Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwako Mhe. Rais wa JMT, naamini utasoma waraka huu kupitia kwenye huu mtandao wetu wa JF kama siyo wewe basi wasaidizi wako wanaopitapita humu watakufikishia salamu. Kamba serikali yako...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sasa Jamii Forums imeshajulikana na sifa kemkem imepata. Lakini kwa kiasi kikubwa inajulikana sana kwa wasomi na wachache wenye uelewa wa masuala ya internet. Kwa utafiti...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Ndugu Zangu, KWANZA, kama Watanzania, tupeane pole kwa msiba mkubwa ulotufika; milipuko ya mabomu Gongo La Mboto. Nimeona picha za kwenye runinga, magazetini, mitandaoni. Nimesoma...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tarehe 10.10.2010 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu ndugu Emmanuel Nchimbi ambaye wakati huo alikuwa anagombea ubunge jimbo la Songea mjini aliwaahidi wananchi wa manispaa ya songea kuwa tattizo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
It’s ‘negligence’ Saturday, 19 February 2011 07:13 The Citizen Reporters Dar es Salaam. There are indications that professional negligence might have caused Wednesday night’s powerful explosions...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ili kuongeza uwajibikaji kwenye jeshi letu la Tanzania nafikikiri ingekuwa vyema Waziri wa Ulinzi, Husein Mwinyi, ajiuzulu. Inatia uchungu sana uzembe wa jeshi letu haswa ukiwaangalia hawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hembu tuwe wakweli kwenye hili,imekuwa kasumba(sijui watanzania ndio tulivyo!) kujadili na kutafuta mwafaka kwa mambo ambayo yameshatokea but ni vigumu kufanya hivyo kwa mambo ambayo hayajawa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TBC imetangaza hivi punde kuwa ni watoto 8 tuu ambao bado hawajatambuliwa na kuchukuliwa na wazazi wao uwanja wa Uhuru. Hata hivyo bado kuna akina mama zaidi ya 100 ambao bado wanawatafuta watoto...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni mara chache sana mimi kuchangia hapa JF ila nimesoma post zote za milipuko lakini sajaona post za kitu nilichokiona kabla ya milipuko. MIMI naishi maeneo ya Segerea ni karibu sana na GOMS...
0 Reactions
124 Replies
11K Views
Wakuu,hizi taarifa ni za kweli?:Kwamba wabunge wetu wa Chadema wameziktaa sh milioni 90 walizopangiwa kuchukua ili kila mmoja anunue gari.Wabunge wamefikia hatua hiyo ili kuonesha uzalendo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Je tuseme haya majanga yanalolikumba taifa letu ni laana kutoka kwa wazee wa east africa kutolipwa pesa zao na serikali?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hebu jaribu kumskiiza Dokii halafu utahisi katika kumnadi JK kuna kitu zaidi ya usanii yaani ni passionate ikifuatana na facial gestures, na kujishaua kiaina! vp kunani hapo?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Soma hapo chini: Hawa jamaa wanadata base na info zote kuhusu usalama wa nchi hii. Iweje leo wanataka kuleta wageni wachunguze chanzo cha hili janga? Our Commander in Chief jana katamka wazi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna wananchi kweli walipigia hiki chama kura. Kitu gani kina mtoa mtanzania nyumbani kwenda kusikiliza hotuba ya Kikwete au Mkapa? Tumeendelea kusema tangu awali, wananchi hiki chama sio chenu na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nilikuwa nasikiliza tbc fm mchana leo mara wakapiga kibao cha prof j cha "ndiyo mzee" nikaanza kukumbuka kipindi cha kampen jk alivyokuwa anarap ahadi mf. Nitajenga machinga complex kila wilaya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimetumwa na wenzangu Kijiweni,hapa kwenye kona kama unaelekea kwa upande wa pili wa mtaa...wanaulizia yafuatayo: 1. Eti bado una yale majina ya ile sensa ya wale waliotajwa na waTz kwamba ni...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wabunge wazoa Sh90mil kila mmoja Tuesday, 15 February 2011 Mwandishi Wetu, Dodoma JUMLA ya Sh3.24 bilioni zimelipwa kwa wabunge ili kuwawezesha kununua magari binafsi kwa ajili ya shughuli za...
0 Reactions
290 Replies
21K Views
wadau nimefurahi kidogo kukuta tovuti ya chama changu ina habari hii nikaona niwashirikishe na wale wa sisiemu ili muone Pinda anavyodanganya kama Kikwete alivyosema hamna kampeini bila uongo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
#editorschoice { DISPLAY: none}#breakingnews { DISPLAY: none}#nav { DISPLAY: none}.c35r { DISPLAY: none}.leaderboardad { DISPLAY: none}.halfbanner { DISPLAY: none}#articlepagecontent { WIDTH...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom