Marais wa Tanzania wamekuwa na kawaida ya kuhubiri mapinduzi kulindwa kwa hali yoyote ile ,kauli kama hiyo ndiyo aliyonayo Gadaffi kwa raia wake na ulimwengu kwa ujumla kama ilivyo Tanzania...
Hivi karibuni kumeibuka wimbi la viongozi wa serikalini kulia na kuonyesha machungu ya wananchi kana kwamba hawajui matatizo yetu, wanalia bila ya aibu au ninaweza kusema wanaigiza bila ya aibu na...
Opposition groups in Cameroon are planning "Egypt-like" protests Wednesday to call for the president's ouster after almost three decades in power.
President Paul Biya is running for re-election...
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema aliingia matatani baada ya kuomba muongozo kwa spika akitaka aelezwa ni hatua zipi zinaweza kuchukuliwa endapo itabainika waziri mkuu analidaganya bunge na...
Wakati wa kuomba kura nilikuja kwenu katika ukumbi huu kuwaomba mniunge mkono, kati ya ahadi nilizotoa wakati huo ni kuchukua maoni yenu na kuyawasilisha bungeni. Naomba kwa leo niwape mrejesho...
Hivi ni vijisent tu vilivyobakia nyumbani kwa alokuwa Rais wa Tunisia,sijuwi ma-bank ya njee ana ngapi? na sijuwi Kikwete na Amani nawao vipi?
YouTube - ‫
Inashangaza sana hakuna tamko lolote nirisubiria tunisia nikaona serikali ya kishikaji imekaa kmya ikaja mirsi wakaziba pamba masikino'sasa libya wamefungulia muziki wanacheza hawana habari au...
Matukio haya mawili yaliotokea zenj yanatoa maswala mengi kuliko majibu ya cuf
1)Ukimya wao juu ya kupigwa kwa mwandishi wa channel TEN labda kwa kuwa sio Mpemba?
2)Kutiwa Tindikali kwa...
Nguvu ya uma haichezewi,nguvu ya uma haina msomi,nguvu ya uma haiogopi vyombo vya dola nguvu ya uma ni Ishala kwamba ya umoja na si unafiki DONT PLAY WITH PEOLES POWER.:second::second::second:
Kanuni za Sheria ya barabara namba 13 ya 2007, zilizopitishwa kupitia Tangazo la Serikali namba 21 la Tar 23 Januari 2009 katika Ibara ya 9 (1-10) inaipa TANROAD mamlaka ya kuondosha magari...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania(TANESCO),William Mhando(Kulia) akizungumza na waandishi wa habari,leo katika Ofisi Ndogo za Bunge,Dar es Salaam,ambapo akanusha habari kuwa...
Kipindi cha kampeni hadi kipindi cha kupiga kura ambapo zoezi la uchaguzi lilikamilika, kulikuwa na wapiganaji wa CCM wakitetea chama chao hata ktk mambo yasiyostahili utetezi, kiasi watu wakawa...
Yaani bomu zima-zima liruke hewani lenyewe? Likatue chini ndo lilipuke?
Kutoka Goms hadi Ubungo? Lenyewe tu kavukavu linaamua 'sasa naruka zangu from here to kinyerezi then nikifika huko...
Muswada wa Katiba mpya kutua Bungeni Aprili
Dodoma,8 February 2011
SERIKALI katika kudhihirisha azma yake ya kuitikia mwito wa wananchi wa kuundwa kwa Katiba mpya, imetangaza kuwa itawasilisha...
watanzania tuamke, tuache ubinafsi,, kuiondoa CCM lazma tuwe na muungano wa vyama vyote vyenye nguvu kama CUF, CHADEMA, NCCR, TLP na UDP. Hii ndiyo silaha pekee ya kuachana na unyonge
Mh!!!!!!!! nisameheni leo niandike kwa herufi za kupiga kelele
HIVI KWELI KATIKA VIWANGO VYOVYOTE VYA KIMAADILI, KUNA HAJA GANI YA KUWA NA MAZUNGUMZO NA EL- ADAWI AU KUFIKIRIA HATA KUTUMIA HIYO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.