Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nimepata taarifa kutoka kwa wadau wenzangu kuwa mkuu wa kulinda ghala za mabomu huko gongolamboto alikwisha andika barua kuomba kambi za mabomu zihamishwe Mbali na eneo la kambi hizo kwa mkuu wake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimaye juma lililopita tumeshuhudia kufungwa kwa kikao cha pili cha bunge la kumi. Kimsingi,basing on historia ndogo niliyonayo kichwani, hili linaweza kuwa ni bunge lenye wabunge wengi vijana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kawaida African Union wanajipeleka Ivory Coast na kikundi cha uongo na kula pesa za wananchi wao. Kikwete anachokifuata Ivory Coast ni nini? Kinashangaza kuona viongozi wa Africa wakijali...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Awali ya yote nawapa pole ndugu zetu wa Gongo la Mboto ambao kwa namna moja au nyingine wameathirika na milipuko ya kizembe iliyotokea hivi karibuni. Kwa wale waliojeruhiwa, nawatakia afya njema...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Toka eneo la gongo la mboto likumbwe na milipuko ya mabomu, tumeshudia watu mbalimbali wakitoa misaada kwa waathirika, naamini kila aliyekuwa ananyoosha mkono wake alikua na nia nzuri kuonyesha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa najua wote n binadamu lakini hawa mawaziri wa serikali ya sasa nahisi wahuni na wababishaji sasa imefika wananchi kuwaondoa kama ni kwa maandamano ama lah..lakini ni vyema tukaanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema viongozi wa dini wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhimiza uadilifu miongoni mwa waumini wao kwa sababu wengi wao ndiyo waajiriwa katika sehemu mbalimbali...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
mods anachezea kazi yenu huyu ...merge this thread again and punish him
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. “I am here to find a happy resolution, a business decision. I am ready to offer something nice to Tanesco if it works out.” 2. “I don’t want to be known. I am a low-profile...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
uraies wa tanzania asahaau.howcome mwzi kuwa rais wenyu watznania? anafkiri watanzabia wote anwanas=-akili kama ng'ombe za umasaini? jipendelekeze sana lowasa lakoini huwezio kwuwa raois wa taznania
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nyerere alimkamata mgiriki aliyeiweka serikali yake mfukoni, sasa Mbona Kikwete anakaogopa haka kaarabu au kwa sababu brigedier na yeye kanali?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM kuwabana Mnyika, Kafulila bungeni Courtesy of : http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=430742 na Mwandishi wetu WAKATI mkutano wa 11 wa Bunge ukitarajiwa kuanza keshokutwa mjini...
0 Reactions
93 Replies
18K Views
Kama ilivyo kuwa operation 'SANGARA'; Sasa twende mbele na operation 'KIMBUNGA' Yenye malengo haya; 1 Kuwaelimisha wananchi kila eneo watakapo pita kuhusu mali asili walizo nazo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ililkuwa kama zile sinema za akina rambo na waigizaji wengine,tbc kwa kile cha kulinda maslahi ya wakubwa wakaamua kukatiisha kurusha matangazo kwa sababu mabere marando alikuwa akifichua ufisadi...
0 Reactions
73 Replies
8K Views
Kumekucha sasa kumekucha, Majogoo vijijini yanawika, Hata na jua mbinguni limetoka, Wazalendo amkeni, tufanye kazi sasa! Ooh, ooh, mamaa tusonge mbele Ooh, ooh, mamaa tusonge mbele sasa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Jamani wanajf ninaomba niileta hii theory hapa tujadiliane kama linawezekana. Bunge lililopita halikuwa nzuri sana kwa sababu kulikuwa na udikter ndani yake. Je kama bunge la mwezi wa nne litakuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Muda wa kuanza Revolution Tanzania uanze sasa huo Mchakato wa kuwafukuza Mafisadi. Tuacheni ujinga Watanzania wenzangu kwanini wenzetu waweze sisi Tushindwe. Mikakati ianze ili Mwanzoni mwa March...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesoma kwenye Mwananchi Paper kuwa Mtikila atamshitaki Hussein Mwinyi, Shimbo, Mwamunyange kama hawatajiuzulu, pia JK atashtakiwa kama hatawafukuza kazi. Pia zinatakiwa Million 50 kwa sababu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kutokana na hali ya wasiwasi iliyotokana na milipuko ya Gongo la Mboto, nimeona ni bora niiweke hii. Mnamo kama saa 2.20 usiku huu kulikuwapo kitu kama mlipuko, au mlio usi wa kawaida katika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninaangalia ITV wazee wa Africa mashariki wanatia huruma sana,ila chaajabu wanasahau walipokua wanavaa T-Shirt,Kofia na kanga.Pia serikali haina hela ya kuwalipa ila ya kutaka kuilipa dowansi ipo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom