1. Maghala 22 yamelipuka na kubakiwa na ghala moja namba 23.
2. Mabweni mawili ya askari wa JWTZ yaliteketea katika tukio hilo.Hali kadhalika magari 22 yaliyokuwa katika eneo hilo.
Source -...
Kuna jambo lilikuwa likinisumbua kwa muda mrefu sasa kutaka kujua kwa nini sisi ni masikini wa kutupwa japo tumejaliwa kila aina ya nyenzo ya kutufanya tusiwe masikini. Sikupata majibu ya maswali...
p { margin-bottom: 0.08in; }
Jengeni makambi ya Jeshi huko porini
Na Juma Kidogo
Kwanza kabisa napenda kutoa pole kwa familia na watu wote waliohusika moja kwa moja na kulipukiwa na...
Mhe Spika wa Bunge la Kenya ndg Marende ametengua uamuzi wa Kibaki bila kufuata vipengele vya katiba mpya ya Kenya kwa kuteua viongozi wa mhimili wa sheria. huo ndio uspika sio jaaaazba tu muda...
Jamani radio zipi ni MBAO??? Are we serious ?? The responsible wanasifiwa tu
AMA KWELI TZ UKIWA KIONGOZI RAHA SANA HATA HUWAJIBIKI.
KUWALIPA WALIOFIWA, KUWALIPA WALIPATA MAJERAHA HII KAMA ILE...
INANISHANGAZA SANA KAMA SPIKA ANAONA KUJADILI MABOMU SI MSINGI ILA KUJADILI KUVUNJA KANUNI ZA BUNGE ILIKUWA JAMBO LENYE MASILAHI KWA UMA SIO INABIDI AJIUZULU KWA MISINGI...
Ifuatayo ni taarifa ya Rais Jakaya Kikwete kuhusu mlipuko wa Gongo la Mboto. Ukiisoma kwa makini, unaona kuwa msisitizo wa Rais ni kutoa POLE na PONGEZI kwa JWTZ. Rais haoneshi kushtushwa, kukerwa...
Kwa kuwa bunge limeisha na hakukuwa na jambo la maana nadhani ni wakati kwa viongozi wa CDM kutuunganisha ili tufanye maombolezo ya kitaifa kwa mashujaa wetu waliofariki na kuumizwa na mabomu...
nasema kweli ami. staki =masihara mie. bunge hili mamaangu mzaszi lisingeahirishwa leo kama KAFU wangekuwa wanaongoza kambi ya upinzsani.
cccm wanaogopa sana chedema hami.
1. Juma abdalah, ananidai 230, ooo/=
2. Ada ya mwanangu, nadaiwa 400,000/=
3. Rostam aziz , ananidai 2350/=
tafakari, hilo deni la mwisho ndio nalazimishwa kulipa haraka, JE WEWE UMELIPA?
TAMKO LA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHADEMA KUHUSU HALI YA TAIFA
TAMKO LA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) KUHUSU HALI YA TAIFA.
Kamati Kuu ya CHADEMA...
Nashukuru nimesoma nakala ya hukumu ya mahakama ya kimataifa kuhusu suala la DOWANS vs TANESCO.
Hadi sasa nipo katika kipengere cha 337 lakini nimeshangazwa namna nchi yetu ilivyoharibika halafu...
It's time to call that big shot at the MOD elites
Dear Hon Alhaj Dr (Med.) Mwinyi,Thank you for your service to this slumping nation of ours! on your years of service at...
Mabomu goms yalipangwa
Kuna nyeti (msiniulize source) kwamba mabomu yaliyolipuka ilikuwa planned! Inasemekana kwamba baada ya ile ripoti ya mbagala, ilionekana kuna mabomu mengi yako pale lugalo...
Dar es Salaam. A number of primary and secondary schools located near the Gongo la Mboto TPDF camp where explosions occurred on Wednesday night, were temporarily closed due to shocks and fear of...
kuna msemo usemao ukila na kipofu usimshike mkono. lakini kwa matokio haya imezihilisha si kwamba serikali ya CCM si tu kwamba ahadi zake kwa watanzania ni za hadaa bali pia uwezo wao umefika...
It is an unfortunate fact that ammunition and explosive storage can never be 100% safe in terms of
the ‘absence of risk', and the best that can be achieved is ‘tolerable risk'.
It is...
:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1...
Zimekuwepo shinikizo kutoka kwa wabunge za mawaziri kujiuzuru/kuwajibika kufuatia mabomu kulipuka. Lakini je hao wanasiasa wanajibika vp katika kutoa mchango wao? Mfano kati ya milioni 90...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.