Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwanza nianze kwa kusema ni aibu isiyo na kifani kwa waziri wa ulinzi kuthubutu kusema milipuko ya mabomu ilikuwa ni ajali. Wakisema wananchi kuwa ni ajali inaleta akili ila kwa wanajeshi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chadema:jipeni moyo…msiogope Na Mashaka Mgeta 13th February 2011 B-pepe Chapa Maoni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefanyiwa `kitu mbaya’. Kimepokonywa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natoa wito wa "Mapinduzi ya Kizalendo nchi nzima kuanzia tarehe 12/02/2011" Kwakweli imedhihirika wazi kwamba Tanzania inahitaji Mapinduzi ya Kizalendo ni lazima wanachi tujue kwamba sisi ndio...
0 Reactions
87 Replies
7K Views
Wasituletee stori nyingine tena za kijinga hapa. Huu ni uzembe na si ajali wala ku-expire kwa mabomu. Lazima awajibike mtu...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Kwanza naomba nitoe pole kwa wahanga wote wa milipuko ya mabomu huko Gomz, Natumaini kwamba hakuna jipya ambalo tunaeza sema ati Hatujui wala kujiandaa kwa hilo kwani ilipotokea mbagala walitoa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bomu la CHADEMA kwa Pinda hadharani Mwandishi Wetu RAIA MWEMA Februari 16, 2011 Polisi wamchuuza kwa taarifa zao Mbunge Lema awasilisha hoja 10 Spika ataka iwe kwa maandishi SAKATA la vurugu...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Sasa Lowassa amepata pa kuanzia, kama mjumbe na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya bunge ametangaza rasmi kuwa atawatembelea waathirika, na tena huenda akaanzisha harambee kuwachangia. DOWANS -...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Hivi karibuni nilikuwa najiuliza zamani serkali ilikuwa iko poa sana tena serikali ya TZ kuliko private companies sasa leo naona hakuna tofauti yaani nchi inaendeshwa na makaburu ya tz yaani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Au "Rais Awastaafisha Kwa Manufaa ya Umma Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa pamoja na Mkuu wa Majeshi."
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mh. Waziri mkuu, Miizengo Kayanza Peter Pinda, umekuwa mwepesi wa kutoa majibu ya papo kwa papo kwa maswali yanayohitaji uchunguzi wa kina. Sasa hili la Gongo la Mboto natarajia utatumia umahiri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
This is another Highest Crisis Nchini Kwetu. Matukio ya mauaji, Ukosefu wa umeme, Ukosefu wa maji, Mafisadi, na majanga mengine ya injustice kila mahali. Kinacho endelea kitaifa ni kwamba "Nation...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni hivi majuzi tumeshuhudia jeshi la polisi kupitia IGP likieleza kwamba limepokea taarifa za ki-intelijensia zinazo hadharisha kuwepo kwa machafuko katika maandamano ya amani mjini Arusha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana hali ya kisiasa, kiuchumi na kielimu kuchafuka tanzania naona imefika wakati wa kuwawajibisha baadhi ya viongozi waliotufikisha katika hali kama hii tuliyonayo sasa kwa kuwafungulia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzungu mmoja amepost hii kitu katika blog moja ya Marekani. "I guess when we sold them the weapons we forgot to include instructions? Ignorance is an even worse reason than terrorists. Ignorance...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huwa najiuliza huyu jamaa anapoalikwa kuwakilisha serekali kwenye sherehe za Kiislam anasahau kuwa yeye ni kiongozi wa watu wote? Huwa anatoa hotuba zake utafikiri yuko Zanzibar au anaongoza nchi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Makamba amrushia kombora Mzindakaya na Bakari Kimwanga KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba, jana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo hii asubuhi BBC waliripoti vifo 32, sasa wamesema 20. Katika maafa ya Arusha napo walikuja na figure zao, nani anawapa habari hawa ndugu?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kama waziri wa ulisnzi anhgekuwa mkristo zamani unskia kafu wanaadamana. lakinikwa kuwa waziri ni mwenzio, basi hutasikia hata miskitini likiongleawa kwenye amhadhara.kwa hiyo minimi na sema...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Matukio ya mabomu ya Gongo la Mboto jana usiku yametugusa wengi tulioko mikoani kutokana na watanzania wenzetu kupoteza maisha kutokana na uzembe wa jeshi. Mpaka sasa ningetegemea TV zetu ziwe...
0 Reactions
152 Replies
17K Views
Live mtume fernandes anatoa hutuba kali dhidi ya watu wezi wanaoliibia taifa,anasema kikwete usiwaogope watu wako
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom