Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Being kind and at the same time being a good leader are two very distinct traits, Kikwete like to mix up with the lot so he can have his face appear in the news and pretend to be the kind of a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TAMKO LA SERIKALI; Tutaendelea na utaratibu wa kupiga mabomu kila j5,kuanzia saa 2:30 hadi saa 5 usiku mpaka Watanzania kwa hiyari yenu mtakapokubali deni la Dowans lilipwe bila kipingamizi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunayo mihimili rasmi mitatu ya dola ambayo kazi yake kubwa ni kusimamia shughuli za umma na kuwaletea maendeleo wananchi. Tuna serikali, Mahakama na Bunge. Kwa nchi yetu mihimili hii imekuwa ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tutatanganyika tu! Ipo siku.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni udadisi tu..... Kwamba bado siku 60 tusherehekee sikukuu ya wafanyakazi hapo tarehe 1/5/2011. Najaribu kufikiria itakuwaje: 1. Bado madai ya wafanyakazi hayajapatiwa ufumbuzi, na hakuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF Kwa mtazamo wangu naona watu wa mikoani wamejitambua muda mrefu na hata kuchagua wabunge kutoka vyama vya upinzani tokea mabunge yaliyopita(ukiacha kawe na ubungo 2010),ukiangalia msukumo...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Tuhabarisheni jamani baada ya dhahama ya mabomu ya GlM (Gongo la Mboto) je wafungwa wa gereza la Ukonga na Seregerea wako huko huko au wako mitaani?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Lipumba ataka wataalamu wa nje wakague makombora Send to a friend Friday, 18 February 2011 21:23 0diggsdigg Elizabeth Ernest MWENYEKITI wa Chama cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nadhani mmeona jinsi waandishi wa habari za Tanzania walivyo vigeugeu, siku ya kwanza ya uchaguzi walikuwa wanaripoti kuwa kuna mwamko mkubwa sana na watu wamejitokeza kwa wingi sana kupiga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Operation Fagia in Nyeri County OPERATION FAGIA is a broad nationwide campaign to promote the rule of law and other attributes of good governance, including visionary leadership. The campaign is...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi mmeona majeruhi wa maboomu walivyolala chini Muhimbili na Amana? Je mmeona madaktari wanawatibu huku hawajavaa gloves? Je mmeona wakimbizi au tuwaite IDP (internally displaced People )...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Spika wa bunge Anne Makinda amesema hajaridhika kwamba suala la milipuko ya mabomu iliyotokea juzi Gongo la Mboto ni la dharura na lina maslahi kwa umma na kwamba halihitaji kujadiliwa kama jambo...
0 Reactions
126 Replies
14K Views
Kuna tetesi kuwa RAISI wa serikali ya nje (serikali ya Tanganyika) anategemea kwenda kuzuru waarithirika wa mabomu uwanja wa uhuru
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kutokana na janga la Gongo la Mboto lime nijia wazo kwamba tuna hitaji kitengo cha kutoa huduma ya kwanza. Hapa simaanishi polisi au vyombo vya usalama bali watu wanao weza kwenda kuokoa watu na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimemsikia waziri wa Ulinzi Mh Hussein Mwinyi akihojiwa na VoA swahili. Pamoja na maswali mengine ameulizwa kuhusu kuwajibika kwa kujiuzulu. Mwinyi: Kujiuzulu kunatoka na makosa yaliyofanywa na...
0 Reactions
138 Replies
12K Views
Tunaona jinsi serikali ya CCM mara baada ya uchaguzi wa Oktoba 2010 inavyobanwa kila upande kutokana na vyama vya upinzani kujiongezea viti bungeni na huku chama tawala CCM kujikuta viti...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba Kuuliza swali Wana JF tangu Fisadi Kikwete ashike hatamu ya Uongozi katika Nchi yetu ameunda Tume ngapi? Je hizo Tume zinafaida gani kwa Taifa. Isjekuwa wanapeana ulaji Kijanja kwa Kutumia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna mlipuko kama wa bomu umetokea tena leo huko Gongo la Mboto. Wenye habari zaidi watuhabarishe.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani watanzania tuamke!!! Gharama za maisha zimepanda. Hapo ni mwanzo tu bado bunge letu tukufu halijakaa kupanga bajeti ya 2011/2012. Hivi kweli tutafika? Jamani tufikiri tusije tukafikia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi najaribu kujiuliza Ki-protokali Matamshi ya Shimbo yana mhusisha vipi Mkuu wa Majeshi Mwamunyange? 1. Kama Shimbo anaagizwa afanye nini na Mkuu wa Majeshi, je Mwamunyange haoni kwamba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom