Wakati akitoa majibu kuhusu kauli ya serikali juu ya mauaji ya Arusha na uchaguzi wa umeya wa halmashauri ya jiji la Arusha, waziri mkuu hakuwa mkweli juu ya masuala yafuatayo: -
1. Mauaji...
Kama wale tunaofuatilia bunge la Tanzania Dodoma, tunaona tactics za ccm kutaka kamati za bunge ziendwe kwa watu wanaowafahamu na kuhakikisha Chadema inawekwa nje ya siri za serikali. Hii...
Napenda kuchukua nafasi hii,kuongelea muelekeo wa SERIKALI dhidi ya WANANCHI. Serikali imekuwa haitaki kuwaambia Wananchi wake ukweli imebaki ikiwayumbisha yumbisha pasipo majibu...
Written by amini // 12/02/2011 // Habari // No comments
Serikali ya Uswisi imetangaza kutaifisha mali zote za Dikteta Hosni Mubarak,ambaye jioni hii amengolewa madarakani na nguvu ya...
Feb 11, 2011 - Wananchi wa Misri wanamuondoa madarakani Rais wao aliyedumu kwa miaka karibu 30 kwa njia ya mapinduzi baridi - ndani ya siku 18.
Feb 11, 2009 - Morgan Tsvangirai wa Zimbabwe...
Hebu tujiulize Bw. Felichism Mramba na Bi Badra Masoud wanatuambia mgao wa umeme utaisha kwa kudra za Mungu, wakati huo huo wanasema wameagiza/wako njiani kununua majenereta ya kutengeneza umeme...
By ALVAR MWAKYUSA, 11th February 2011 @ 19:50,
DAILY NEWS
A WHOOPING 50bn/- remains to be accounted for by the government even after mining and gas companies in the country claimed to have paid...
Kwenye majukwaa wakismama wanatutia morali
Maneno wanayosema yanachoma kama mbigili
Wananchi tumesimama wanatuona tumbili
Sisi tunakondeana wenyewe wananawiri
Hali zetu ni duni twaishi kwenye...
Nimefurahishwa sana na CHADEMA kuichangamkia na kujiorodhesha kwa wingi kuchangia hotuba ya Rais Kikwete aliyoitoa bungeni, kumbe waliipenda. Hapa sasa nimegundua kuwa kumbe ile hotuba ilikuwa...
Wananchi wa misri wamechoka na utawala wa mubarak lakini hawana mbadala, kuna chama kinaitwa muslim brotherhood hiki chama hakikubaliki sana misri kutokana na itikadi kali ya kiislamu, wananchi wa...
je anaendelea kuwa naibu wa upinzani bungeni? Maana lissu alisema watajaza nafasi hiyo.
Na kwa zitto kupenya kwenye kamati siyo ushahidi kwamba ndoa yake na ccm bado hai.?maana ni muujiza tu...
Mara kwa mara kumekuwa na mifano mingi ya kuhamasisha wananchi (wafuasi wa vyama) katika nchi kuiga wenzetu wa Tunisia na Misri baada ya kutimua viongozi wao kongwe wasio na mihula ya utawala bali...
Kwa jinsi mnavyozidi kugubikwa na dhambi ya uongo mkuu ambao unalenga kuliangamiza taifa letu, basi mkae mkijua ya kuwa hamchezi mbali na malipo ya dhambi hiyo, na mauti yakiwafika ghafla umma wa...
Mambo vp wana forum mim ni mgeni hapa na ni post yangu ya kwanza,
eti ili suala la ukosefu wa maadili kwa viongozi wetu,ni sisi ndio chanzo kwa sababu hatufanyi reation yeyote au nyie mmnasemaje?
Ewe Mtanzania mpenda maendeleo kuna Mzee Mmoja amezulumiwa haki zake anaomba msaada wa namba ya simu ya Waziri Mkuu please help him...
Kwaniaba yake asanteni sana.
Kipimo cha maendeleo ya nchi kinashabihiana sana na upeo wa kufikiri wa wananchi wake na hitaji la pamoja la maendeleo ya wote kama vile maji safi kwa wote, elimu bora (sii bora elimu) kwa wote...
The mounting pressure from 18 days of historic protests finally drove Egyptian President Hosni Mubarak from office, after three decades as his nation's iron-fisted ruler. But over that time...
Tangu mh Lema aseme Pinda kadanganya bunge na umma,kumekuwepo na jitihada nyingi za serikali katika kujaribu kutafuta ukweli wa tukio zima la umeya wa arusha,ofisi ya waziri wanakumbuka shuka...
Opinion
Suleiman: The CIA's man in Cairo Suleiman, a friend to the US and reported torturer, has long been touted as a presidential successor.
Lisa Hajjar Last Modified: 07 Feb 2011 14:10 GMT...
Written by amini // 12/02/2011 // Habari // 2 Comments
na Bakari Kimwanga
WAANGALIZI wa Uchaguzi Mkuu kutoka nchi za Jumuiya ya Ulaya (EU), wametoa masikitiko yao juu ya kutokuwa na uwazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.