Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu Salaam!!! Yale maandamano ya Kanda ya Ziwa leo yanahamia Mkoa wa Mara baada ya jana kuingia Geita, Sengerema, Misungwi, Kwimba na Ukerewe. Maandamano yatakuwa Musoma kuanzia Viwanja vya...
0 Reactions
183 Replies
23K Views
Itakuwa vipi Qaddafi akikimbilia Tanzania?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Gonga hapa ujionee: Gaddafi's inner circle
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Quote "Ni vyema kabla ya kuanza kushabikia au kufurahia huruma hii ya Dowans tukajiuliza ni kwa nini imekuja hivi sasa? Kwanini baadhi ya viongozi hasa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau. naomba mnisaidie tarehe ya uchaguzi wa vijana wa chadema unafanyika lini? Ni uchaguzi muhimu sana. tume-miss sarakasi za vijana wa chadema.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF, ningependa kutoa maoni yangu kuhusu katiba iliyopo. Tunajua ya kuwa baadhi yetu sisi watanzania wengi katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania hatuijui pamoja na kwamba kuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ni interview iliyofanyika kipindi cha uchaguzi miezi 2 iliyopita,nilikuwa nasoma ile thread ya Lyatonga kuvuliwa kofia,sasa na huyu nae ni wa kumvalia kufia kofia kabisaaaa,nimefanikiwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kumekuwa na ongezeko la watu wanaona suport maandamano inchini. Binafisi sijui kama maandanamo wanayofikiri yakoje. Cjui wanamanisha maandamano kama ya libya? Nijuovyo maandamano ni mapinduzi ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Jana nilikuwa ktk kiji-function fulani ya ambapo tulikutana watu mbalimbali(wanasiasa na watendaji serikalini). Kama mnavyojua sifa moja ya maongezi yasiyo rasmi(informal) ni kuwa huwa hakuna mada...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Katika kile ambacho viongozi wa CHADEMA wanahaha kukitafuta hata kwa gharama ya kuhatarisha maisha ya wananchi (mfano mauaji ya arusha) na maandamano mbali mbali ya visingizo kibao (mfano...
0 Reactions
76 Replies
5K Views
Historia inayo mifano mingi inayothihirisha kwamba mtawala nayehuma na kupuliza hudumaza jitihada za kujikomboa;hivyo ndivyo ilivyokuwa wakati wa bunge lililopita. Bunge hilo chini ya uongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Nipo hapa stand ya mabasi ngudu-kwimba,kuna mkutano wa chadema,unaöngozwa na Wenje,letisia nyerere,na mtoto wa mashishanga yule mkuu wa mkoa wa zaman wa mwanza,watu wanaipenda chadema hadi noma
0 Reactions
32 Replies
3K Views
HII si mara yangu ya kwanza kuyakariri na kuyarudia maneno ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, anayoyatumia mara kadhaa kuhoji umaskini wa Watanzania umetokana na nini huku tukiwa na rasilimali tele...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
They backed an arms embargo and asset freeze while referring Col Gaddafi to the International Criminal Court for alleged crimes against humanity. Source:BBC News - Libya: UN Security Council...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu mtu huwa sielewi kama Advocate Nyombi ni wakili au Advocate ni first name yake? Kindly assist!
0 Reactions
4 Replies
6K Views
MAAFA YA GONGO LA MBOTO: WAZIRI WA ULINZI NA MKUU WA MAJESHI WAJIBIKE! TAARIFA KWA UMMA DODOMA, FEBRUARI 17, 2011 Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni inayoongozwa na Chama cha Demokrasia na...
0 Reactions
205 Replies
19K Views
Mfumko wa bei za bidhaa-Hatari!!! Habari wanajamii Nimeona nishee dukuduku langu pamoja nanyi wanajamii, ingawa ninafahamu kuwa si wote wanaoathirika na hali hii kutokana na utofauti wa vipato...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Nawasifu sana CDM kwa kutoa elimu ya uraiya kupitia maandamano ya kanda ya ziwa.Ila kikubwa ninachowashauri wasisahau kugawa kadi za uanachama wa chadema.Huu ni wakati wa kupata wanachama wengi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kutoka Tanzania Daima KWA takriban miaka mitatu sasa sinema ya mitambo ya kampuni ya kuzalisha umeme wa dharuFra ya Dowans imezidi kushika kasi kwenye macho,vichwa na masikio ya kila mwenye kiu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kuhusu sakata la ujenzi wa barabara haribifu inayopita serengeti. Kwamba inajengwa kusaidia raia wa maeneo hayo na si kwa sababu ya vitegauchumi vya mahoteli ya kifisadi yanayojengwa huko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom