kabla ya muafaka, hili halipingiki .lakini kile ambacho ccm wanajivunia kuwa wameonyesha nia safi na ukomavu wa kisiasa ni wao...
Heshima zenu wapendwa!
Hili nalo linanichanganya mwenzenu sijui kama mwenye kuweza kunisaidia.
Kwa mtazamo wangu mimi nadhani wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni wengi kuliko kazi...
Wadau leo Bungeni katika kipindi cha maswali kijana Zitto kanifurahisha sana alipoendelea kuyacheka majibu ya waziri Ngereja alipokuwa "anajibu" swali la Zitto kuhusu mgodi wa Kiwira na umuhimu...
katika kuonyesha hali ya kujipendekeza kupita kiasi au kutojua mambo,tambwe hiza jana usiku katika kipindi cha kurunzi ya mlimani aliropoka eti kikwete ni bora kuliko nyerere eti kwa sababu tu ya...
Jumuiya ya Ulaya leo imetoa ripoti kamili ya uchaguzi wa Tanzania 2010. Pamoja na mabo mengine, imetilia mashaka ujumlishaji wa kura (uchakachuaji) uliofanywa na Tume ya Uchaguzi (NEC). Pia...
Katika hali ya kutapatapa na kuhakikisha mafisadi hawaguswi, juhudi za maksudi zimeanza kuchagiza kuzibwa midomo watu wote wanaojaribu kuongea ukweli.
Jitihada hizo zimeanza na gazeti la Rai...
Tanzanian President Kikwete and his wife take an HIV test
as part of a new national testing campaign. (02 August 2007)
Wana JF,
Kuna anayejua majibu ya wapendwa hawa baada ya kupima na...
Ni Rais mwenye upendo kwa Watanzania kwa kuwa anajua jinsi CCM ilivyooza bila kuondoka madarakani nchi haiwezi kupata maendeleo na katumia akili sana kukiuwa chama cha CCM bila watu kujua...
Jamani tunaomba wabunge wa CDM wawe makini sana. Wenzao wa CCM, CUF, TLP na NCCR wamezama na kubobea kwenye siasa kwa muda mrefu. Nina wasiwasi kuwa badala ya kujijenga kwenye bunge hili ili...
huyu bwana anachangia upuuzi ambao hata ccm hawezi kusema.amesifu shule za kata,amelaumu maandamano vyuo vikuu eti ni ya kisiasa na waachane na siasa.sasa huyu haendani na kasi za cdm.amenichefua sana
KIONGOZI wa upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema ataunda baraza za Mawaziri kivuli
litakalojumuisha wabunge wa Chadema pekee.
Akizungumza katika mahojiano maalum na Mwananchi ofisini kwake...
Jana niliweza kufuatilia mjadala uliokuwa unaendelea bungeni, kimsingi Nidhamu iliyokuwa ikionyeshwa na baadhi ya wabunge na lugha ambazo walikuwa wanazitoa kwangu mimi zimenivunja moyo sana...
Naibu Speaker alionekana kwenye TBC katika maongezi akiwa na Mbowe....akasema kuwa demokrasia ni DICTATORSHIP OF THE MAJORITY.
Kwa kweli demokrasia ya "dictatorship of the majority" au "tyranny...
Naona watu wengi sana wanachanganya mambo, wapinzani si wamoja na hawana sababu za kuwa wamoja kama wangekuwa wamoja basi wangekuwa na chama kimoja cha upinzani kikiwa na vision na mission moja...
Ndugu wana JF, ufisadi wa malizi za umma umekisiri hapa nchini ketu. Wabunge na Mawaziri wamekuwa wakijifanyia mambo kiholela na kuwaibia wa tanzania mchana kweupe. Wizi kama ule wa RICHMUD, EPA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.