Kwa wale walioko karibu na zilipo generatoirs hizo, naomba mtutundikie serial numbers za generator hizo ili tufuatilie kujua thamani yake halisi na mzunguko wake kwenye soko la dunia tangu zitoke...
After the uprising and success of the phenomenal fueled anti-government demonstrations witnessed in North Africa in the past few weeks, there is every reason to suggest that it's only a matter of...
Jamani,
Bila shaka, wengi wenu mmeona jinsi wenzetu waarabu walivyoingia mitaani kupinga tawala za kibabaishaji. Wamevumilia wameshindwa. Hatua ya mwisho waliyoona inafaa ni kuingia mitaani...
Huyu Rostam ndie chanzo ya matatizo yote katika Serikali yetu ya Tanzania. Yeye ndie anaeivuruga CCM kwa maslahi yake binafsi na ni yeye ndie alieleta Wahindi/Waarabu wafanyabiashara katika ccm...
Katika hotuba yake bungeni tarehe 18 november , 2010, Raisi JK aligusia kwa umahiri vipengele 13 vya serekali yake kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Kwa mujibu wa gazeti la Habarileo la...
Ndugu zangu,
Nikitafakari mwenendo wa nchi yetu kisiasa, kiuchumi na kijamii katika kipindi cha uongozi wa JK, nashawishika kuhitimisha kuwa pengine kuna laana fulani inayoitafuna nchi hii. Hivi...
Nianze kwa kutoa pole kwa waathirika wote
wa mabom ya Gomz. Poleni sana watanzania wenzangu.
Katika maisha ya mwanadam hakuna kitu kisicho faa kufidia kama
maisha/uhai wa mtu. Nini serekeli...
Jamani habari nilizozipata ni kuwa injini namba 3 pale SONGAS imepata hitilafu na inawaka tafadhali mtujuze mlio karibu.
===========================
UPDATES: (Maxence)
Ni kweli moto ulitokea...
Jamani hiyo tume ni ya nini hasa?
Hizi tume zinazoundwa baada ya majanga kutokea za kazi gani wakati wahusika wakuu ambao ni wizara ya ulinzi na Mkuu wa Jeshi la wananchi bado hawajaondoka ktk...
Wakuu wa JF,
Habari kutoka mjengoni zinatabaisha kuwa ccm wameshtukia dili utetezi wa Mh.Gobless Lema (Chadema) dhidi ya hoja ya spika wa bunge mh Anne Kitoto cha ndege. Spika amenukuliwa...
Inasikitisha sana kuona hawa ndugu zetu wamefanywa ombaomba na serikali yao!!hivi hatuna kikosi cha maafa cha majeshi yetu kuweza kuwasaidia hawa ndugu zetu??inatia hasira sana wandugu,watu...
Katika pitapita zangu leo asubuhi, nilishtushwa na watu wakisema, "sikiliza, tazama, angalie, nk" Kumbe wanaonyeshana Dr. Slaa! Kilichonishangaza zaidi, ni jinsi Mh. Makinda alivyokuwa...
Ndg zangu, uchaguzi umeisha, lakini ndo unaanza tena!
Naomba kuwaomba wagombea wa urais wa 2010 wamalize tofauti zao kwa kufanya mdahalo wa tadhmini ya ahadi zao walizozitoa wakati wa kampeni...
State to publicize proposed constitutional review
THE government plans to deploy teams of educators to raise people's awareness on the envisaged constitution reforms, Minister for Constitutional...
TUmeona mlivyopambana bungeni na jinsi mlivyopigwa vita left right and center...
Tumeona mlivyojitolea kusaidia waathirika wa Gongo la Mboto na jinsi media yetu na serikali zinavyojitahidi...
Mimi ni mfuasi wa CDM lakini nimejaribu kufutilia vyombo vya habari sijaona kiongozi wa CDM maeneo ambayo wahanga wa mabomu wamekusanyika iwe hospitalini au viwanjani. Au labda kuna ambaye...
Ndugu
Tukumbushane juu ya hili. Msingi wa kweli imara kwa nchi na watu wake ni umoja, Amani na Ustawi.
Tuekuwa tukikosea sana kwa kuhubiri amani na umoja peke yake! Tuijali nchi na watu wake...
Salaam wana JF,
laana (curse) kwa tafsiri nyepesi ni matukio mabaya yanayoweza kumpata mtu,familia,jamii na hata taifa. Laana mara nyingi hutokana na kwenda kinyume na mwenyezi Mungu au kwa namna...
Kuanzia mawaziri na sasa JWTZ wamekuwa wakijigamba ya kuwa hawawezi kujiuzulu kwa misingi ya uwajibikaji kutokana na utendaji mbovu wa taasisi wanazozisimamia.........
Huu ugonjwa unaanzia pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.