Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Makamba adaiwa ‘kuua majirani zake kwa kiu’ Send to a friend Monday, 21 February 2011 20:55 0diggsdigg KATIBU Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba Elizabeth Suleyman KATIBU Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
UGANDA ELECTION Registered Voters: 13,954,129 Total Cast Votes Submitted: 8,128,098 Percentage: 58.25% Total Number of Polling Stations: 23,968 Total Polling Stations Submitted...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kesi ya kikatiba imeshafunguliwa kupinga Dowans katika Mahakama Kuu Dar es Salaam, mwenye taarifa zaidi atujuze
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kutokana na sakata la ajali ya mabomu ya Gongo la mboto, katibu mkuu wa CHADEMA amewapevua wananchi mawazo ya kuwa hivi sasa si wakati kuwalaumiana kuwa nani ajiuzulu au nani mwenye makosa, la...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
  • Closed
M. M. Mwanakijiji SIJUI kama mwenzangu umegundua kuwa siku za karibuni wanasiasa wetu na watawala wetu walioshindwa wameanza kulalamika kuwa kuna udini unaingizwa katika kampeni hizi huku...
0 Reactions
1K Replies
96K Views
Kwa mara ya kwanza naona kama vile miaka mitano ni mingi sana kusubiri kufanya uchaguzi mwingine. Kwa nini tusianze na kupunguza mwaka mmoja iwe minne kama US.....maana duh, watanzania wapole...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wengi wanaona JK ana uDakta feki....ila sio feki, ni udaktari wa ukweli kabisa....Yeye kama Dakta JK ni mwalimu. Na kwa sasa anatufundisha sisi watanzania. Anatufundisha umuhimu wa kupiga kura...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nafuatilia kwa ukaribu matukio yanayoendelea huko Afrika ya Kaskazini kuanzia Tunisia,Misri na kwa sasa Libya.Yote hayo ni mapinduzi ya kweli ya wananchi dhidi ya tawala dhalimu za viongozi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, nilifuatilia habari ya spika Wa bunge kumkatalia tundu lissu kujadili hatima ya mabomu ya gongo la mboto kwenye magazeti na kugundua kuwa haikupata respective coverage... hapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu watanzania; Ujinga huu sio wa kawaida, lazima kuna jambo kubwa nyuma linalopelekea haya yote kutokea... HAIWEZEKANI Tanzania hii, yenye watu hawa , wanaoimba upole, amani na ukarimu...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Hivi karibuni Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Raphael Ndunguru, alinukuliwa akisema kuwa wanajaribu kuangalia suala hilo kisheria ili kuona waliotekeleza hayo wana mamlaka yapi. Alisema...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo Abidjan: Kama anasema ' mzee mzima nilikubipu kupitia kwa Membe... Sisi ni kitu kimoja....haina maana tugombane'
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wengi tunafahamu jinsi mchakato wa kumpata mgombea uspika wa Bunge kupitia CCM ulivyokwenda, ndani ya Chama cha mapinduzi kulijitokeza baadhi ya viongozi kuuponda uongozi wa Bunge uliopita kwamba...
0 Reactions
82 Replies
8K Views
Jamani wanaJF ninaomba mchango wenu, kwa uelewa wangu nimefikiri na kujaribu kutofautisha mambo haya mawili.Kwa tafsiri yangu na uelewa wangu vitu hivi vina maana:- 1.People’s power/Nguvu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu hivi ninavyoandika ni kuwa mtambo mmoja wa Dowans aina ya LM6000 PD 40MW uliopo site A nyuma ya ghorofa la Tanesco umewashwa na hadi sasa unazalisha 37MW. Nitawaletea habari zaidi lakini...
0 Reactions
156 Replies
13K Views
Jamani mgogoro wa kisiasa wa Ivorycoast umeishiaje au unaendeleaje? Ile presure yote ya dunia ambayo ilikuwa anapewa rais fake Ghagbo ime ishia wapi? Ile presure ya marais wa Africa na dunia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
file:///C:/Documents%20and%20Settings/user/Desktop/02_11_fugp4w.jpg Watoto wa Mauritania wakimkaribisha Rais Jakaya Kikwete kwa tende na maziwa alipowasili jijini Noaukchott kwa ajili ya mkutano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kesi inayowakabili wapambanaji wa chadema arusha imepigwa kalenda hadi tarehe 25 march.mahakamani kulikuwa na umati mkubwa wa wananch
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwanza naomba radhi kwa Mods na members wote kwani najua JF haina itikadi ya kisiasa. Kama mjuavyo kuwa CHADEMA katika mikoa kadhaa ya Tz, Moro ikiwepo, bado inajitahidi katika kukubaliwa zaidi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimfariji Mkurugenzi wa Baraza la Manispaa Zanzibar Rashid Ali Juma (45) alipomtembelea leo katika Hospitali ya Aga...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom