Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Full article hii hapa ina data za kutosha jinsi CCM wanavyopendelea: http://www.sscnet.ucla.edu/polisci/wgape/papers/18_Weinstein.pdf
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF polisi mmoja akiwa katika uniform amepigwa risasi hadi kufa maeneo ya Arusha chini ya mti karibu na stand ya magari ya kwenda Kisongo, Kwamrombo. Ilikuja gari aina ya RA4 ikiwa imewasha...
0 Reactions
151 Replies
13K Views
Yapo magazeti ambayo yamesifu sana uteuzi wa baraza la mawaziri kivuli la Chadema chini ya uongozi wa Kiongozi wa Kambi ya upinzani Mhe. Freeman Mbowe lakini mawziri wakiwa 29 hivi hilo baraza ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
katika hali inayoshangaza Mwanasheria Mkuu wa zamani Bw. Andrew Chenge amejisafisha kuwa yu safi kwa kutumia hukumu ambayo yeye wala hakuwa mshitakiwa ila alikuwa ni shahidi ambaye hata...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mbunge wa Kigoma kaskazini Mh. Zito amemweleza Spika awasisitizie mawaziri wapungeze salamu na kuitana dada, mke wangu kaka yangu na pia waeleze maslahi binafsi kwenye mambo wanayo changia kama...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Ndugu Zangu, WaMisri wale hawakuchoshwa tu na Hosni Mubarak. Walichoshwa na mfumo mzima na hususan chama chao tawala. Ndio, tulishuhudia, kuwa jengo la kwanza kutiwa kiberiti na waandamanaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Govt seeks emergency support from donors Thursday, 10 February 2011 00:46 By The Citizen Reporters Dar es Salaam. The government has appealed for additional funding from donors to meet an...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
salaam wana JF, nimekaa na kulitafakari bunge letu tukufu la Tanzania na kugundua bunge letu ni bunge kwa jina lakini halifanyi kazi ya bunge haswa ambayo wananchi tunaitarajia na kuona mafanikio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Quality ya video imeongezeka!:peace:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimesikitishwa sana na kauli ya Mbunge mmoja jionh hii wakati akichangia hotuba ya Mh. Rais, amesema, walifanya mtihani zaidi ya laki 3, lakin walifaulu elfu 38 tu, waliobaki walifeli, akashukuru...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hushughulika na masuala ya aina mbili; kwanza, yale masuala ya muungano kama yanavyopitishwa mara kwa mara kwa mujibu ya sheria. Na pili masuala...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wazee wataalam wanaJF, Tafadhali mtujuze, hivi kuna hasara na faida gani kuwa na rais wa nchi mtendaji (executive president) ambaye vilevile ni mwenyekiti wa chama chake tawala, kama alivyo hapa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JOHN MASHAKA ON DOWANS, TANESCO NA MGAO WA UMEME… DEBATE! Over a year ago, I wrote an article decrying country’s energy crisis. I am once again forced to revisit the same topic; using the same...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Hii picha inaonyesha kikao kimojawapo muhimu katika maandalizi ya Bunge huko Dodoma. Katika viongozi waliokaa hapo, anaonekana katibu wa Bunge, Spika, Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mbunge wa Korogwe Vijijini Mr. Ngonyani au almaarufu Prof. Maji Marefu ameanza rasmi kuchangia bungeni sasa hivi. Na katika shukrani zake amewapongeza waganga wa jadi wote nchini kwa kumwuunga...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, akihutubia kwenye Maadhimisho ya 20 ya Jumuiya wa Mataifa na Watu Wasiowakilishwa Kwenye Umoja wa Mataifa, katika hafla iliyofanyika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kitendo cha Mr. Shibuda kutoa kauli za kuwashambulia wabunge vijana alipokuwa akichangia ktk kujadili hotuba ya Jk,kwa kuponda kile alichokiita harakati za vijana kudai mambo yao,ni wazi kabisa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dar es Salaam kuna kituo cha basi huitwa Gongo la Mboto mwisho wa lami. Zamani hapo ndipo lami ya kutoka mjini ilikuwa inaishia na kwa hiyo daladala pia zilikuwa zinaishia hapo. Siku hizi kuna...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wana JF Nimekua nikifatilia kauli nyingi ambazo amekua akitoa huyu bwana mdogo ni kauli ambazo haziendani na wana ccm wa siku hizi,jana nikiwa kama mwandishi wa habari nilihudhuria mkutano amabo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hatimaye kigogo wa siasa za upinzani mhe Hamad Rashid amepita bila ya kupingwa katika uchaguzi unaoendelea hivi sasa bungeni dodoma. Alikuwa akigombea ukamishna wa kamati ya utumishi wa wabunge...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom