Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu habari. Jana siku ya Jumamosi tarehe 12 Februari 2011 kwa nyakati tofauti Wabunge wa CHADEMA wamezindua matawi ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Vya Mt Johns na Mipango.Kabla ya Uzinduzi...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Nina wasiwasi sana na hali ya Tanzania kiuchumi na kisiasa katika kipindi cha miaka mitano ijayo kwa sababu kadhaa: (1) wafadhili hawatahudumia bajeti ya serikali kama ilivyozoeleka kwa sababu ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zanguni waswahili wanamsemo ya kwamba wajinga ndio waliwao, sasa wanasiasa pamoja na Tanesco katika hili la mgao wa kiza wanakuja na jipya: Kwanza walianza 1. Transforma ya Kipawa imeungua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana mara baada ya kikao cha bunge wabunge wa chadema walikutana. Je unafahamu maazimio waliyofikia?
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Ustaarabu na uwezo wa kufikiri, uvumilivu na kukataa kuburuzwa kwa maslahi ya watawala dhalimu ni LEARNING EXPERIENCE ambayo Majeshi ya Misri na Tunisia yameonyesha. Tulichoona ni kwamba majeshi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Chenge ajitangazia uadilifu Send to a friend Sunday, 13 February 2011 21:06 0diggsdigg Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali, Andrew Chenge, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
TUHUMA za ufisadi katika uuzaji wa Benki ya NBC 97 Ltd zinatarajiwa kuanza kulipuliwa kwa nyaraka moja baada ya nyingine, wakati kesho mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia atakapoanza kutoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Labda mimi nimekaa ugaibuni kwa muda mrefu lakini ndugu zangu naomba niulize bila siasa. Ni lini nitapiga simu kwa Wazaziwangu Tanzania nisiambiwe hatuna umeme?, Hatuma maji safi?, Kuna foleni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mpiganaji na kada mahiri wa Chama cha Wananchi Cuf amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, habari zilizothibitishwa zinaeleza. Miongoni mwa nyadhifa alizowahi kushika, Mazee amewahi kuwa naibu...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Kumekuwa na tafsiri tofauti kati ya watu kuhusiana na Gazeti la Tanzania Daima, wengi wakiamini kwamba limekuwa likimsafisha Rostam Aziz katika suala la Dowans. Watanzania wengi watafuta habari...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Waziri wa Uchukuzi Bw Omari Nundu ameunda kamati ya kuchunguza ni kwa nini hali ya usafiri wa anga inaendela kudororora. Hili ni jambo zuri ambalo Nundu ameamua kufanya. Kamati hii inaongozwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NI KWA AJILI YA KUFIDIA NAKSI YA BILIONI 640 Mwandishi Wetu HALI mbaya ya uchumi imeilazimisha Serikali kufumua bajeti yake ya mwaka wa fedha 2010/11 kwa kupunguza matumizi ya Wizara ili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MWAKA jana wakati Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiongeza majimbo ya uchaguzi na kwa maana hiyo kuongeza idadi ya wabunge, niliandika makala kuhoji umuhimu wa wabunge wengi. Kwa maoni yangu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu Zangu, WENYE kustahimili mara nyingi hufanikiwa mwishoni. Na kamwe, huwezi kushinda kama hushindani. Na njia nyepesi ya kuepuka kushindwa ni kutoshiriki ushindani. Lakini, wale...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waangalizi EU: Matokeo ya urais Bara, Z’bar hayakuwa wazi na Bakari Kimwanga WAANGALIZI wa Uchaguzi Mkuu kutoka nchi za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pinda Sasa Tunamwingiza kwa kukumbatia Dowans No Questions Taifa la Tanzania lina angamizwa na hawa mubarak wetu hapo juu. Juhudi kubwa wanazo zifanya kulindana kuliharibu Taifa la Tanzania na...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Hatimaye maadui wawili wamepangwa kamati moja ya bunge ya fedha na uchumi. Nina wasiwasi HAMAD RASHID kwa uzoefu wake bungeni atam-buruza mhe. mbowe katika maamuzi.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Baada ya matokeo ya kidato cha 4 mwaka 2010 kutoka na kuonesha kuwa makumi kwa maelfu ya watoto na wadogo zetu kufeli vibaya kumekuwa na hoja mbalimbali za nini kifanyike ili kuwaokoa maelfu hawa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
FEBRUARI 10 mwaka huu, Spika wa Bunge, Anne Makinda, alipindisha Kanuni za Kudumu za Bunge (2007) kwa lengo la kubembeleza urafiki wa Kaizari, kati yake na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Jambo hili...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii kweli siasa!Lema amekuwa mbumbu akidhani taarifa atakayowasilisha bungeni kulingana na maagizo ya Spika itamnusuru kwa Waziri Mkuu kuonekana kweli kadanganya Bunge na wananchi.Lema hatokuwa na...
0 Reactions
97 Replies
8K Views
Back
Top Bottom