Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Pasi na shaka CHADEMA ndicho chama cha upinzani chenye nguvu kwa sasa. Katika uchaguzi uliopita CHADEMA wameonyesha wanaweza, huku vijana wanaharakati na wasomi wakipata nafasi za ubunge. Katika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
anahitimisha mjadala wa hotuba ya rais kwa kufanya comparison ya kile kilichokuwapo kabla ya uhuru akilinganisha na leo, nachoona mimi anapwaya kujaribu kulinganisha maendeleo ya watu ya miaka ya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Leo Rais Obama ametoa tuzo ya juu kabisa ambayo serikali hiyo inaweza kutoa kwa raia - yaani, Nishani ya Uhuru (Medal of Freedom). Nishani hii hutolewa kwa watu mbalimbali ambao wametoa mchango...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Ni jambo la kushangaza yale magazeti yetu ya dailynews na runinga za TBC wameacha kale ka mtindo cha kumuita Kikwete Dakta aka Dr Jakaya Kikwete! kulikoni? amenyang'anywa zile shahada zake za...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
“MWONGOZO WA SPIKA” NI MSUKULE WA CCM SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi.Anne Makinda ana shida katika mfumo wake wa kufikiri. Ana mawazo funge (mawazo yasiyo huru), mawazo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
[African Barrick Gold doubles annual profits By Christopher Thompson Published: February 16 2011 09:51 | Last updated: February 16 2011 09:51 African Barrick Gold, the Tanzania-focused gold...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kweli wanasiasa wa Tanzania mnatupeleka wapi Watanzania? 1.Sio ninyi mliounda Tume ya Kuchunguza mchakato wa Zabuni ya Richmond na badaye mkamwajibisha na kumwangusha Waziri mkuu EL...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
..baada ya hoja yao kutekwa nyara na CCM walipaswa kuachana na harakati za kubadili kanuni ya bunge kuhusu kambi ya upinzani. ..matokeo ya hoja yao ni kudhoofika kuliko kuimarika kwa kambi ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Serikali imetolea tamko tatizo la mgawo wa umeme nchini na kutaja hatua sita za dharura ilizochukua katika kukabiliana na tatizo hilo sugu. Akizungumza bungeni jana, Waziri wa Nishati na Madini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
One of my friends once said: “things look darkest before it becomes completely dark”. These words comes to mind as the power crisis is developing. What started as a once in a while power cut...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hata kwenye kampeni za kugombea U-Rais mwaka jana,mgombea wa nafasi hiyo kupitia CHADEMA Dr Slaa alikuwa akitusisitizia umuhimu wa Tanzania kuwa na serikali ndogo isiyozidi mawaziri 15 na kwa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Ndugu Zangu, MAGAZETI, Redio na Runinga zimeripoti, jana na leo; Freeman Mbowe amemtosa John Shibuda kwenye Baraza Kivuli la Mawaziri. Tafsiri yangu, Mzee John Shibuda, Mbunge wa Maswa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi nashangazwa sana na Jk Serekali anavyo iendesha kama vile ni mali ya urisi wa familia yake, nchi imekabiliwa na matatizo mengi ya kijamii na ya kilazima Hospitali kukosa dawa na Ambalesi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani, Hicho ndicho nachokiona mitaani. Wananchi wengi wanatamani 2015 ifike haraka. Inawezekana kweli wamechoka na kikwete kiasi hicho? Kama ni kweli, je, watakubali kuirejesha tena ccm...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mtindo huu, wananchi wwamefulia...full kulala
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Watanzania tungekuwa wazalendo wa kweli tunaoitakia mema nchi yetu, tusingeiruhusu ccm kwa mara nyingine tena iendelee kushika usukani wa uongozi wa nchi hii. Wakati wa uchaguzi wa mwaka jana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ofisi ya Uchunguzi wa makosa makubwa ya kifisadi(SFO) imesema imeshindwa kumhusisha Mhe Chenge na tuhuma za rushwa katika ununuzi wa rada. Majibu hayo yamekuja miezi michache baada ya TAKUKURU...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Wengi wetu tulisoma maandishi ukutani kuhusu hatma ya nchi hii ikiwa mikononi mwa kiongozi ambaye ushindi wake umeacha manung'uniko badala ya furaha kwa wananchi. Hali hii katika ulimwengu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kashfa za Benki kuu sasa zimekuwa kama ni za kawaida....................kila Raisi huleta mtu wake wa kumsaidia kumega pato la taifa na kulibinaifisisha na kuwa lake binafsi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom