...iko wapi intelijensia ya ccm iliyoshindwa kubaini hatari hii mapema na kuchukua hatua za haraka kwa wananchi wa maeneo husika? Au intelijensia hii ni mahususi kwa siasa za vyama pinzani tu...
Kwanini jeshi la Misri halikutumia nguvu kumbakisha Mubarak madarakani?
Lula wa Ndali-Mwananzela
Februari 16, 2011
Jenerali Tantawi, ingilieni kati kuwazuia waandamanaji.
Jenerali Tantawi...
Nyote tunajua namna JK alivyokuwa akihaha kuutafuta urais kwa kutumia watu wa majini na maruhani (mfano Shehe Yahaya). Familia yake yote na washirika wake wote walikuwa wakipambwa na ma-pete...
Wana jf kama mnakumbuka tukio la mbagala lilitokea wakati tunapeleka askari wetu Dafur.
Hili nalo linatokea wakati tunapeleka askari wetu Dafur.
Great thinkes hebu kuneni vichwa nyinyi mu...
Na Maggid Mjengwa,
UKOMO wa uvumilivu wa kukandamizwa umewafanya WaMisri kuandamana kwa mamilioni na kumtimua Hosni Mubarak madarakani.
Waarabu wale walikuwa na kiu ya uhuru, kiu ya haki ...
Maeneo mengi yaliyopo ndani ya mji wa Dar es salaam inashangaza kumilikiwa na Jeshi la Wananchi mfano:Kigamboni(mwanzoni)i,Masaki,Mwenge (Lugalo),Mikocheni,Msasani,Kawe n.k haya ni maeneo...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha amewataka wabunge kuacha kushabikia ukubwa wa majimbo kuacha kasumba hiyo kwani haina maana yoyote kwa maendeleo.
Nahodha alisema kipimo...
Wakiongea katika kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 leo asubuhi, J.Makamba kama m/kiti wa kamati ya bunge ya nishati na madini na Mnyika kama waziri kivuli wa nishati, wamependekeza ni lazima...
Mimi ni mhandisi wa umeme niliewahi fanyakazi maeneo ya migodi. Kwa ufahamu wangu CHANZO CHA MGAO wa umeme ni migodi ya BUZWAGI na NORTH MARA. Migodi hii imeunganishwa kwenye grid ya taifa...
Wandugu,
wengi wenu mnashuhudia wimbi la maandamano ya wananchi katika nchi nyingi za kiaarabu wakishinikiza viongozi wao kuondoka madarakani. Kwa mujibu wa maelezo ya vyombo vya habari vya...
Jana JK amedai ya kuwa kuna malengo mawili tu ya MDG au Millenium goals ambazo hatuwezi kuzifikia na ni zile zinazogusa "life expectancy" na hivyo kuamaanisha ya kuwa nyingine zote...
Ndugu wanaJf
nimetafakari hali ya giza na tanesco,na kutoka na uamuzi huu
Sita na mwakyembe hawawezi kamwe kutoka kwenye hili zigo na daima watanzania na wapenda ukweli hatutawasamehe na histori...
WanaJF,
Kwa sababu mimi sio Mbunge nitawasilisha kwenu kile ninachopata kama Diwani.
Ili nichangie kwa uhuru na niweze kutoa mawazo yangu bila kung'ata maneno ni vyema nikaweka wazi kile...
Kuna habari za kiinteligensia na za kuaminika, kuwa pamoja na kupungua kwa vina vya maji kwenye mabwawa ya kuzalishia umeme, makali ya mgao wa umeme yameongezewa nguvu kwa makusudi ili...
Hili ni jambo la ajabu sana miaka 50 baada ya uhuru bado hakuna miundombinu ya maji wala maji, hakuna miundombinu ya umeme wala umeme, hakuna shule, hakuna mahospitali kwa sababu kwenda...
WanaJF mchangiaji mmoja wa wa lipindi cha star tv mr uruo amenigusa sana kwa comment yake kuhusu katiba
Kutokana na mapungufu ya katiba ya sasa imepelekea watu wengi kuichukia nchi yao...
Vyama vya TLP, CUF,NCCR-Mageuzi na UDP vimesema kuwa Kiongozi wa Upinzani bungeni, Freeman Mbowe, amezingatia kanuni kwa kuunda Baraza la Mawaziri Kivuli kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.