Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Matusi,ubabe,utemi na ukamanda au umwana mapinduzi wa gadafi ni tafsiri mbaya kwa viongozi wabovu wa afrika kama kikwete anajidanganya na anawadanganya kina jk kwamba nguvu ya umaa si lolote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mara nyingi nimesikia Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likikemea mataifa kwa vitendo vya kutumia nguvu dhidi ya wananchi. Leo katika BBC Baraza la usalama la umoja wa mataifa limeionya Libya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makinda: Nitawaondoa wabunge watakaopokea takrima, posho mbili Send to a friend Tuesday, 22 February 2011 21:11 Sadick Mtulya SPIKA wa Bunge, Anna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tuesday, 22 February 2011 21:07 (MWANANCHI) Ramdhan Semtawa Akiwasilisha Taarifa ya Utendaji wa Kampuni ya Reli nchini kwenye kamati hiyo, jijini Dar es Salaam jana, Nundu alisema mkataba huo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuondokana na tatizo la umeme ni kuruhusu mashirika mbalimbali na watu binafsi kutoa huduma hiyo. Siku za nyuma tulikuwa na matatizo ya shirika la simu nchini na huduma yao ilisumbua mno watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TANESCO, shirika la umma linafanya biashara isiyo na ushindani katika nchi hii. Wanakusanya bili prepaid (LUKU) lakini huduma bado ni utata. Tunafahamu wana wataalamu wa kila aina mfano wataalam...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Jamani naona muda unakatika sasa JK alimteua yule Mwarabu-Msukuma kuwa RC wa Dar, jamaa HAJA-FIT kabisa kwenye cheo hicho.... Hivi JK bado anatafuta RC?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo mwenyekiti wa chadema taifa mh Mbowe amefungua tawi kubwa la chama kwenye chuo kikuu cha arusha, wanachama zaidi ya mia nne wamejiunga na chadema
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania na nyingi za kusini mwa Afrika ziligomea kufanya biashara na Afrika ya Kusini kwa muda mrefu sana. Wangeweza kupata bidhaa nyingi na za kisasa na hata wafanyakazi kutoka Afrika ya Kusini...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wadau katika pitapita zangu leo mjini nimewasikia watu wanasema umeme wa dowans umewashwa..kama kuna m2 ana habari kamili naomba atujuze.Nawasilisha!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Lowassa na kamati yake leo wamewatembelea waathirika wa mabomu ya Goms. Amesikitishwa na baadhi ya hospitali kutoshiriki kutoa msaada na pia amesifia weledi na utendaji wa JWTZ. Source: Habari tbc1
0 Reactions
50 Replies
4K Views
-hekaheka mitaani -taharuki za watu -live milio ya mabomu -waandishi wa habari
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Imebainika kuwa Diwani wa Kata ya Kimara, Paschal Manota, hana Ofisi.Akizungumza na gazeti hili, diwani huyo amesema amelazimika kuhamishia ofisi yake kwenye mkoba na wakati mwingine kulazimika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mwanahabari mmoja kuwa wahariri walioalikwa kwenye press conference ya mtu aliyejitambulisha kama mmiliki wa Dowans walihongwa Sh. 500,000 kila mmoja ili...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Tanzania ilivyouanza mwaka 2011 1. Katiba Mpya 2. Noti mpya feki 3. Matokeo mabaya ya form 4 4. Malipo ya dowans ...5. Vichanga waliozikwa mwananyamala 6. Migomo ya vyuo 7. Mabomu gongo la mboto...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Taarifa zinasema kwamba yule jamaa aliyejitambulisha kuwa ndiye Brigedia Jenerali Sulaiman Al Adawi, Mmiliki wa Dowans anatajwa kutembelea mitambo ya Dowans Ubungo.... Kazi kwenu waandishi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Chama cha CHADEMA kanda maalum ya Dar es salaam siku ya kesho wataendelea kuwa changia wahanga wa mabomu wa kule gongo la mboto, viongozi hawo wataambatana na wabunge wao pamoja na umoja wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa Mh Lema. Nafahamu kuna mfuko unaoitwa Arusha Development Fund ulioanzishwa jijini Arusha kwa lengo la kuchochea kasi ya maendeleo mjini hapa. Ni wazo zuri sana. Sijajua ni maeneo gani zaidi...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Chadema wakiongozwa na Mh. Godbless Lema wameandama mjini Arusha wakielekea ofisi za manispaa, lilikuwa kundi dogo la vijana, baada ya dk kama 2 hivi mlio mkubwa kama wa bomu ulisikika, wale...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wandugu, Inapotokea janga kama Gongo la Mboto lawama zote kwa CCM na viongozi wake. Waliodhurika wanahurumiwa, wanaonekana wanyonge na wanaostahili kutetewa. Michango inakusanywa na misaada...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom