Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
10th December 2010 A US firm, Celtic Capital Air Corporation has threatened to sue Air Tanzania Company Limited (ATCL) for breach of contract covering the lease of a Boeing 737 aircraft...
0 Reactions
87 Replies
8K Views
MILIPUKO ya mabomu kambi la Jeshi la Wananchi Gongo la Mboto ni moja ya matukio yaliyoshtua Watanzania na hata nchi jirani. Wenye machozi ya haraka mpaka sasa wanaendelea kulia. Yapo matukio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JOHN JOHN MNYIKA MBUNGE UBUNGO Tamko langu la awali kuhusu kuwekwa X katika majengo ya pembeni ya Barabara ya Morogoro Katika kipindi cha wiki moja mfululizo kuanzia tarehe 11 mpaka 17 Februari...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Hapa naomba nitumie mfano wa kimichezo. Kwenye timu yoyote mchezaji muhimu si yule tu ambae akiwa uwanjani timu huchezi vizuri bali pia ni yula ambae kama asipo kuwa dimbani unaona timu haichezi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mmoja atoe maelezo ya kuhusika kwake na wizi wa EPA na Dowans (kabla sijaamua kujitolea kumsaidia kurahisisha kutiwa pingu kwake ) na tena aeleze kwanini ya Al-Adawi walibuni hii mbinu ya kufungua...
0 Reactions
136 Replies
16K Views
Kwa taarifa ya Radio Tumaini, leo asubuhi saa 3, Dowans wamekubali kusamehe shirika la TANESCO deni la Bil 94. Hii naona ni habari njema. Kitu ninachojiuliza ni sababu ipi iliyopelekea hatua hiyo...
0 Reactions
103 Replies
8K Views
CHADEMA inatisha • Wafanya maandamano makubwa ya kihistoria jijini Mwanza na Sitta Tumma, Mwanza MAELFU ya wakazi wa jiji la Mwanza na viunga vyake, jana walilazimika kusimamisha shughuli...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati fulani kabla ya uchaguzi wa Tanzania Sheikh Yahya Huussain kwa kutumia ujuzi alionao, alitabiri matukio fulani yaliohusu uchaguzi. Kilichotokea ni kua watu wengi walilipokea swala hilo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
wajameni tuandamaneni hadi serikali iondoke madarakani,serikali imejisahau sana na hakuna utendaji kazi na wala hakuna uwajibikaji, mabomu ya mbagala yalilipuka na wala hakuna mtu aliyewajibishwa...
0 Reactions
171 Replies
15K Views
Rais Kikwete na ujumbe wake wako Dubai wakiwa njiani kurudi nyumbani kutoka mkutano wake na Waziri Mkuu wa Uingereza huko London siku chache tu zilizopita. Vyanzo vyetu vya uhakika vinadokeza kuwa...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
WALIOKUWA MWANZA NIJIBUNI NATAKA KUANZA KUWAHESABIA SIKU AMBAO WANAMPINGA FREEMAN AIKAELI MBOWE WATAOPNDOKA WOTE kwa miguu yao wenyewe kama Kafulila
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Ufisadi mpya wawashtua wabunge • Wabaini ulaji kwenye mikataba ya nishati ya umeme KAMATI ya Nishati na Madini imedai kupatiwa mikataba yote iliyoingiwa na serikali na kampuni zinazozalisha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi wilayani Arumeru, mkoa wa Arusha jana lililazimika kufyatua mabomu ya machozi na kurusha risasi hewani kuwatawanya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Arusha, baada ya kufunga barabara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwakalebela Aachiwa Huru.......... Frederick Mwakalebela (kushoto) akitoka mahakamani leo baada ya kuachiwa huru na mahakama ya hakimu mkazi Iringa chini ya hakimu wake Mheshimiwa Festo Lwila...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
A tribal priest blesses Hindu women prostrating themselves in prayers for fertility during the 'Peddagattu Jathara' festival at a temple in the Nalgonda district, India. The festival, where...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Viongozi wa Chadema bado waendelea kushughulikiwa. Ya Baregu. Dr. Kitila naye yupo njiani kutimuliwa UDSM kwa kujihusisha na harakati za chadema. na Grace Macha, Arusha. CHUO Kikuu cha...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Sikilizeni WADANGANYIKA wenzangu. January Makamba ni wakala wa mafisadi. Amepewa ubunge na Rostam Aziz na Edward Lowassa ili wamtoe William Shellukindo aliyetoa uamuzi kamati ya ubunge ichunguze...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom