Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
:mullet:wadugu,wakazi,wazawa, na wapenda maendeleo wote wa wilaya ya KYELA naamini wanaoijua kyela kisiasa na siasa zake wanazijua pia! kwao hiliwezi kua jambo la kushangaza kuona pilikapilika za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nisaidieni na hizi sheria zenu,inanisumbua akili sana kila kesi ya bwana mengi inapoitishwa,iko sawa sawa hii kimaslahi ya kisiasa?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jana wakati nasikiliza BBC kuna mchambuzi mmoja toka Libya akawa anaelezea maisha ya wananchi wa Libya kwamba, ELIMU BORE BURE,AFYA BORA BURE, UMEME NA MAJI BURE NYUMBA UNAPEWA NA SERIKALI BURE,Na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika kupitia speech za Baba wa Taifa, hii niliipenda, nitanukuu point chache alizozungumzia kuhusu sifa kiongozi wa Taifa letu wakati akihutubia mkutano mkuu wa CCM: Watanzania wanahitaji...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Tatizo la Rushwa nchini linazidi kuongezeka kila kukicha baada ya Waziri Mkuu kuwasihi mashehe na Maaskofu wahubiri rushwa misikitini na makanisani hii ni kutokana na RUSHWA kukithiri NCHINI mara...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu wote,mi naona ni vyema tukaanza kujiandaa kumpa urais Dr Slaa 2015. Serikali hii bado imeshindwa kutatua matatizo yetu ya msingi. Wananchi wameanza kuonja madhara ya kuvaa kofia,T-shirt...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
WAKUTANAPO MARAFIKI WANAOFANA KWA VITENDO VYAO Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokelewa na Rais wa Ivory Coast Laurent Gbagbo muda mfupi baada ya kuwasili jijini Abidjan kwa mazungumzo ya kutafuta...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Feedback .cnnFBRecBtn { MARGIN: 10px 0px; WIDTH: 336px; FLOAT: right; CLEAR: both}.cnnFBRecBtnBot { MARGIN: 30px 0px 15px 186px; WIDTH: 420px}.cnn_strycntntlft { CLEAR...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimashangazwa sana na msimamo wa Janauary Makamba kunga'ng'ania kuendelea na mkataka feki wa Dowans, ambao kwa kiasi kikubwa umeleta tafrani katika nchi yetu. Sijui kama na yeye anatekeleza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
BBC News - Saudi King offers benefits as he returns from treatment Saudi Arabia's King Abdullah has announced increased benefits for his citizens, as he returned after months abroad getting...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
H.E. Dr Salim Ahmed Salim appointed as second chair of the Prize Committee of the Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership Tuesday, 22 February 2011: DrSalim Ahmed Salim, former...
0 Reactions
65 Replies
6K Views
WikiLeaks Exposed Gadhafi Family Abuses Clan's abuse of power helped fuel unrest...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ETI SIMJUI MMILIKI ????RA,JK ETI NILIMUOMBA RAFIKI YANGU RA ANISIMAMIE???? BRIGEDIA ALAW ETI MIMI HATA SIWAJUI WAMILIKI WA DOWANS WALA SIJAWAHI KUWAONA???JK ETI WAMILIKI WA DOWANS HAWATOKI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
viongozi wa dini wanapoombea mvua ili bwawa la mtera lijae tupate umeme wanadhani kukosekana kwa umeme tatizo ni mvua?,mbona bwawa likijaa utasikia tumezima mashine/turbines sababu maji yamejaa na...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Pamoja na kukaa kwake muda mrefu kwa miaka 25 na sasa anachukua ya kukamilisha 30 Bw. Yoweri Kaguta Mseveni. Ishara hii inaonyesha nini kati ya haya: 1.Kiongozi bora? 2.Waganda bado wanamhitaji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna tangazo naliona hapa itv ya kuwa kutakuwa na mjadala kuhusu dowans jumanne saa 3:00 usiku. Binafsi ningependa kujua sura ya sakata hili kipindi hiki.
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Nimepitia kwa makini document hii iliyotolewa na huyu jamaa anayejiita mmiliki wa DOWANS. Nimegundua kwamba tatizo si dowans tu, bali hata watendaji wetu wa serikali tuliowapa dhamana kubwa lakini...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Mwenyekiti wa taasisi ya mwl. Nyerere akitaka chama cha mapinduzi wakaechini na wafanye tathimini ya mwoenendo wake, kwan amegundua hakina support toka kwa vijana, yeye binafsi anatambua misingi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri aanika uozo, madudu mkataba Reli Send to a friend Tuesday, 22 February 2011 21:07 0diggsdigg Ramdhan Semtawa NI nadra kwa viongozi wa serikali kukiri madudu, lakini safari hii hali ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Send to a friend Tuesday, 22 February 2011 20:55 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete Na Nizar Visram MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akihutubia kilele cha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom