Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Katika Tanzania chama pekee cha siasa ambacho kina uwakilishi wa kuchaguliwa na wananchi sehemu zote za Muungano ni CUF. Pamoja na kuwa na wabunge wachache tofauti na CCM au CDM, CUF ni chama...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kikao cha bunge cha mwezi Februari 2011 kimedhihirishia Watanzania kwamba spika Anna Makinda na wabunge wake wa sisiemu wana dhamira ya kukandamiza kwa lengo la kuua nguvu bungeni ya upinzani wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndg zangu wanaJF, Kwa nini Chadema na Dr. Slaa (PhD) wao wanaonekana kuwa ni wadini lakini Mch. Mtikila ambaye jina lake halitajwi bila cheo cha Mch. lakini sijawahi kusikia Mzee Mtikila...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
Asubuhi nilisikiliza sehemu ya kipindi cha baragumu cha channel 10. Alikuwepo kaimu mkuu wa mkoa wa Dar, bw, Said Mecky Sadiq na waandishi wa habari wawili, pamoja na mwandishi aliyekuwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
na Mwandishi wetu YAMEZUKA mapigano kati ya Waislam na Wakristo katika mji mdogo wa Mto wa Mbu wilayani Monduli, mkoani Arusha, na kusababisha wachungaji wawili kujeruhiwa vibaya na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana JF. Najua mengi yamejadilliwa juu ya milipuko ya mabomu Gongolamboto. Jambo moja linanipa shida ni pale Rais J. M. Kikwete katika kauli yake kuonesha masikitiko makubwa sana kwa kile...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hello guys, Attached is a picture scanned from Daily News paper shows fake notes collected from one of the biggest and reputable bank in Tanzania. It has been noted that fake notes has landed...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Nawaomba wana ccm wote wenye roho ngumu kama ya paka ni wakati muafaka sasa wahamasishe wanachama na wapenzi wao kwa lengo la kuipinga CDM TENA ASP. Na mabango yaseme hivi; 1 Maisha MAZURI KWA...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitatizwa sana na vyombo vya habari kumwita sheikh Yahaya kuwa mtabiri maarufu wa Afrika Mashariki na kati. Utabiri wake mwingi naona unatokana na hali halisi ya maisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasikia mabomu yalijulikana kulipuliwa toka saa kumi mchana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, nimetafakari juu ya matukio mbali mbali yanayolikumba taifa letu baada ya uchaguzi wa 2010 ambayo yana athari kubwa kiuchumi na kijamii, mfano mabomu GLM, mgao wa umeme, DOWANS, kupanda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukiangalia media zetu zinamfanya kila mtu eti kama vile mjinga...walichukuzana wakaenda kumwona Al Adawi, Al Adawi akasema msinipige picha! nao wakakubali! wakamsikiliza hawakumpiga picha! Siku...
0 Reactions
82 Replies
8K Views
Wakuu, kila siku huwa napishana na makinda asubuhi akienda ofisini Dar. Huwa anakuwa kwenye Benz au sahangingi bila msafara wa polisi. Leo jioni nimepishana na msafara wa pikipiki ya polisi na...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Ngd. wana JF, nimekuwa nikisikia kuwa malipo ya LUKU yanabadirika badirika kila mara. Nimefanya ufatiliaji na kugundua ni kweli. Kuna siku unaweza kupewa units nyingi na wakati mwingine ukapewa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi nikweli kwamba utawala bora na wa haki unapatikana Tanzania? Hivi ni kweli waliopewa zamana ya kuhakikisha utawala wa sheria na haki unafuatwa wanatekeleza majukumu yao? Nakumbuka siku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shivji: Nchi inaporwa na walanguzi wanaojiita wawekezaji wa kigeni Send to a friend Thursday, 24 February 2011 21:23 0diggsdigg Elias Msuya PROFESA wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere wa Chuo Kikuu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni vigumu kuangalia picha na kujua nini mkakati wa maandamano ya Chadema. Wanaoandama hawajui lengo kuu la kuandamana kwao, kwa sababu hakuna kauli mbiu. Wakifika uwanjani kuna msururu wa hotuba...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Bush alipoulizwa mwaka 2001 kwamba "Je Saddam Hussein anahusika vipi na 9/11?" Alijibu "Tunakwenda Iraq kwa sababu ni mafuta ya Iraq ndiyo yatakayolipa gharama za vita vya Afghanistan." Bush...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
UDHAIFU WA MUUNGANO HAUJALETWA NA MABADILIKO YA 10 YA KATIBA YA ZANZIBAR Makala hii imeandikwa na Wakili Maarufu hapa Zanzibar Bwana Awadh Ali SaidMakala iliyoandikwa na Mhe. Tundu Lissu, yenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya tuma wajumbe wake nje .
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom