Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kutokana na Milipuko ya GOMS, yale mambo yote mazito yanayolikabili taifa letu yamefunikwa kabisa.. Hasa Dowans, mfumko wa bei, Kupanda kwa umeme, mgao, kujisafisha kwa Chenge, kuchaguliwa kwa EL...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mara nyingi kunapotokea matukio ya majanga kama yale ya mlipuko wa mabomu kule Gongo la Mboto tunaona viongozi wengi wanafika maeneo yale na kutoa matamko mbalimbali. Watu wanaweza kudhani kufanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WADAU...SIO VIBAYA KUKUMBUSHANA 'KAULI HII YA BUSARA ILIYOTOLEWA NA MWENYE KUONA MBALI! Dr slaa aliposema kuchagua JK na CCM ni maafa kwa taifa, ni nini? Ni ukweli? Asilimia 85 ya Watanzania na...
0 Reactions
133 Replies
9K Views
Serikali 'baradhuli' ya JK inashambuliwa kila kona: Yaani kwa kweli ni hatari tupu jinsi wandugu wa TZ wanavyoishambulia serikali pande zote kiasi kwamba zile kelele za mlango sasa zinaleta...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
wana jf kwa kweli tangia nizaliwe sijapata shinda ndani ya wiki moja kama wiki hii. nilikumbwa na msukosuko wa mabomu nikakaa mbali na home kwa siku tatu. leo nimetoka nikaenda kituo cha mafuta...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
kuna tetesi silaha nyingi za jeshi letu ziliibiwa Uganda baada ya vita na Idd Amin. Hawakua na documents zinazo onyesha zimenunuliwa lini , kwa nani wala zina expire lini. Ndio maana hawajajua...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwamunyange? kuwakimbia jonalists? ilikuwaje? au walitaka kumletea za kolimba? machale yakamcheza mjesh? akasepa? hahaha!!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Most recent happened in Albania, Europe, in 2008!
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wanangu kuna simulizi; Kuna mzee aliumia mguu. Ktk Kumtibu aliona awaeleze wazee wenzie tofauti na mguu ulio umia ili kukwepa maumivu ya kumchua. Hatima ya siri yake mguu ukaoza na umauti...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
* Vitisho/udikteta//ukiritimba Ukaidi/ujeuri/ulevi wa madaraka/kupuuzia = Kukwepa midahalo, chuki dhidi ya vyama vya upinzani na kuviita copyright * Dharau/kiburi/uozo/Ukosefu wa sera/dira= Rais...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Which one is our Tahrir square? Is it Mnazi mmoja? Is it Jangwani au Askari Monument? Naomba mlale mkifikiria maana demonstration makes sense kama ina paralyse daily activities! Therefore Askari...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Airlines furious over airport incident in Dar es Salaam BY WOLFGANG H. THOME, ETN | FEB 18, 2011 (eTN) - A regular aviation source in Dar es Salaam has, through third parties, passed his own...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Chonde chonde mzee, Ikija ikatokea siku kumetokea uzembe (ajali kama mnavyoiita nyie) mwingine wowote wa kipuuzi kama huu wa gomz/mbagala na kwa namna moja au nyingine mimi ama familia yangu...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
DESEMBA 2007 Helikopta ilianguka juu ya Ziwa Natron na watalii wanne, msindikizaji wao mmoja Mtanzania, na maofisa watatu wa JTWZ. Hakuna aliyepoteza maisha lakini ililipuka na kuishilia mbali na...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Rais Kikwete amepita kuelekea kwenye eneo la tukio la mabomu huko Gongo la Mboto KAULI YA RAIS: Ndugu Wananchi, Kama mjuavyo, jana usiku jiji la Dar es Salaam lilipata mtikisiko mkubwa...
0 Reactions
230 Replies
29K Views
Nakumbuka April 2009 baada ya Milipuko ya Mabomu huko Mbagala kituo cha TBC1 baada ya siku tatu walianza kuonyesha "documentary" ya Vita ya Kagera.. Leo hii nimeona pia kituo cha TBC1 waki-air...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kitila Mkumbo, amesema jambo, nimemsikia, amenigusa. Amesema ukweli, ukweli ambao hatujauona, na kamwe hatutauona. Kuna maswala muhimu ya msingi, mjadala wake umeishia hewani, na yalikuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimepita leo Sam Nujoma road na kuona ile miti iliyopandikizwa fasta wakati wa World Economic Forum kule Mlimani city ipo hoi imekauka na mingine kudondoka.Jamani who is behind huu ubadhirifu coz...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Katika kuonyesha kutojali yaliyotokea Gongo la Mboto serikali imeshindwa kutangaza hata siku moja ya mambolezo na wahusika hawataki kujiuzulu!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom