Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
NI KWELI WAZIRI MKUU AMELIDANGANYA BUNGE Deusdedit Jovin FEBRUARI 10 mwaka huu, Spika wa Bunge, Anne Makinda, alipindisha Kanuni za Kudumu za Bunge (2007) kwa lengo la kubembeleza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
What does the concept of 'National consciousness' mean to us citizen of this country? Have we as a nation come into common understanding of what we strive for? For the past three years we've...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mbunge shibuda akiendeleza kile kinachoitwa Vijembe,mipasho ya bunge la sasa huku akitumia misamiati ya kiswahili cha pwani kumponda kiongozi wa CHADEMA na wanachadema alishangiliwa sana na...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Kitila Mkumbo;1612977]For me: This revolution was leaderless! When wananchi decide that enough is enough, there is no power of oppression or coercion that can defeat them. During the great...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Huyu mzee mwenzenu namchukia sn kwani anazungumza kama yupo usingizini sijui ni uzee au ni norms za ccm? Daaaah.....lakini safi coz anafacilitate anguko lao 2015
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa tofauti tofauti zinatolewa kuhusu mwelekeo wa uchumi wa nchi yetu. Gavana alitoa kuwa uchumi uko kwenye hali nzuri, wakati waziri wa fedha anaonyesha hali tofauti, lakini tukilinganisha na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM kama kawaida yao wanachukua the best. Slaa alishinda uchaguzi, wakuu wa vyama wakamtosa (wakafuata ushauri wa Kiranga). Kwa vile Slaa alikuwa kapi, CCM walitaka ngano, wananchi wa karatu...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Wabongo tumeshikia bango ofisi za TANESCO ambazo kimtazamo angalau zipo mbali na Barabara kiasi kwamba haziathiri shughuli mbalimbali. Mbona Hamshikii bango jengo la millenium towers lililopo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Na Waandishi wetu 13th February 2011 B-pepe Chapa Maoni Bei za bidhaa muhimu hazikamatiki Mafuta yategemea bei ya soko la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, kwa nini jeshi letu la polisi linapata habari za kiintelejensia pale maandamano ya kupinga kitu fulani yanapotaka kutokea na linabaini kuwepo vitendo vya uvunjifu wa amani lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, kuna mambo yanayotokea hapa Tz na wakati mwingine nashindwa kuelewa kwa nini inakuwa vile. Mfano, hoja ya Dowans imeachwa kujadiliwa bungeni kwa madai kuwa ni suala ambalo bado liko...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
KATIKA hali ya kushangaza jana Spika wa Bunge Anna Makinda alimruhusu Mbunge wa Nkasi, Ally Kessi Mohamed (CCM), kusema kuwa angepata ubunge kwa tiketi ya CHADEMA ingekuwa kashfa kubwa kwake...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hali ya afya ya Mfalme Abdullah ibn Abdulazizi wa Saudi Arabia imeripotiwa kuzorota zaidi kutokana na juhudi zake za kuzuia kutimuliwa madarakani dikteta wa zamani wa Misri Husni Mubarak. Duru...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya viongozi wa ngazi za juu serikalini, zenye kuashiria kwamba serikali ilikuwa tayari kuilipa Dawans, zimetafsiriwa na wadadisi wengi wa habari kuwa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
mama mongela anaongea sasa bungeni, na amependekeza ile mitambo ya richmond/dowans itaifishwe ili itusaidie wakati wa dharura. mimi namuunga mkono, kuwa wasiruhusiwe kuichuka hiyo mitambo, ikae...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Uchaguzi umekwisha, tuchape kazi - Mahanga na Mwandishi wetu MBUNGE wa Jimbo la Segerea, Makongoro Mahanga (CCM)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Community ya Wzanzibar wanao ishi nje waiomba jumuia ya kimataifa kutowa warrant wakukamatwa Benjamen Mkapa kwa mauwaji ya Wzanzibar 40 waliopigwa risasi ktk mandamano yaliofanyika 2001 26/27...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
CCM na serikali yake mpakaleo hii viko kimya kuhusiana na tukio la kishujaa la wananchi wa misri kwani somehow linawahusu kwani madai ya wananchi wa misri yanafanana na madai ya wananchi wengi wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia vijana wengi wakipewa nafasi za juu huko serikalini na katika hutumishi wa umma kwa ujumla. Tofauti na matarajio, kuongezeka huko kwa idadi ya vijana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
chadema tuache pigana vijembe na ccm tutapoteza dira tuchape kazi... Ukibishana na mjinga na wewe unakuwa ...... Maana bunge linaanza kupoteza mashiko kwa kuendeleza mipasho kama linavyoendelea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom