Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tumekua tukiona mara nyingi wabunge wetu wakiwa bunguni wakiwakilisha matatizo yetu kwa serekali lakini mambo yaliyo mengi huwa yanaishia hapohapo bungeni bila kupatiwa solution. Mfano sasa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mimi ni mmojawapo wa Watanzania waliokerwa sana na mauaji ya Arusha mjini ya raia 2 Watanzania na Mkenya 1.Tarehe 10/2/2011 wakti WM Mizengo Pinda akijibu maswali ya papo kwa papo aliamusha hisia...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
wajameni na wachambuzi wa siasa tuelezeni faida ya chama kuwa na mawaziri kimvuli kwa sababu ni wengi tunahitaji kujua ni faidi kwa wale ambao hata awajui.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Namuona Mh SPEAKER AMEANZA KWA KUMTAMBULISHA SPEAKER WA A.MASHARIKI. Mambo yanaendelea
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Tuache propaganda katika mambo makubwa yanayoweza kuangamiza Taifa, tujadili issues kwa makini tuone nani kati ya vyama hivi viwili anayetupeleka kusiko ili tuonye na kutoa ushauri kwa kuweka...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Naomba wanajf tujadili tuhuma hizi. CCM chakishutumu Chadema migomo vyuo vikuu Na Mwandishi wetu 13th February 2011 Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimekituhumu Chama Cha Demokrasia na...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Asema CCM bado wanazani Watanzania bado wako na fikra za ki-analojia ambapo huwa ni vigumu kupima wapi ni 0 na wapi ni 1. Asisitiza hakuna nidhamu ya kinafiki bungeni. Kama jambo lina status ya...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakati huo huo Kamati ya Bunge inayoshughulikia Nishati na Madini imelazimika kuanza kazi mapema kutokana na makali ya mgao wa umeme. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye moja ya ofisi za...
0 Reactions
153 Replies
13K Views
Wana JF naomba nisaidieni,ikithibitika kuwa ni kweli Pinda ametoa taarifa ambayo sio sahihi,na hivyo kulidanganya bunge,je Spika aliyemwambia mh.Lema ameonyesha utovu wa nidhamu atapaswa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu wa JF, Habari kutoka mjengoni zinatabaisha kuwa ccm wameshtukia dili utetezi wa Mh.Gobless Lema (Chadema) dhidi ya hoja ya spika wa bunge mh Anne Kitoto cha ndege. Spika amenukuliwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waungwana,japo ni mara ya kwanza naandika ktk safu hii,naanza na swali moja kwa moja.baada ya kuangushwa rais mubarak wa misri,ningependa mwenye ufahamu juu ya hili anijuze utajiri wa kiongozi huyu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
This opinion is exclusive for Tanganyika's.. Eti wana jukwaa la siasa katika muungano huu wa serikali mbili upande wetu huu wa Tanganyika kupitia ofisi yetu ya Waziri mkuu Tawala za mikoa na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
SASA NAAMINI Mh.Dk,Luten Kanali KIKWETE tarehe 31/12/2010 kwenye hotuba yake aliwatakia wanainchi HEAVY NEW YEAR 2011 na sio happy new year Bei za bidhaa hizi na nyinginezo zimepanda...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu yangu kikwete, Naandika ujumbe huu nikiwa kama nabii ninayeleta ujumbe mwema kwako. Sijatumwa na Mungu au mtu yeyote. Nimetumwa na nafsi yangu inayolia na kulitakia mema taifa letu la...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
ktk utafiti uliofanywa na Ms Laura weinstein, msomi kutoka chuo kikuu cha California, Los Angels, aliyepobea ktk sayansi ya siasa, ktk study yake yenye jina lisomwalo THE POLITICS OF GOVERNMENT...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BAMUTURAKI MUSINGUZI The course of the 47-year existence of the United Republic of Tanzania has been anything but smooth. From Zanzibar nationalism, the structure of government, and inequity in...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo katika magazeti nimesikia Spika wa Bunge Mh Anna Makinda akitoa maelekezo kuwa hairuhusiwii wabunge kupokea posho mara mbili wanapokuwa katika shughuli za kibunge kwenye taasisi na mashirika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi...
0 Reactions
164 Replies
14K Views
Wapendwa wana jamiiforums, imefika wakati tutafakari kuhusu mwenendo wa taasisi zetu mbili yaani Wizara ya Fedha na Benki Kuu zilizo mihimili mikuu ya mustakabali wetu wa kujikimu hapa nchini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kushoto) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, January Makamba wakati walipotembelea Bwawa la Mtera...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom