"Tumelazimika kuwatawanya kwa kutumia mabomu ya machozi kwa sababu walikuwa wakitoka mahakamani kwa mfumo wa maandamano huku wakisema, "Peoples Power."
"Kama wasingetumia mfumo huo kama...
Ndugu wapendwa
nimesoma gazeti moja leo jamaa wa dowans amaekuja na malengo ya kusamehe hili deni la tanesco hasa upande wa riba..kwa kifupi anamaanisha tumuhakikishie ile mitambo tuna aitha...
Fuatilia haya majadiliano na mheshimiwa ..., Duh!
Swali: Mheshimiwa Rais je unawajua wamiliki wa kampuni ya Dowans?
Jibu:
Nasema mimi sijui, ni kina nani sijui,
Wanatoka wapi sijui...
Hallow JF,
mwanasayansi Isack Newton aliwahi kutamka "politicians they just talk they dont write or practice" Je, viongozi wetu wa serikali ya Tz nao wapo katika mkumbo huu au wao wana practice...
Kama binadamu tungekuwa tunarudi kuja kusalimai baada ya kufa !Siku mwalimu Nyerer angerudi angepata wendawazimu kutokana na nchi aliyoiacha inavyoendeshwa !Hakuna haja ya kuoredhesha upupu wa...
MBUNGE wa Same Mashariki, ameponda mfumo wa kuwapata mawaziri na kupendekeza kuwa wachaguliwe na wananchi kama ilivyo kwa rais.
Soma habari kamili hapa:
MBUNGE wa Same Mashariki, Anne Kilango...
Ni mtazamo wangu, labda na Watanzania wengi kwamba serikali ina imani na mifumo na mipango yake ya huduma za kijamii mfano Afya, elimu nk. kwa watu wake. Hii ambulance ya Ultimate Security...
Wasomi: the great deception
Ladies and gentlemen, I have been thinking so much as to why this nation has been poor and will remain so for many decades if not centuries ahead. In the course of...
Sisi wakazi wa vijijini tulikuwa tumemiss sana sauti ya Rais wetu wa moyoni, ambaye akituamuru tuingie mtaani kama Misri na Algeria tunaenda mara moja bila kupinga, Dr Slaa (PhD). Hatimaye jana...
Daily News | Dowans ready to settle out of court
NOTE: anaedaiwa(JMT) najianda kulipa deni, anayedai(dowans) tutoke nje ya mahakama tuzungumze!!! inakuingia akilini kweli?
Tundu Lisu anapendekeza katika gazeti la mwanahalisi la leo kuwa Tanzania itaifishe mitambo ya Dowans. Wazo hili lilikuwa zuri hapo kabla. Lakini sasa kuna habari kuwa Dowans wanadaiwa shilingi...
Jeshi letu na Waziri wake(Mwinyi) ni big joke!
Je umeshasikia milipuko ya mabomu kwenye army barracks ndani ya jiji lolote kwenye nchi yenye "amani na utulivu"?Above that ,tangu Mbagala...
Katika Gazeti la MwanaHALISI, tr 11-17/11/2009 inasemekana mbunge wa Nzega, mh Lucas Selelii wakati wa Kikao cha CCM Dodoma alieleza sababu tatu (3) zifuatazo kwamba Richmond (Development Company...
IGP Mwema na polisi wa Tanzania msionyeshe weakness ya jeshi kwa vitukio vidogo kama hivi, nguvu mnayotumia kutawanya wafuasi wasiozidi 50 ingetumika kuwa 'contain' jeshi lenu lingeheshimika na...
Narejea thread ya Mh Msando Alberto aliyoitoa kama sikosei last week. Alituonyesha hapa jamvini jinsi anavyofanya allocation ya marupurupu yake ya udiwani na nakumbuka ni pesa kidogo sana ambayo...
Kwa kweli nimeshangazwana kuhuzunika kwa kauli za vitisho,kebehi,na kejeli zilizotolewa na Al adawi anayejiita mwekezaji,
Tanzania tumefika mahali mtu binafsi anatisha serikali yenye vyombo vyote...
While the aspirations are different, Egyptians could take five lessons from Iran's 1979 revolt.
While Egypt's army is popular, trusting military forces is not always...
Nimeona kampuni, taasisi na asasi mbalimbali zikitoa misaada ya kiutu kwa wahanga mabomu Gongo la Mboto kwa staili ya kujitangaza na kujinadi zaidi. Nimeona pia WANASIASA wetu na wake zao wakiende...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.