Bomb victims cry foul over valuation Sunday, 27 February 2011 21:43
Thendo John (left) and Fadhila Suleiman carry a bale of clothes donated by Super Sip Ltd yesterday at the Gongo la Mboto...
Kuna picha rasmi ya Mh Rais imetoka kwa ambaye anahitaji kwa ajili ya kuweka ukutani. Sambamba na hiyo liko pia bango jipya la baraza lote la mawaziri ambalo liko na kalenda. Vyote vimeshambazwa...
Wahisani tafakari kuisadia Tanzania Send to a friendSaturday, 26 February 2011 21:50
Claud Mshana
Mwananchi
WAKATI Serikali ikiendelea kuomba msaada wa dharura kukabiliana na upungufu wa fedha...
Naomba nianze kwa kumnukuu kinara wa haki za binadamu, mwanaharakati na shujaa Martin Luther King Jr:
We are faced with the fact, my friends, that tomorrow is today. We are confronted with the...
Wakuu,
Baada ya kuingia Musoma na kufanikiwa kufanya maandamano kwa amani na utulivu mkubwa leo vikosi vitatembelea Wilaya za Mkoa huu. Lakini kabla ya kwenda kwenye wilaya, Viongozi wote...
Britain freezes millions in aid to 16 countries after inquiry discovers they are actually no longer in poverty
The inquiry was ordered by International Development Secretary Andrew...
Napenda kukishauri chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kufanya yafuatayo katika mfumo wa Utawala na sera za Chama ili kujiimarisha zaidi.
1.Kuhamishia Makao makuu Mwanza/Musoma au Mkoa...
Ndugu Zangu,
KIONGOZI wa nchi haui watu wake, Moummar Gaddafi amewaua. Ndio, mchana wa jua kali, na bado anasimama, anadai ni kiongozi wa WaLibya, Gaddafi hana aibu.
Anapostahili kusimama...
Mheshimiwa Spika,
Kwa mujibu wa Hansard ya tarehe 10 Februari 2011, nilikuomba kupata ufafanuzi kwamba Mbunge anaweza akachukua hatua gani kama anaona mtu mwenye nafasi kubwa katika nchi kama...
Najua sasa hivi wengi wana jiuliza ni chama gani kita leta mabadiliko. Baadhi wata sema CCM, Chadema au chama chochote wao wanacho kiamini. Mimi binafsi naamini mabadiliko hayata kuja kutoka...
Watu wa nchi mbali mbali ambazo hazi fuati sheria au Jeshi la Polisi na Mahakama zikiwa lege lege zilisababisha watu kujichukulia sheria mkononi ambapo vibaka/wezi/majambazi wamekuwa waki uliwa...
jamani naomba kkueleweshwa kwenye gazeti moja la tar.26 liliandika kuwa sofia simba amekisifia CDM. sasa sielewi hivi amesifia kweli au ni ujanja tu huku kukiwa na nia flani?
Nawakilisha.
FAMILIA ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, imekitabiria Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ushindi wa kishindo wa kuongoza nchi mwaka 2015.
Familia hiyo ya mwasisi wa...
Lawama kemkem zimekuwa zinatolewa dhidi ya JK kuhusiana na utendaji-kazi wake na sifa kadhaa nzuri zinatolewa juu yake. Nikianza na SIFA MBAYA: JK kashindwa kuwadhibiti mafisadi (pengine hata...
Jana kwenye thread ya 'Maandamano ya Chadema Mkoa Mara' walikuwepo watu wenye lengo la kupindisha lengo la thread ya Regia Mtema lakini waliondoka wenyewe baada ya kukosa support. Nina mfano wa...
Kufanya maandamano katika vitongozi mbalimbali vya mji wa Mwanza na kisha leo kuhamia Musoma ili kupinga kuongezeka kwa gharama za maisha, malipo ya dowans nk ni kufuata philosophy isiyofahamika...
Waheshimiwa niliowataja hapo nawaomba waanzishe mchakato wa kuanzisha Television na Redio ya CDM ili tuweze kuyapeleka mageuzi kwa kasi. Mtaniuliza pesa itatoka wapi. Nasema pesa tunazo tutazitoa...
Uchakachuaji wa kura ni uhaini
Prudence Karugendo
Tanzania Daima
Tumemaliza Uchaguzi Mkuu, tumempata rais, wabunge na madiwani. Kwa upande wa Tanzania Visiwani wenzetu wamenufaika zaidi kwa...
KATIKA siku za hivi karibuni kuna msemo umeshika kasi baina ya watu wa kada ya kati. Huo msemo ni kwamba nchi iko kwenye auto pilot.
Huu ni msemo uliobuniwa na mwandishi nguli wa makala wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.