Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hali kama hii ndio inayoendelea hapa Tanzania Mohamed Heikal: 'I was sure my country would explode. But the young are wiser than us' Robert Fisk meets the doyen...
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Hatua ya rais JK kuikana Dowans na kutokuwawajibisha watendaji wake ni kielelezo tosha kwamba yeye mwenyewe binafsi ni mfaidika wa sakata lote hili la kampuni ya kufua umeme. Kama angekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAELEZO NA UFAFANUZI WA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA(MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUHITIMISHA HOJA YA KUJADILI HOTUBA YA MHESHIMIWA DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ajari mbaya imetokea maeneo ya Vigwaza, msafala ulikuwa unatoka Dsm unaelekea Chalinze (Msoga). Magari matatu yamegongana, gari 1 aina ya toyota Land Cruiser ambalo lilikuwa kwenye msafara...
0 Reactions
101 Replies
12K Views
WanaJF, Suala la CDM kumtambua au kutomtambua Raisi wa JMT limezua mijadala mbalimbali. Kuweka rekodi sawa imebidi niweke hoja mbele yenu. Hoja yangu ni kwamba kama CDM tumeendelea...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Ukweli jamani upo pale pale kuwa Mkwere 2010 hakushinda, na dhambi ya wizi daima watz tutaona matokeo yake........
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Mbunge wa Maswa, John Magare Shibuda amepitishwa rasmi na Bunge kuwa mwakilishi wa Bunge katika taasisi ya Umoja wa Afrika inayotathmini mambo ya utawala bora (African Peer Review Mechanism) APRM...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mh. Freeman Mbowe anazungumza na atatangaza mawaziri vivuli kutoka Chadema ambapo ameteua mawaziri 29 ilikuishi kwa kile walicho kihubiri... Msemaji mkuu 1. Mh. Freeman Mbowe Msaidizi ... Mh...
0 Reactions
160 Replies
18K Views
My take, kama mimi ningekuwa ni kiongozi wa cdm ktk hizo 90 mil, ningewaamuru wabunge wote wa chama changu wanunue magari yasiyozidi 40 mil (yapo mengi new & used, nami ningewashauri wanunue used)...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani kwa Mambo yanayoendelea bungeni hakuna haja ya kuendelea kuwa na Wabunge. Wanapoteza/wanafuja rasilimali za taifa bila Tija. Ni busara Mabaraza ya madiwani yakaimarishwa. jamani hili...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya baadhi ya Wachambuzi wa JF kuanza kudadavua hapa siku ya kwanza wakieleza kuwa, ingawa ni Wakili wa kujitegemea, kuna utata wa Mh. Marando kumtetea Manji (aliyetuhumiwa na Mengi kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Lak
0 Reactions
1 Replies
818 Views
Kampuni ya Dowans Tanzania Ltd imetangaza rasmi zabuni ya kuuza mitambo yake ya kuzalisha umeme ikiwa ni miezi mitatu baada ya serikali kusitisha mkataba wake na Shirika la Umeme Tanzania...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
  • Closed
Mkuu Pasco.Heshima mbele. Nimeamua kuanzisha thread hii kwa makusudi kabisa ila kuondoa upotoshaji ambao umeufanya hasa kwa wale ambao hawajatazama Bunge. Kuna watu wengi tu hawajatazama Bunge...
2 Reactions
295 Replies
22K Views
Wana jf, Naomba kujua kuhusu hali ya wachina kariako na sehemu zingine zingine za nchi ni kweli wameondoka? Na je kuna waliokamatwa mpaka sasa? Tunaomba wale walio karibu na maeneo ya kariakoo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Toka kampeni za uchaguzi mkuu wa 2010 zilipoanza, CCM wamekuwa na wakati mgumu wa kuwaaminisha watanzania kuwa bado wana uwezo wa kuendelea kuliongoza Taifa hili kutoka kwenye lindi la umaskini...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu wana JF Naomba, Mh Waziri Mkuu PINDA Tunakuomba uchukue hatua kama Waziri mkuu maana tatizo la umeme sasa linaipeleka Tanzania Kubaya, Baadhi ya Viwanda vinafungwa na hatimaye vijana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msando amburuza kortini Mwanasheria Mkuu wa serikali na Grace Macha, Moshi DIWANI wa kata ya Mabogini, Albert Msando (CHADEMA), amemfikisha mahakamani Mwanasheria Mkuu wa Serikali na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndio, nasikia eti JM kasema anashauri tukodishe mitambo ya DOWANS hata kwa miezi mitatu ili tuepukane na tatizo la umeme. Hakyanani nasema, Egypt inakuja bongo. Nyie subirini tu. Hawawezi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bulk of mining taxes comes from workers Tuesday, 15 February 2011 07:16 By Florence Mugarula The Citizen Reporter Dar es Salaam. Despite claims of a boom in Tanzania’s mining industry, the...
0 Reactions
4 Replies
951 Views
Back
Top Bottom