Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Govt: No Dowans-Tanesco deal 2008-10-18 By Rose Mwalongo The Government and the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) have categorically refuted claims of a move to buy power generators...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
VIONGOZI wa juu na wabunge wa Chadema jana walitawanyika katika wilaya mbalimbali za mkoa wa Mwanza na kufanya mikutano ya hadhara kuendelea kupinga kupanda kwa gharama za maisha, malipo kwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu wana Jf Leo ntachambua kidogo kuhusu utalii hapa kwetu Tanzania,ni ukweli kuwa utalii ni moja ya vyanzo nyeti vya mapato hapa nchini,lakini pia umechangia kukuza ajira kwa watanzania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nani alaumiwe kwa matokeo mabovu mwaka huu? Hapa nina hoja kuu tatu. 1. Serikali kuingiza siasa kwenye elimu,mfano, sera nikuwa watoto wote wanao maliza darasa la saba pia wamalize kidato cha nne...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ice Cream zitokanazo na maziwa ya Mama zauzwa 25/02/2011 Mgahawa mmoja mjini London nchini Uingereza kwa jina, Convent Garden, umeanza kuuza 'ice cream' zilizotengenezwa kwa maziwa ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimesoma post moja yenye heading KIKWETE ALIVYOONDOKA MONDULI CHUO CHA JESHI KWA MSUKOSUKO. Kama yaliyoandikwa ni kweli, basi post hiyo nimeipenda sana na ninashauri kila mtu aisome. Mara kwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Katika mkutano huo Kiwia(Chadema-Ilemela) alifuatana na wabunge wa viti maalum wa Chadema Raya Ibrahim (Pemba) na Chiku Abwao (Iringa). Hongera Chadema polepole vunja ngome ambayo CCM...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mahakama: Rostam anakamatika Na Ezekiel Kamwaga - Imechapwa 16 February 2011 SIRI kuhusu ushiriki wa Rostam Aziz, mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mbunge wa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mawaziri na Manaibu Mawaziri Vivuli OFISI/WIZARA WAZIRI KIVULI NAIBU WAZIRI KIVULI Ofisi ya Waziri MkuuWaziri Mkuu na TAMISEMI Freeman Aikaeli Mbowe Kiongozi wa Upinzani Bungeni Silinde David...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Rostam, JK, Manji, EL, Riziwan, Makinda, vijisenti, na kuna vijamaa vingine majina yananitoka maana povu la hasira linanitoka
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Demokrasia ni nini hasa katika nchi za kiafrika! Toka huu mwaka uanze tumeshuhudia viongozi wakiondolewa madarakani ,mapinduzi hayo yalianzia Tunisia yakaelekea Misri na sasa Libya. Tukirudi nyuma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KESI ya pili ya kupokea rushwa kwenye mchakato wa kura ya maoni ndani ya CCM iliyokuwa ikimkabili Frederick Mwakalebela (41), imeondolewa mahakamani na mshtakiwa kuachiwa huru. Kuondolewa kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Friday, 25 February 2011 21:22 Tumaini Msowoya, Iringa KESI ya pili ya kupokea rushwa kwenye mchakato wa kura ya maoni ndani ya CCM iliyokuwa ikimkabili Frederick Mwakalebela (41), imeondolewa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
VIONGOZI wa juu na wabunge wa Chadema jana walitawanyika katika wilaya mbalimbali za mkoa wa Mwanza na kufanya mikutano ya hadhara kuendelea kupinga kupanda kwa gharama za maisha, malipo kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani nilikuwa najua watu wanaompinga kikwete na utawala wake ni wasomi wengi wao kumbe hata watu wa kawaida wanaona hali ya hewa ilivyo na wamesoma alama za nyakati. Nilikwenda kumchukua wife...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
WAFANYABIASHARA wa nchi sita wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki, sasa wako huru kuvuka mipaka na kuuza bidhaa zao bila kulipa ushuru wa forodha katika eneo hilo linalokadiriwa kuwa na zaidi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
BAADHI ya washtakiwa katika kesi ya uvuvi haramu katika Bahari Kuu ya Tanzania, jana walimwaga machozi mahakamani wakililia dhamana.Hatua hiyo ilikuja baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikimuangalia jk kwenye mikutano ya kimataifa anaonekana kama mtu ambaye haelewi yanayozungumzwa kiasi kwamba lazima akae na mtu karibu ili kudesa(kuigilizia au kutafsiliwa). Mfano ni...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ndugu Wana JF, Napenda kutoa mwanga na historia ya waziri wa Nishati na madini Bwana William Ngeleja na mtandao wa kifisadi wa Rostam Aziz na Pius Mswekwa. Bwana Ngeleja aliwekwa na mafisadi...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Back
Top Bottom