Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
NIMESOMA KATUNI YA KWENYE MAJIRA LA LEO IMENIFURAHISHA SANA,ETI ALI ADAWI ANAITWA ALLY HADAIWI NA AMEWAFUNGA WAANDISHI WETU MACHO NA WANASEMA HATA UNGESEMA TUYAACHE PALE GETINI TUKO TAYARI MKUU...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
While the protests convulsing Bahrain and Libya this past week occurred in vastly different contexts - and will likely produce very different results - both were met with conspicuously swift...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Wakuu, Nimekutana na Toyota Coaster imebeba wabunge wa kamati ya Nishati na madini akiwemo January hapa maeneo ya upanga wakiwa wanaelekea Morogoro road. Inasemekana wapo katika jitihada za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ATCL kwaendelea kufuka moshi Send to a friend Wednesday, 23 February 2011 19:46 0diggsdigg Gedius Rwiza WAFANYAKAZI wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wametishia kugoma wakishinikiza uongozi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kada wa CCM Violet Mzindakaya asema ''NINGEKUWA MIMI NINGEJIUZULU'' kwenye ukuta wake wa facebook ‘’MH mwinyi kujiuzulu kwako si kwamba ndo kutakushusha hadhi ila kutakujengea imani zaidi siku za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkuu wetu ALI-HADAIWI…… Masharti yako ni magumu sana….JAMIIFORUMS hawako tayari kwa masharti yako... Wahukumiwe kwa hizo bahasha za kaki... wahukumiwe kwa njaa zao
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tutarusha mahojiano na Brig. Gen Al Adawi kuanzia saa sita mchana EST sawa na saa moja za jioni East African time leo hii. Katika sehemu hii ya kwanza Generali wetu anasema kimsingi haijui...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Haina ubishi kuwa kundi la kigaidi la al-qaeda bado lipo na huenda labda linazidi kujihimalisha siku hadi siku. Lakini je, bossi wao Osama bin Ladeni kwa sasa yuko wapi? mbona yu kimya sana...
0 Reactions
10 Replies
12K Views
Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda akiwa na huzuni wakati Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick anamsomea taarifa kuhusu milipuko ya mabomu katika kambi ya Jeshi la Wananchi...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
mi nina shangaa sana niliposikia eti mheshimiwa na kamati yake wanataka kuziadhibu hospitali binafsi kwa kushindwa toa msaada wakati wa mabomu kule G'mboto,inakuaje serikali inataka hisani kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The 83-year-old academic who inspired the Egyptians Gene Sharp’s how-to guide on non-violent revolution helped boot out Mubarak By David Cairns LAST UPDATED 11:58 AM, FEBRUARY 20, 2011...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna taarifa kuwa mtambo mwingine wa kuzalisha umeme wa kampuni ya Songas wenye uwezo wa kufua umeme kiasi cha 20MW upo down tangu asubuhi hii. Sababu za kuzimwa mtambo huo bado...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana jamii Katika pita pita zangu kushangaa ulimwengu, nimekutana na ujumbe mahsusi katika wall ya Dr Hamis Kigwangala (mb) Nzega. (kwenye facebook) Ukisomeka hivi:: Kuhamasisha na au hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
chadema punguzen maandamano badala yake muwe washauri wazuri wawananchi kwani mi naona maandamano ni kelo kwa wananchi tofauti na ushauri.maandamano ya chadema yamekuwa yakileta vurugu licha ya...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Wapendwa nawaandikia ili msidanganyike. Sulaiman Mohammed Yahya Al Adawi hajawahi kuwa na si mmiliki wa Dowans. Ujio wake ni simema iliyopangwa kwa ustadi mkubwa ili kutuhadaa na hatimaye tuingie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna haya maneno yenye nguvu "Let My People Go" Tumeteseka vya Kutosha na sasa maombi yamefika. Ujumbe ndio huu Kikwete "Hatukuwachagua" Tunataka kujenga Taifa letu na umekuwa kipingamizi mkubwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msikilize meya wa ilala redio one! Sheria zipindwe kisa busara ya kubembeleza kura lolo!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii ndio statement imetolewa na UN Kuhusu "Haki ya Kupinga Utawala" The members of the Security Council expressed grave concern at the situation in Libya. They condemned the violence and use of...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Kuna kitu kinaharibu Taifa hili. Tumeona ujamaa, wizi, ufisadi, utawala wa nguvu, EPA, Richmond na sasa tupo hatua ya Dowans. Dharau gani na utumwa gani tunataka ili tuonekane tunamchukia Kikwete...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mheshimiwa waziri Mkuu swali la nyongeza: uliweza kuchukua Mchuchuma kwa huyu Jamaa hapa mpaka sakata likatulizwa? Naimekuwaje umeshindwa kwa hawa hapa chini kuwanyang'a Dowans yetu, maana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom