Hapo jamani mi naona ni kama jamaa anachekesha, anacheka kunako hudhuni kavaa kama anaenda kwenye sherehe kunako hudhuni...yuko serious kweli na nchi yetu huyu? Nawakilisha
Tukiwa na majonzi ya ndugu zetu walioumia na wengine kupoeteza maisha kwa mabomu yaliolipuka huko Gongo la Mboto wengiene wanasema (kama Mafisadi wa Jeshini wanavyoitwa AJALI) Matatizo yote...
Sehemu ya Wahanga wa Mabomu ya Gongo la Mboto wakiwa ndani ya uwanja wa Uhuru jijini Dar wakisubiria kujua nini kinaendelea kwa upande wao. Kama vile wanasubili Mechi ya Simba na Yanga...
sisi watanzania asilimi 64 % tuliokuchagua kuwa Raisi wetu wa Tanzania tunakusubiri uje viwanja vya uhuru. kukuona tu kutatupunguzia makali ya athari zilizotukuta walau kisaikolojia na kutufariji...
Watu wamepoteza maisha yao kutokana na milipuko ya mabomu Gongo La Mboto. Rais amesema hili nin janga la kitaifa. Je, hakuna siku maalumu iliyotengwa kuwakumbuka ndugu zetu waliopoteza maisha...
Kama kawaida ya waTZ tukio la mlipuko wa mabomu Gongolamboto lazima liende sambamba na ulaji kwa wakubwa. Waswahili wanasema 'kufa kufaana'. Kinachofanyika sasa, 'wazee wa kazi' wanajipanga namna...
Tukisema kwa lawama dhidi ya serikali ambazo zinatolewa na wananchi mbalimbali hii ni haki yao kabisa hakuna mtu anayepingwa kwa kutoa lawama zozote zile lakini tunapotoa lawama ni vizuri tuwe na...
Mkuu wa mkoa bado ni yule yule, William Lukuvi
MBAGALA
Watu waliandikishwa kuzingatia upenzi wao wa vyama vya siasa
Orodha ya wahanga ilikuwa na kasoro nyingi
Tathmini ilikosewa kwa...
Kwa maneno haya ya spiker Ana makinda anataka
kuwaambia nini watanzania na watu wa Arusha?
Je hii sio mwanzo wa kushindwa kuliendesha bunge?
Je atahimili au yeye ndie atakuwa chanzo cha...
Nimesikia kwenye radio kwamba dalili zilianza kuonekana tangu asubuhi saa 4 baada ya bomu dogo kulipuka.
uongozi wa jeshi ulichukua taratibu gani??
maghala ya kambi yamelipuka ndani ya kambi...
BBC Sport - Football - Jose Mourinho's unbeaten home league run reaches nine years
German 'plagiarism' minister drops PhD
German Defence Minister Karl-Theodor zu Guttenberg has temporarily...
Baada ya jeshi kushindwa kukusanya vipande vya mabomu. mateja wa maeneo ya pugu kinyamwezi na dampo walifanya kazi ya kuanza kukusanya vipande vya vyuma vya mabaki ya...
Hivi ni kwa nini Watanzania tunapohojiwa juu ya jambo zito tuna tabia ya kuchekacheka? Pia kwenye hii video clip utaona in the background kuna jambo linaendelea la kuwatambua watoto lakini hawa...
18 February 2011 Last updated at 11:16 GMT
German 'plagiarism' minister Guttenberg drops PhD
The defence minister was in Afghanistan on an unannounced visit as further accusations emerged...
Mheshimiwa huyu wa Singida asipoangalia vema umaarufu wake utamomonyoka vibaya. Mfano. kwa kitendo chake cha jana bungeni kuomba bunge liahirishwe kwa kuwa jaji amem-issue summons ni kituko cha...
Miaka ya nyuma watanzania tulikuwa na kamsemo eti chama kimeshika hatamu,baada ya mabadiliko ya katiba yaliyoruhusu vyama vingi sasa kale kamsemo kamebadilika na wanasema Chama Cha Mapinduzi...
Muda umewadia, Africa inapata mwanga mpya wa mapinduzi ya demokrasia na uwajibikaji. Aliyeiba awajibike, aliyeua awajibike pia. kutoka kaskazini. Ni muda muafaka sisi waafrika weusi tuitikie sauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.