Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wana JF Vijana ndo wanaadhirika zaidi na umaskini wa TZ. Je tukianzisha jumuiya/jukwaa la vijana Tanzania lisilokua na itikadi yoyote ya siasa inaweza kusaidia kuwaweka vijana wote pamoja bila...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hellow wana JF kwa wale wanaokosa muda wa kufuatilia Bunge mchana kutokana mna mchakato wa kimaendeleo, Bunge linarudiwa tena usiku saa nne na nusu na STAR TV, Kila siku litakalofanyika..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa makini mjadala ulikuwepo bungeni juu ya " Kambi rasmi ya upinzani" na mwenendo jumla wa maamuzi ya CDM, nimeridhika kuwa ama CDM wana-apply strategic stupidity au strategic...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
hivi kwanini ccm hawapendi kukubali ukweli? jana Mh Mbowe wa Cdm alisema namsifu President kwa kukubakli kufanya mchakato wa kubadili katiba japo haikuwa kwenye ilani ccm ya uchaguzi ya 2010...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pamoja na kwamba huna mkuu, ni mtu wa staha, na ni mapema sana, lakini kwa kanzi ya kwanza nzito uliyopewa ulionyesha uzalendo wa hali ya juu. Najua kazi ile ya kamati ya umeme ilikuwa hatari...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Rick Newman, On Friday February 11, 2011, 5:28 pm EST There are no Mubaraks on the Forbes list of the world's richest people, but there sure ought to be. The mounting pressure from 18 days of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF, Kumekuwa na mkanganyiko au kutokuelewa kwa faida na hasara, mipaka na nafasi ya mawazo binafsi ya wanachama wa siasa. Imekuwa ni kawaida kwa Mbunge wa CDM, CUF, TLP au NCCR kusema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KATIKA hali ya kushangaza jana Spika wa Bunge Anna Makinda alimruhusu Mbunge wa Nkasi, Ally Kessi Mohamed (CCM), kusema kuwa angepata ubunge kwa tiketi ya CHADEMA ingekuwa kashfa kubwa kwake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nimekaaa nikajiuliza mbona wabunge CCM hawazungumzii suala la mgao wa Umeme au wenyewe haliwagusi?? hata wale wanaopata nafasi ya kuzungumza bungeni hawatoi kero hii au wamekatazwa??
0 Reactions
0 Replies
771 Views
NIMEWAZA!,MKWERE ALIPOTANGAZWA NA NEC KUWA PREZIDAA, NCHI YAKE YA KWA KWANZA KUVISIT NI KWA HOSNI MUBARAK WHO STEP'D DOWN FOR 30YRS OF DICTACTORSHIP, UKIANGALIA KWA JICHO LA TATU UTAONA KUNA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
EU ELECTION OBSERVATION MISSION TO TANZANIA ISSUES ITS FINAL REPORT IN DAR ES SALAAM Chief Observer European Union Election Observation Mission(EU EOM) David Martin stressing a point. Chief...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kiongozi yeyote katika jamii anatakiwa awe mwadilifu,afikiri kwanza kabla ya kutenda,awe mwepesi kwenye maamuzi na pia asiwe mbinafsi,hekima,busara ni sifa muhimu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Takribani wiki moja imepita tangu TANESCO walipotangaza kusitishwa zoezi la mgao wa umeme - Cha ajabu ni kwamba - baada ya kauli hiyo - ukanda huu wa Tegeta tumekuwa tukikatiwa umeme kila siku na...
0 Reactions
307 Replies
24K Views
Wanaharakati wamfagilia, Dk. Slaa, Mwakyembe na Selelii Na Richard Makore 11th February 2011 Mchambuzi wa masuala ya kijamii na kisiasa nchini, Jenerali Ulimwengu (katikati),Kaimu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
"Tanzania had been independent for a short time before we began to see a growing gap between the haves and the havenots in the country. A priveleged group was emerging from the political leaders...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Ni aibu kubwa kwa Mheshimiwa Rais Kikwete kusema kuwa hawajui wamiliki wa Dowans Maelezo yaliyotolewa na Mh Kikwete kujibu tuhuma zinazoelekezwa kwake binafsi na ama wajumbe wa kamati nyeti za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wabunge Chadema wamtikisa Pinda bungeni Send to a friend Friday, 11 February 2011 00:25 0diggsdigg Exuper Kachenje, Dodoma WABUNGE wa Chadema jana walimtikisa waziri mkuu, Mizengo Pinda katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mary Chatanda WABUNGE na madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jana walisusa kushiriki uchaguzi wa Jumuiya za Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) katika Mkoa wa Arusha...
0 Reactions
239 Replies
24K Views
The Guardian: Utajiri wa familia ya Mubarak unafikia dola bilioni 70
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wengi wapo kizani katika kiza kinene Ukiwakuta mtaani wanapigana vijembe katiba ya zamani huijui mpya waitakaje wewe mungu kakubariki, umewajuza wangapi? Humu JF hatukosi kujadili mada na hoja...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom